Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

Mi mbona kama naelewa tofauti?

Zilikutwa nyumbani kwake ila hajasema zilikuwa zake. Tundu Lissu isije akawa anamkumbusha mvujisha habari hata za kifo maana alikuwa wa kwanza kuhoji alipo m-sure kuwa ana mengi anayajua ktk sakata hili wasimchukulie poa.

Juzi tu kasema anaenda kumuamsha leo kaja na hili. Wale tuliambiwa walizitoa central bank why sio wao walizipeleka huko kwa lengo lao!?
 
Kama kitu hujui ni kheri kukaa kimya
Na asilimia 100 hujui
 
Ushamuacha kolomije mzee wa watu 🤣🤣🤣
 
Mkuu wewe huwa ni mtu unayejinasibu kama mtu with "an ear to the ground".

Usitutapeli kuwa hili uikuwa hulijui.

Kwamba a large amount of solid, hard cash, zilikutwa nyumbani wa Magufuli, that is common knowledge.
Tunafunika kombe ili wanaharamu gani wapite?

Otherwise hata Magufuli aliwahi kusema msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
 
Hatari mkuu, hii kitu niliisikia muda kidogo ilikuwa siri ila naona imevuja baada ya team mama kushambuliwa sana na team baba. Naona sasa tunaelekea kusema kama mbwahi, mbwahi mghoshi!
Upo sahihi
Nao wanatumia siraha zao
 
Kiasi chote hicho cha pesa kilikutwa nyumbani kwa Magufuli, ina maana alikiweka kwa siri hata mke wake na wengine wa familia yake hawakujua?
...
UWT walipekua huko chumba cha siri cha Magufuli baada ya mke wake kutoa taarifa ya hicho chumba cha siri.

Hizo zilzokuwa declared ni baada ya operatives kujichotea walichoweza kubeba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…