Sio kanda ya ziwa tu, yupo kwenye list na kina Kwame, JK n.kLissu anajimaliza kisiasa na kuiua CDM
hajui nini aseme wapi na nini asiseme wapi,,
Muambieni Lissu JPM ndio mfalme wa Kanda ya ziwa.
USD 42m ni takribani 105b in shillings
Hata aongee nini, kubwabwaja ndio kipawa alichobakiwa nacho, kujitilisha huruma kikifuata.
Taaluma yake na privilege zote alizopata kama hazikimsaidia, kupiga domo hakutamsaidia.
Samia alisema kuna pesa zimefichwa China, ikaishia hivyo, hakuna wa kuthibitisha wala kurudisha pesa hizo, kudhihirisha kuwa namba moja alidanganywa...yeye je?