Huyu Lissu si alishajiunga chama cha Dr Slaa? hicho chama hakina nguv yoyote ile zaidi ya matusi na mwabukusi ameeka wazi Lissu ni mpenda vyeo si kwa ajili ya watanzaniaHIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano:
View attachment 2797585
HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao.
HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi.
Kauli ya wengi ni kauli Mungu.
Aluta continua!
Wananchi ndiyo mamlaka kubwa kuliko zote. Wananchi walio wengi, kupitia tume ya Warioba walikwishatamka wanataka katiba mpya. Serikali inalazimika kutekeleza matakwa ya walio wengi. Kama haiwezi, inatakiwa iondolewe, iwekwe yenye uwezo wa kutekeleza matakwa ya wananchi walio wengi.Raisi Samia na Serikali yake waliapa kuilinda katiba iliyopo, hawakuapa kuandika katiba mpya. Tustishane.
Yeye ni nani kwenye Taifa hili?
Wananchi ndiyo mamlaka kubwa kuliko zote. Wananchi walio wengi, kupitia tume ya Warioba walikwishatamka wanataka katiba mpya. Serikali inalazimika kutekeleza matakwa ya walio wengi. Kama haiwezi, inatakiwa iondolewe, iwekwe yenye uwezo wa kutekeleza matakwa ya wananchi walio wengi.
Mgombea wa ccm unamjua atakuwa nani ? Unaona namna mpumbavu anavyo haa hadi kamuinua team jpm makonda unajua kwanini mmakunduchi mpumbavu kafanya hivyo. Kwa ushauri tu ccm wamchague polepole kuwa mgombea urais 2025 hiyo ndiyo itakuwa salama yaoLussu kastuka mapema, anajuwa wakiingia kwenye uchaguzi hawana chao.
Hata mgombea wao hawajui atakuwa nani. Anajijuwa uwa yeye hawezi kugombea tena, sasa anatafuta pakutokea.
Huyu Lissu si alishajiunga chama cha Dr Slaa? hicho chama hakina nguv yoyote ile zaidi ya matusi na mwabukusi ameeka wazi Lissu ni mpenda vyeo si kwa ajili ya watanzania
Nchi inawajinga wengi... Wanafikiri KATIBA ni ya TL au CDM!
Ukiwepo yeye Lisu atafanya nini?
Tukisema nchi hii hakuna wapinzani bali watoa taarifa tunakosea?
Ni wazu kuna uhumi unapangwa kuelekea hiyo 2025.
Bandari haikuuzwa imekodishwa ili kuboresha maisha yenu, badala ya ule uchafu uliopo pale Dar es salaam sasa patajengwa na kuwa kitovu cha biashara, Mama amekuja na mpango mpya na namna mpya kuacha mazoea ili muneemeke sio kupiga hela tu kila ripoti inayokuja.Kina Slaa na timu yao su chama bali ni mkusanyiko wa watanzania wote wenye kuyatambua:
1. Hakuna Katiba mpya, hakuna uchaguzi.
2. Bandari zetu haziuzwi, sasa na hata milele.
Wote wenye utambuzi huo wamo humo. Wewe haupo humo ndugu?
Ngoja tuonee...
Mkuu tubet Million, CHADEMA hawana uwezo wa kususia uchaguzi mkuu, wa serikali za mitaa wanaweza mana hauwaathiri kwenye ruzuku, ila uchaguzi mkuu, hata bila kubadili sheria za uchaguzi hawa jamaa wanashiriki tu lazima,
Napata raha sana nikiona hii picha maana huyu mzee simpendi mnafiki na mdini 100%
Ahsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.
Wenzenu Waha wameshinda Ubunge Pemba πππ₯
Haichekeshi.Ahsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.
Tanzania hakuna uchaguzi, bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura. Kuendelea kushiriki chaguzi kwenye mazingira haya ni upuuzi kama upuuzi mwingine.Unfortunately huu ni msimamo wake wa zamani. Sasa hivi na yeye yuko katika dilemma kwamba waingie au wasiingie. Moyo wake u radhi wasiingie lakini kazunguukwa na watu wanaotaka ubunge ile mbaya, hao ndo hawataki kusikia habari za kutoingia ktk uchaguzi
Napata raha sana nikiona hii picha maana huyu mzee simpendi mnafiki na mdini 100%
Lussu kastuka mapema, anajuwa wakiingia kwenye uchaguzi hawana chao.
Hata mgombea wao hawajui atakuwa nani. Anajijuwa uwa yeye hawezi kugombea tena, sasa anatafuta pakutokea.