Huyu Lissu si alishajiunga chama cha Dr Slaa? hicho chama hakina nguv yoyote ile zaidi ya matusi na mwabukusi ameeka wazi Lissu ni mpenda vyeo si kwa ajili ya watanzaniaHIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano:
View attachment 2797585
HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao.
HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi.
Kauli ya wengi ni kauli Mungu.
Aluta continua!