Naona jamaa anaweza kuandamana hata peke yake akama alivyokuwaga Kiiza Besigye.Lisu hata akiwa Mwenyekiti kwani atawafanya nini CCM? Mbona Kila siku anazuiwa mikutano huko na hajawahi fanya lolote?
Mwambukusi yuko wapi? ππ
Lazima utakuwa punguani wewe, si bure!!Hajamuuliza kuhusu Msigwa kumuendesha Lissu kama drone?
Naona jamaa anaweza kuandamana hata peke yake kama alivyokuwaga Kiiza Besigye.Lisu hata akiwa Mwenyekiti kwani atawafanya nini CCM? Mbona Kila siku anazuiwa mikutano huko na hajawahi fanya lolote?
Mwambukusi yuko wapi? ππ
Duh!.basi siasa za bongo pasua kichwa.Lipo wazi kabisa. Moja ya hoja kwamba Msigwa ndio anaowapigia simu viongozi wa chadema wamuunge mkono lissu na ndio Allendaa ule mkutano wa lissu juzi kupitia kivuli cha Dayspora
Makamu Mwenyekiti wa Chama na Bado unasema uongozi umekwama. Si wewe ni kiongozi mzito ndani ya Chama Tena unayetakiwa kumsaidia Mwenyekiti!!! Ebu tueleze ulichukua hatua gani kumsaidia Mwenyekiti na Mwenyekiti akakataa msaada wako? Au ulikuwa umenyamaza badala ya kumsaidia, ili aharibu nawe upate upenyo wa kumuangamiza kiuongozi?. Na uongozi wa chama unaonekana kutokujua namna ya kutoka kwenye mkwamo huu. Kwa hiyo, nina gombea kwa sababu tunatakiwa kutoka kwenye huu mkwamo
Huu ndio wimbo mpya ulio tungwa huko CCM?Hajamuuliza kuhusu Msigwa kumuendesha Lissu kama drone?
Uzuri wa haya yote, sasa kila kitu kina jipambanua wazi; hata wenye uwezo mdogo wa kutafsiri mambo watayaona kwa uwazi zaidi.Kwamba Lissu anashikiwa akili na msigwa?
Unajua Mbowe anapewa support na dola ya kupambana na Lissu? Tulia uione show ya lissu
Ni kama hujui kinacho/ambacho kimekuwa kikiendelea ndani ya chama kwa muda kitambo sasa. Ni kama leo ndipo umezinduka na kukutana na hali halisi ambayo imekuwepo kwa muda kitambo ndani ya chama.Makamu Mwenyekiti wa Chama na Bado unasema uongozi umekwama. Si wewe ni kiongozi mzito ndani ya Chama Tena unayetakiwa kumsaidia Mwenyekiti!!! Ebu tueleze ulichukua hatua gani kumsaidia Mwenyekiti na Mwenyekiti akakataa msaada wako? Au ulikuwa umenyamaza badala ya kumsaidia, ili aharibu nawe upate upenyo wa kumuangamiza kiuongozi?
Ebu fafanua!
Amekwambia kuna kutofautiana kati ya yeye na mwenyekiti which means hiki ndio kikwazo,Japo Lisu naye kuna maneno anayaongea yanamfunga. Kama kuna mabadiliko ya katiba na sera za chama kwann hakutumia nafasi yake ya makamu mwenyekiti kuchagiza yafanyike?
Kwani ushauri kwa mwenyekiti unafanyika kama ule wa mke kwa mume? Haufanyiki kupitia vikao? Na kama unafanyika kupitia vikao, ndiyo kusema mwenyekiti ana kura ya veto kupinga ushauri wa wajumbe wa vikao akiwemo na makamu mwenyekiti?Kumsaidia Mwenyekiti unataka kuweje; kumlazimisha aachane na ndoto zake alizo jenga kuhusu "Mazungumzo ya Maridhiano"? Akikataa, unataka Makamu Mwenye kiti afanye nini?
Mmh ! Ila mambo ya chadema yanachanganya sana. Hivi ni kweli kwamba kila anayegombea uenyekiti huwa anakuwa amenunuliwa na ccm? Napata mashaka sana na hii kasumba?Amekwambia kuna kutofautiana kati ya yeye na mwenyekiti which means hiki ndio kikwazo,
Binafsi naona kuna watu siku hizi hawalali kutoka CHADEMA kwa kushirikiana na upande wa pili ili kuangalia namna ya kumzuia Lisu asigombee mana wanaona ataleta fujo nchini.
Unajua mzew Mbowe sijui ikikuwa ni busara kama alivyokuwa akipenda kusema au alikuwa anatumika, mana alikuwa hataki kabisa siasa za fujo kwa miaka hii!
Sasa sidhani kama mfumo utaruhusu Lisu awe mwenyekiti. Na asipokuwa mwenyekiti lazima CHADEMA ife mana wanachama pia wamemchoka Mbowe.
Suluhisho. Mbowe akae pembeni na wajitokeze wagombea wengine wapya hata kama asipopewa Lisu basi apewe mwingine tofauti na Mbowe!
Mbowe ni pragmatic. Kabla ya mazungumzo ya maridhiano ( ambayo inaelekea Lissu aliyapinga) kulikuwa na zuio la mikutano ya hadhara. Kulikuwa na mamia ya wanachama na wafuasi wa CDM waliokuwa ndani ambapo wengine walikuwa mpaka na kesi za mauaji. Mazungumzo hayo ndio yaliyopelekea zuio la mikutano ya hadhara kuondolewa na wengi waliokuwa ndani kesi zao kufutwa na wengi waliokuwa wameenda uhamishoni kurudi. Hayo sio mafanikio madogo. Sidhani kama yangepatikana njia mbadala aliyoitaka Lissu.Ni kama hujui kinacho/ambacho kimekuwa kikiendelea ndani ya chama kwa muda kitambo sasa. Ni kama leo ndipo umezinduka na kukutana na hali halisi ambayo imekuwepo kwa muda kitambo ndani ya chama.
Wewe hujawahi kusikia malalamiko yoyote kuhusu mwelekeo wa chama, ambao Mwenyekiti amekuwa sehemu muhimu juu yake?
Kumsaidia Mwenyekiti unataka kuweje; kumlazimisha aachane na ndoto zake alizo jenga kuhusu "Mazungumzo ya Maridhiano"? Akikataa, unataka Makamu Mwenye kiti afanye nini?
Mbowe kapewa muda mwingi sana wa kuamua anasimamia wapi na wapi chama kinakopashwa kuwa. Hata uchafuzi wa uchaguzi wa serikali za mitaa inaonyesha haujamstua chochote; halafu utaona bado kuna watu wanahoji mwelekeo wa chama unako kwenda?
Mbowe kalaghaiwa na Samia vibaya sana. Anasubiri kushirikishwa katika serikali ya kipuuzi 2025; mithili ya yale yale tunayo yaona kwa jirani hapo Kaskazini
Sasa kama hayo ndiyo matumaini yenu makubwa, itabidi kuya pambania waziwazi ili watu wawatambue kungali mapema.
Hapa kuna matumaini mapya ya nchi yetu.MWENYEZI MUNGU ambariki tundulisu
Viongozi wote wa CCM kuanzia Mkapa, Kikwete na Magufuli wanajua shughuli ya TAL, sasa unapokuja na hoja nyepesi kama hii inaonyesha utoto wako katika mambo ya siasa za upinzani.Kweli kabisa, lkn ktk hili anaendeshwa na msigwa
Lissu anaogopewa kwa sababu hafichi kitu. Kama ni ujinga atakwambiwa ni ujinga. Kama ni rushwa atasema ni rushwa...wenye dola na mamlaka wanamchukia Lissu sio kwasababu analeta vurugu, bali kwasababu ana kipaji kuwazidi, sio muoga, si mlarushwa, na hajakata tamaa.