fundimchundo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2010
- 739
- 1,032
Kwa walio staarabika, "modern politics" unazosema, zinaanza na TUME HURU YA UCHAGUZI.Mimi nazungumzia modern politics siasa za kistaarabu Ila sipingi aina zako za kuingia madarakani za mapinduzi na nguvu ya umma,
Niambie kati ya hizo aina ipi Lissu anaiweza, mapinduzi? au nguvu ya umma kwa umma upi wa watanzania.
Nafikiri hili unalijua.
Sasa tusimulie hizo "modern politics" kwa Tanzania zinafanyaje kazi wakati Tume ya Uchaguzi INATEULIWA NA MMOJA WA WAGOMBEA.