Lissu: Hakuna Katiba Mpya, hakuna uchaguzi


Kwamba?

"Moyo wake u radhi wasiingie lakini kazunguukwa na watu wanaotaka ubunge ile mbaya, hao ndo hawataki kusikia habari za kutoingia ktk uchaguzi."

Mshana Jr, JokaKuu, mambio, denoo JG, Elli, Allen Kilewella na timu nzima sisi ni ndugu.

"Kuvunjika kwa koleo si mwisho wa uhunzi."
 
Uchaguzi haupo, unaelewa maana yake?

Ttzo sio uchaguzi kutokuepo
Ttzo tanzania kua vyama vya upinzani zaidi ya 20 so ata chama kimoja tu cha upinzani kikiamua kuingia kwenye mchakato wa uchaguzi maana yake uchaguzi utakuepo
Lakin pia chadema hana nguvu na uwezo wa kushawishi vyama vingne vya upinzani visishiliki uchaguzi kwaiyo haitosaidia
Uchaguzi utakuepo chadema watafte mbinu zingne ila iyo ishafeli kbla ata ya kuanza

Kla sku humu uwa tunaishauri chadema itafte mbinu zingne za kufanya siasa na km uwezo wao umekua mdogo wakutafta mbinu bas walipe makampuni pesa yaje yawasaidie kubuni njia mpya ya kufanya siasa Tz ila izi njia zao zishafeli na haziwezi leta matokea ata sku moja na ndo maana ata CCM sku izi imewazalau tena haioni tena km chadema ni mpinzani kwel

Vyama vy upinzani zaid ya 20 icho kimoja kikigoma uchaguzi utafanyika tuu labda km vitagoma vyote nani kitu ambacho hakiwezekan wala hakiwezekan
 

Haya si ya kwako ndugu?

Ninakazia:

1. Wanaotaka katiba mpya sasa.
2. Wasiotaka bandari kuuzwa sasa na hata milele.

Wako kundi moja na kina Slaa. Hilo ni kundi, siyo chama. Humo CCM na vibaraka wao hawamo.

Wewe uko kwenye hili kundi jingine?
 
Matters cannot be surrendered to time, indefinitely:

View attachment 2797752

What and why are we here for?
Baada ya kujumlisha moja na moja nikapata jibu sio mbili kama ilivyozoeleka, ndio maana nikaona afadhali niuachie muda uniletee majibu, kwasababu majibu ninayoyapata mimi mpaka sasa kuhusu hilo suala la kushiriki au kutoshiriki uchaguzi toka kwa hao jamaa, yananipasua kichwa.
 

Kwanini CHADEMA inatajwa hapa? Kwanini CHADEMA inadhani ina wajibu wa kushawishi vyama vingine? Kwanini CHADEMA haidhani hata yenyewe inastahili kushawishiwa?

Suala la uchaguzi kufanyika au kutofanyika si suala la vyama. Hilo ni suala la watanzania.

Kwanini kama ni kuwashawishi tusiwashawishi watanzania?

CHADEMA iache kujibebesha au hata kubebeshwa hatima ya nchi hii na hasa pale wanapokuwa na ndimi mbili.

Kukabidhiwa hatima ya nchi, uwe na msimamo unaoeleweka.
 
Haya si ya kwako ndugu?

Ninakazia:

1. Wanaotaka katiba mpya sasa.
2. Wasiotaka bandari kuuzwa sasa na hata milele.

Wako kundi moja na kina Slaa. Hilo ni kundi, siyo chama. Humo CCM na vibaraka wao hawamo.

Wewe uko kwenye hili kundi jingine?
Mimi sina makundi najielewa, wewe baki na hayo makundi
 

Tatizo liko hapa:

"... hilo suala la kushiriki au kutoshiriki uchaguzi toka kwa hao jamaa, yananipasua kichwa."

Kwani hao jamaa ni nani katika nchi hii? Wenye nchi wananchi.

"Acha wajipange kama ACT au CCM nk, kufanya uchaguzi ambao hautakuwapo."

Hatima ya nchi hii ukiwamo uchaguzi haiwezi kuwa mikononi mwa CCM, CHADEMA, ACT, Samia, au awaye yote.

"Hatima ya hayo, Kwa mujibu wa katiba ipo mikononi mwa watanzania wenyewe."
 
Huyu jamaa si juzi alikuwa anazunguka na mkataba wa bandari mbona hamkususa mkisubiri katiba mpya asiwapotezee dira gombeeni mlale mema ya nchi kama wao
 
Sikuhizi tunamsikiliza Fr Kitima hawa wengine wachumia tumbo tu
 
Mimi sina makundi najielewa, wewe baki na hayo makundi

Kwamba kuna makundi 2. Moja linasema uchaguzi si lazima iwepo katiba mpya na jingine linasema bila katiba mpya uchaguzi usiwepo.

Kwamba hauko katika makundi mawili hayo na Bado unasema unajitambua.

Ni kweli:



🤣🤣
 
Huyu jamaa si juzi alikuwa anazunguka na mkataba wa bandari mbona hamkususa mkisubiri katiba mpya asiwapotezee dira gombeeni mlale mema ya nchi kama wao

Ushauri huu ni kwa akina nani kama vipi tukusaidie kuwafikishia?
 
Hili siyo Jukwaa la Ucheshi

Chadema ni CHAMA tu kama Watoa Taarifa wengine

CCM ni CHAMA DOLA

Kwamba?

"CCM ni CHAMA DOLA"

Ndiyo kina Nyerere, Kingunge, Kinana, JK, Mangula na wenzao walivyokwambia?

Unajua maana ya chama dola?

CHAMA DOLA = Chama cha Majambazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…