Lissu jifunze, Huwezi kushika dola kwa kupambana na dola, Never

Mbowe ni mwanasiasa, mwanasiasa makini hutumia hoja, dialogue, ballot box kushika dola na anaweza kuvumilia hata miaka 50, tofauti na mwanaharakati anayetaka shortcut kutimiza malengo yake iwe kwa mapambano au hata kumwaga damu.
Mbowe ana wabunge wangapi kwa huo umakini wake? Uchaguzi wa serikali za mitaa na vitongoji umempatia viongozi wangapi? Kutoka wangapi?
Umeona huna cha kumfundisha wala kumshauri Lissu, umeamua kujaribu kumshauri ujinga na upumbavu.
Kumbuka nchi zote za Afrika zilipambana na dola za kikoloni kudai Uhuru. Zanzibar alikuwepo Sultani, watu wakapambana na kufanya mapinduzi.
Unataka kuongea kitu gani?
 
Ivi katika mgao na wewe umejumuishwa mkuu? weye lakini si ndugu yake Wenje ww?
 
Dah! Naomba tafadhari niambie chama chochote kilichotumia njia ya kistarabu ktk kuviondoa vyama vya ukombozi afrika. Hivi vyama vya ukombozi vinasirika moja ya kung'ang'ania madaraka
Dunia inabadilika na vita inaanza kuwa out fashioned style ya kupata unachokitaka. Leo ukisema uingie msituni kama Savimbi dunia itakushangaa.
 
Mbowe ana wabunge wangapi kwa huo umakini wake? Uchaguzi wa serikali za mitaa na vitongoji umempatia viongozi wangapi? Kutoka wangapi?
Unaongea kama hauko Tanzania na hujui kilichotokea, sina haja ya kukujibu inawezekana mwenzetu uko Sweden.
 
Huo ni mtazamo wako na yeye anamitazamo yake. Mkuu wewe huwezi kuwa Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…