Pre GE2025 Lissu: CHADEMA ipo nusu kaputi, Mbowe hataki kupambana na Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Inawezekana yote hayo, lkn hili Msigwa anamkotrol Lissu
 
Katika key boards mnaweza kumchuuza Lissu na kumuona Shuja,a lakini huwa nasena humu tatizo la Tanzania wanasiasa wote hata wa chama tawala hawana watu nyuma yao. Siku za nyuma ni Nyerere na Maalim Seif tu ndio wanasiasa waliokuwa na watu nyuma yao. Kenya wanasiasa wana nguvu sababu kila mmoja wao ana idadi fulani ya watu ambayo abaweza kuiamrisha ikaingia barabarani kushinikiza mabadiliko.

Tanzania mwanasiasa akitoa tamko zaidi ya uungwaji mkono kupitia key biard hakuna zaidi.

Nchi zote wanasiasa waliofanikiwa kushinikiza hoja zikakubaliwa na watawala ni kwa sababu walikuwa na watu waliowaingiza barabarani sio katika key boards.

Hiyo no reform no election ni kauli ya mdomoni tu hawawezi kuileta katika vitendo sababu hawana watu nyuma yao.
 
Unajua vizuri sana, nia yao moja kumkomoa Mbowe

..Msigwa na Mbowe wote si watoto wa Mama, au?

..kwa kweli mnatuchanganya ktk propaganda zetu.

..jipangeni mje na propaganda moja yenye ushawishi, sio kutujaribu na kila uongo mnaoufikiria.
 
Watanzania wape Title Tu, utapata Makala ya kila namna! Lissu ameeleza vizuri sana!
 
..Msigwa na Mbowe wote si watoto wa Mama, au?

..kwa kweli mnatuchanganya ktk propaganda zetu.

..jipangeni mje na propaganda moja yenye ushawishi, sio kutujaribu na kila uongo mnaoufikiria.
Hili lipo wazi , msigwa anamuendesha Lissu anavyotaka, Soma mwanamchi news la juzi
 
Mie hushangaa sana kuona upinzani inashiriki uchaguzi kwa Tume hii tuliyonayo, hii tume ukishinda basi ni hurums tu ya ccm.

Kwa taarifa nilizo nazo, watumishi wa umma katika uchaguzi ulio pita wa serikaki za mitaa walikuwa wanaambiwa wafanye wafanyalo lazima ccm ishinde, ukikataa lazima ufanyie zengwe au hata kupewa tuhuma na unafukuzwa kazi.

Ccm ni kubwa mno katika watumishi wa umma na hawana uwezo wa kusema no, wakisrma hivyo hawana ajira, kwa upuuzi huu mnakubali vipi kuingia katika uchaguzi? Huwa namshangaa sana Zito akisema ohh sisi tutashiriki lablab mingi, huo ni upuuzi, huwezi shinda , actually mbabariki maovu ya ccm.
 
L
Si kinaitwa chama cha demokrasia, hiyo ndiyo demokrasia yenyewe, badala ya kufukuzana. Na huenda wamekubaliana kutumia style hiyo
Iissu ujanja wote ktk siasa kabebeshwa gunia la kinyesi na Msigwa?
 
Lipo wazi kabisa. Moja ya hoja kwamba Msigwa ndio anaowapigia simu viongozi wa chadema wamuunge mkono lissu na ndio Allendaa ule mkutano wa lissu juzi kupitia kivuli cha Dayspora

..basi CCM ndio mshughulike na Msigwa kwa kumsaidia Tundu Lissu anayemdhalilisha Mama Samia kila siku.

..Mama Samia na genge lake wanajisikiaje mwanachama wao mnapomsaidia hasimu namba moja wa utawala wao?
 
Huyu wampe tuone atakachofanya anajikuta mwamba ila kikubwa asije kimbilia ubalozini 😁😁
 
Binafsi naona kuna watu siku hizi hawalali kutoka CHADEMA kwa kushirikiana na upande wa pili ili kuangalia namna ya kumzuia Lisu asigombee mana wanaona ataleta fujo nchini.

Unajua mzew Mbowe sijui ikikuwa ni busara kama alivyokuwa akipenda kusema au alikuwa anatumika, mana alikuwa hataki kabisa siasa za fujo kwa miaka hii!

Sasa sidhani kama mfumo utaruhusu Lisu awe mwenyekiti. Na asipokuwa mwenyekiti lazima CHADEMA ife mana wanachama pia wamemchoka Mbowe.

Suluhisho. Mbowe akae pembeni na wajitokeze wagombea wengine wapya hata kama asipopewa Lisu basi apewe mwingine tofauti na Mbowe!
 
Busara imuongoze Mbowe ampishe Lissu!.
Ana mikakati thabiti ya kupambana na ma ccm, Mbowe toka apewe ule msamaha na Samia amekuwa hana tofauti na mtu aliyehongwa tuu...kawa mpoleee sn dhidi yake!.
Mbowe si aliitisha maandamano? Mlikwenda? 😆😆
 
Lisu hata akiwa Mwenyekiti kwani atawafanya nini CCM? Mbona Kila siku anazuiwa mikutano huko na hajawahi fanya lolote?

Mwambukusi yuko wapi? 😁😁
 
Lakini Wakuu hii Strategy ya "NO REFORMS NO ELECTIONS" yale Mafisiemu si yanashangilia?!

Mnaonaje Jemadari Lissu atufafanulie zaidi maana Uchaguzi ujao mimi nataka uwe Jino kwa Jino wakituibia tunaingia Mabarabarani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…