Lissu: Kauli ikiwa haina maana hata kama aliyesema ni Rais haitabadilika kuwa na mantiki

Hili la bandari limewakalia kooni CCM
 
Sijakataa kumkosoa bali naongelea kauli zisizo na staha tu. Rudi usome post yangu, mbona na mimi mwenyewe nimemkosoa Samia!!
Hahaha watanzania bhana ko jambo serious uanze kusema "huo mkaataaba hauna vingepengele vizuuuri tuubadiiiilishe" ndo inatakiwa iwe hivo?
 
Mkuu mbona wewe unaandika vizuri na tunaelewa!! Lakini huyu jamaa anamwita Rais ni akili au matope?? Sidhani hata kama familia yake inakubaliana kwenye hili
Inaonekana kwako rais ni kama Mungu. Hawa viongozi wanaongia madarakani kwa kupora chaguzi za nchi sijui hiyo heshima wanaitoa wapi.
 
Sijakataa kumkosoa bali naongelea kauli zisizo na staha tu. Rudi usome post yangu, mbona na mimi mwenyewe nimemkosoa Samia!!

Kukosoa kwa kuremba ni kama kuna kiunafiki ndani yake.
Yaani kama vile hutaki kufikisha ujumbe ipaswavyo usijeinokena umemkwaza mlengwa

Huewezi tofautisha nyeupe na nyeusi, nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi
 
Mtu auze nchi halafu unataka achekewe chekewe?
Wewe mleta mada unaongea kitu gani?
Rais alitumia neno stupid!
Mbona hujaja hapa kumuanzishia mada?
Waswahili walisema kuwa mdomo uliponza kichwa.

Alipokaa kimya waliendelea kumshambulia wakijua hana mamlaka wala uthubutu wa kuwafanya kitu.
 
So?
 
Sawa mwambukusi, ukitoka usisahau kuyakunja tena marinda yako, ili isije kujulikana kuwa kuna mtu aliyapiga pasi jela.
 
Lissu tusimtukane sasa hivi atatusaidia kurudisha bandari yetu huyu
 
Hili ni jukwaa huru, kila mtu yupo huru kuandika kile anachokitaka.

Natumia vocha zangu na wewe unatumia za kwako.

So kama umeona mimi ninafurahi, basi na wewe lia. Haina haja ya kuulizana au kupangiana cha kuandika.
 
Hili ni jukwaa huru, kila mtu yupo huru kuandika kile anachokitaka.

Natumia vocha zangu na wewe unatumia za kwako.

So kama umeona mimi ninafurahi, basi na wewe lia. Haina haja ya kuulizana au kupangiana cha kuandika.
Mbona kama umekarika, nimuliza sio kwa ubaya....uwe na siku njema.
 
LISSU NI KICHAA
 
Hivi Lisu kulipwa stahiki zake, na kufutiwa kesi yake, vilikuwa ni rushwa ya kumfanya Lisu asiseme hata akiona mambo ya hovyo yanatendeka?
Binadamu mwenye viungo vilivyo sahihi na akili nzuri lazima atatafuta njia ya kukosoa lakini siyo kama alivyofanya Tundu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…