Lissu jifunze, Huwezi kushika dola kwa kupambana na dola, Never

boss ni Mungu.

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Tumewagundua nyie wanafiki.

Sasa mtatudangany nini tena.

Yaani kumbe watu wanatekwa, wanauawa nyie mnaenda kula nao pesa? Hizo ni siasa au taka taka.
 
Chama huendeshwa kwa misingi ya katiba, kanuni na miiko hata kama umeona tatizo kuna taratibu zake za kuhoji na sio kuropoka.

Taratibu, misingi, miiko ipi? Chama chenyewe hakifuati hiyo miiko, misingi kama kukataa rushwa, uadilifu, uaminifu, Kupiga vita rushwa.

Ndio kwanza kinakumbatia hayo hadi Wenje anatetea kabisa kufanya vitu nje ya sheria. Viongozi wengine wote wapo kimya.

Lissu inabidi afanyaje?
 
Upo sahihi kabisa, Lissu ni mwadilifu mpenda haki, anachotakiwa kuelewa ni jinsi ya kutekeleza maono yake pasipo kuumiza wengine.
 
Haya mwalimu wa siasa unayejua kuliko simba, upo mitaa gani mida hii?
 
1. Nimeahangaa mnoo Mbowe kumuweka Wenje mbele ilhali ni mtuhumiwa wa rushwa

2. Mbowe amekuwa kipofu totoro
Ana baraka zote za Mwenyekiti Mbowe. Mbowe anamtumia.

Wenje ndio anaenda kuwa makamu wa Mbowe baada ya uchaguzi. Team itakuwa imekamilika, Lissu akiwekwa pembeni.
 
Chama huendeshwa kwa misingi ya katiba, kanuni na miiko hata kama umeona tatizo kuna taratibu zake za kuhoji na sio kuropoka.
Sasa hivi hakuna utofauti kati ya CHADEMA, CUF na TADEA,

Upumbavu mtupu,

Afadhali adui uliomzoea kuliko adui mpya better tuendelee na CCM tu milele.

Kuliko yanayojifanya yanapigania wanyonge kumbe nyuma ya pazia majizi matupu na mara rushwa.
 
Ajifunze kwa Mandela kabla ya kupewa dola kulikuwa na mazumgumzo ambayo walipoafikiana ndiyo akapewa, vinginevyo urais angeusikia tu kwa wengine.

Huwezi kupewa taasisi yoyote uiongoze achilia mbali nchi kwa kuwashutumu viongozi wenzako shtma ambazo ukiambiwa utoe ushahidi wa pasi na shaka unakwama.

Lissu angeutaka uwenyekiti wa CDM bila kutanguliza mashambulizi mbele kuna kura nyingi sana za huruma angezipata, kauli moja tu katika siasa inaweza kukuondolea kura zaidi ya nusu.
Hoja ndogo tu hapa ndugu zangu, hivi utaipata katiba mpya tunayoidai miaka zaidi ya 8 kwa kumuweka kando Rais wa sasa wa nchi? Hili linawezekana kweli?
Unamkwepaje Rais katika harakati zako za kudai katiba mpya? Uingie msituni ama?
 
Sawa, fanya hilo vuguvugu pasipo kukivuruga chama unachotegemea kuja kushika dola.
Lissu kakivuruga vipi!? Umemsikia lini akimshambuliwa mwanachadema yeyote? Naona mnaforce iwe mtakavyo lakini inashindikana. Nnachokiona mitandaoni ni machawa wa Mbowe na CCM kuungana kumshambulia Lissu!!! Hilo limenipa picha tofauti kabisa kuhusu CHADEMA.
 
Mbowe ni jinga jinga fulani, ilikuwaje akakubali kumtukana Mzee Lowasa na akaruhusu atukanwe Dkt Kikwete na akawa anafurahia na mwisho wa siku akaja tena kumfanya Mzee Lowasa kuwa mgombea urais. Nadhani mbowe hafai kabisa. Hiyo NGO yake imebaki na suala la kukuza ushoga tu wanapokea hela za kunajisiana hawq akina heche ni nwendo wa ushoga tu akina mnyika hao. Kwa ufupi Tanzania hatuna upinzani tuna vikundi vya wanaharakati tena si kwa mambo ya msingi bali kwa yale ambayo wanaamuliwa na wazungu kama ushoga
 
Ndiyo maana mlimpiga risasi
 
Unachosema ni uongo,ipo mifano mingi ya wasiokuwa wana sii hasa na wanashika dola na wanakubalika na wanafanya makubwa zaidi ya wana sii hasa(syria) wameamua kuwa serious achilia mifano mingine hai.
 
Sawa, fanya hilo vuguvugu pasipo kukivuruga chama unachotegemea kuja kushika dola.

Kavuruga kitu ambacho ni vurugu tupu au kasema ukweli, chama hakipo organised kinaendeshwa kama familia? Kwa wenye akili wangeshukuru kujua liscam liloloundwa miaka na kudanganya umma hatimaye warekebishe lkn kwa kuwa akili zetu hazijai kisoda msema ukweli anafanywa adui!
 


Kwa hiyo walioshinda uchaguzi nchi zingine walipambana na wananchi?
 
Chama kinabidi kuwa imara, Lissu anajaribu kujenga misingi imara ndani ya chama.

Unatumiwa Wenje akupe rushwa unakataa, unatumiwa achukue nafasi yako ya kuongea na Watanzania na wewe wakuweke pembeni.

Ungekuwa wewe ungefanyaje?
Atumie njia sahihi waliojiwekea na si nje ya utaratibu.
 
Atumie njia sahihi waliojiwekea na si nje ya utaratibu.
Lengo la mwenyekiti, kamati kuu ni kumdhibiti, kumpunguza makali asiishambulie sana serikali.

Njia sahihi ni ipi kwa hali ilivyo sasa?
 
We naye Kenge sijui unaandika upuuzi gani humu , hujui kwamba wanaharakati ndio huwa chachu ya mabadiliko dunia nzima ?
Mfano ni civil rights movement ya akina Martin Luther na Malcolm X Kwa watu weusi kule Marekani miaka ya 60 .
We mpuuzi huna akili
 
Vyama na wanaharakati wanatakiana ila kinachoshika dola ni chama, mwanaharakati atashika dola kwa mgongo wa chama, ukiona mwanaharakati kashika dola bila chama kafanya mapinduzi au katokea msituni.
 
Lengo la mwenyekiti, kamati kuu ni kumdhibiti, kumpunguza makali asiishambulie sana serikali.

Njia sahihi ni ipi kwa hali ilivyo sasa?
Kama Lissu hataki kufuata utaratibu ili kushika dola kupitia vyama tuchague mapinduzi basi au tuingie msituni na Lissu atuongoze.
 
Lissu hakujifunza tu kwa rafiki yake Spika mtata aliyekuwa anatamba ana uwezo wa kumleta mtu yoyote Bungeni kwake kuhojiwa iwe kwa pingu ama karandinga - baada ya kauli ile ya mikopo ya mama nini kimemkuta?
Dola ni dola ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…