Lissu haelewi maana ya ‘Jeshi la Akiba’?

Jeshini kuna Active Force Na Reserve force Na maana Ya Reserve Force ni Jeshi la Akiba ambalo hapo nyuma liliitwa Mgambo ila kwa sasa ni Jeshi la akiba Na lina MKUU wao kabisa so hapo Lissu kajichanganya sana
Meja jenerali martin busungu
 
Jeshini kuna Active Force Na Reserve force Na maana Ya Reserve Force ni Jeshi la Akiba ambalo hapo nyuma liliitwa Mgambo ila kwa sasa ni Jeshi la akiba Na lina MKUU wao kabisa so hapo Lissu kajichanganya sana
Jibu swali wewe, Lisu kauliza lipo kwa sheria ipi?
 
UNazidi kujichanganya Mkuu, kwa nn hawakuchukua JWTZ au JKT tu tujue moja?
 
Are you mad or something!?
 
Nyie mapimbi wa ccm hebu tutajieni jeshi la akiba limeundwa kwa sheria ipi acheni kuzunguka zunguka kama kuku anataka kutaga , anzisheni tu mambo baadaye yatawarudi wenyewe . Kifupi Ni kwamba kila mnachofanya kinajulikana .
 
Mkuu nashukuru kwa hoja.
Jeshi la akiba ni lipi km unalifahamu.
Lilianzishwaje na lini? Tukianzia hapo tutaelewana
 
Kazi zao ni kazi za ulinzi wa mipaka km jw pale wanapoitajika hasa kwenye vita
Pili kusaidia mamlaka za kiraia na za kijeshi kwenye kusimamia sheria yaani usalama wa raia na mali zao ambapo hapa wanashirikiana na polisi.

Kuhusu sheria kasome national defence act utaona.
 
Sasa nembo ndio sheria
Kwani idadi ya majeahi na vikosi vya ulinzi nani anavianzisha? Kwani kuongeza na kupunguza idadi ya wizara katiba inasemaje inasema lazima idadi ya wizara zikiongezeka au zikipungua zikatungiwe sheria?
 
Dunia nzima majeshi ya akiba yapo.
 
Jamani lissu n upstairs kwa kweli,

Hilo jeshi la akiba liliundwa kwa sheria ipi, na minajiri gani?
Nchi yoyote baada ya vita vya kwanza kumaliza hii tabia ya akiba kwa ajili ya baadae ilikuwa kama ni njia ya kupunguza idadi ya wanajeshi katika bajeti

Akiba wanaweza kuwa
-mgambo
-polisi
-magereza
Kwa nchi kama usa wanaitwa veteran
Hawa ni kama unakipaji mfano mdunguaji,mjuaji sana kwenye uhalifu au balaa kwenye jambo fulani
 
Jeshini kuna Active Force Na Reserve force Na maana Ya Reserve Force ni Jeshi la Akiba ambalo hapo nyuma liliitwa Mgambo ila kwa sasa ni Jeshi la akiba Na lina MKUU wao kabisa so hapo Lissu kajichanganya sana
Anaharibu makusudi

Hana sera
 
M
Jeshini kuna Active Force Na Reserve force Na maana Ya Reserve Force ni Jeshi la Akiba ambalo hapo nyuma liliitwa Mgambo ila kwa sasa ni Jeshi la akiba Na lina MKUU wao kabisa so hapo Lissu kajichanganya sana
Matumizi ya Jeshi la Akiba ni yapi?Wanapatikanaje,wamefunzwa kutuliza fujo/ghasia kamamnda wao ni nani hasa hapa nchini?Mbona hatuwaoni kwenye mikutano ya CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…