Trump ame pambana na Biden miaka yote minne kapewa kesi za kila Aina, bado kashinda.
Mandela alipambana na utawala katili hadi USA waka muigiza kwenye lists ya Magaidi duniani.
Mbowe hutembelea nyota za wana siasa wengine kwa malengo binafsi ya kupiga pesa, mfano 2005-2015, tulikuwa na kina DR slaa, Zitto, Lissu, Mnyika, Lema, hawa ndo walikuwa wanaibua maovu yote ukipenda kuyaita kuanzia ubinafsishaji wa Mkapa, Kilwete, Mererani, Escrow, Kadogo, Symbion, hao ndio waliiweka chadema kwenye chart sio mbowe.
Lengo kuu la mbowe ni kupitia imaarufu wa uliojengwa na wengine ndani ya chama kupiga pesa, hata issue ya Abdul mtoto wa Samia ni Lissu ndo kaibua, mbowe alisha piga pesa zake kitambo na kutulia , finally pesa ndo anaziita maridhiano , huyu sio mtu wa kuleta mageuzi Tanzania.
Mbowe hajawahi na haitatokea kuwa mwanasiasa bora Tz, kama kuna watu wana muona bora mbowe wape pole, hivi kuna ufisadi wowote ambao amewahi kuibua mbowe katika serikali yeyote zilizopita?