Sio kanda ya ziwa tu, yupo kwenye list na kina Kwame, JK n.kLissu anajimaliza kisiasa na kuiua CDM
hajui nini aseme wapi na nini asiseme wapi,,
Muambieni Lissu JPM ndio mfalme wa Kanda ya ziwa.
AloooUS Dollar 42,000,000 =104,990,550,850 Tanzania Shilling
1 US Dollar = 2,499.78 Tanzanian Shilling
Mnazidi kuumbuka na mzalendo wenu uchwaraTeam Samia isinge acha kusema! Watu wa CCM akina Nape na team Msoga lazima taarifa tungezipata huko! Lisu anafanyia kazi story za vijiweni!
Mbona Rais Wa Sudan alikutwa na zaidi ya Hizo? Nini kinakushangaza?US $ 42 million?
Nyumbani?
That's too much dough
Labda kama ni za Kitanzania labda amekosea...
Rubbish.Jibu ndio au hapana , Lissu tumemtanguliza mbele tu , kila kitu tunacho sisi
Ni asili yenu CCM.Ingekuwa china huyo alitakiwa anyongwe au kaburi lake lichomwe na asizikwe Kwa heshima ya Nchi.
Pumbavu sana jitu kama Hilo ndio lilikuwa linaita wenzie wezi si ajabu lilikufa.
Na yule aliyesema kuna hela za kwetu kulee , ataitwa nani?Uchochezi
Hahaaa...eti nani azianzishe. Kwa hivyo mtakuwa mnamsubiria lissu awaanzishie? Mkiitwa nyumbu mnafura kama koboko.Sio uongo hizo tetesi na za siku nyingi ila zilikua zinasubiliwa nani aziazishe Lisu alipua utaona mengine mengi tu.
Uliziona?Mbona Rais Wa Sudan alikutwa na zaidi ya Hizo? Nini kinakushangaza?
Unajua yeye Lisu ndo anaamini anaakili kuliko sote Tanzania! Huu ujinga watauamini nyumbu tu!Nani alienda kukagua nyumbani kwa Magufuli?? Kwamba serikali iliivamia familia na kupekua nyumba baada ya Magufuli kufariki. Lissu aache ujinga.
Kama hizi ni za uongo wewe leta za ukweli.Uliziona?
Don't believe everything that you read...hasa hawa Western media wakiamua kumchafua mtu.
Mpaka Sankara walisema kakutwa sijui na nini lakini baadaye imekuja kuthibitishwa kuwa alikuwa na akaunti moja tu na ilikuwa na pesa kidogo sana!
Kuna mtu alikuwa hivyo kama Jpm?Unajua yeye Lisu ndo anaamini anaakili kuliko sote Tanzania! Huu ujinga watauamini nyumbu tu!
Naona leo mmeibuka sijui mlikuwa wapi😅😅😅Hili nalo linapenda sana kuropoka! Ana ushahidi gani?