Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

Lissu anajimaliza kisiasa na kuiua CDM

hajui nini aseme wapi na nini asiseme wapi,,
Muambieni Lissu JPM ndio mfalme wa Kanda ya ziwa.
Sio kanda ya ziwa tu, yupo kwenye list na kina Kwame, JK n.k

USD 42m ni takribani 105b in shillings

Hata aongee nini, kubwabwaja ndio kipawa alichobakiwa nacho, kujitilisha huruma kikifuata.

Taaluma yake na privilege zote alizopata kama hazikimsaidia, kupiga domo hakutamsaidia.

Samia alisema kuna pesa zimefichwa China, ikaishia hivyo, hakuna wa kuthibitisha wala kurudisha pesa hizo, kudhihirisha kuwa namba moja alidanganywa...yeye je?
 
Nani alienda kukagua nyumbani kwa Magufuli?? Kwamba serikali iliivamia familia na kupekua nyumba baada ya Magufuli kufariki. Lissu aache ujinga.
 
Mbona Rais Wa Sudan alikutwa na zaidi ya Hizo? Nini kinakushangaza?
Uliziona?

Don't believe everything that you read...hasa hawa Western media wakiamua kumchafua mtu.

Mpaka Sankara walisema kakutwa sijui na nini lakini baadaye imekuja kuthibitishwa kuwa alikuwa na akaunti moja tu na ilikuwa na pesa kidogo sana!
 
Kama hizi ni za uongo wewe leta za ukweli.
 
Hili nalo linapenda sana kuropoka! Ana ushahidi gani?
 
Back
Top Bottom