Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 2,228
- 3,045
Hili la bandari limewakalia kooni CCMMkuu na wewe unaona hili tatizo la kujifaragua na fake modesty na staha staha za kijinga pia?
Rais akiharibu unampa za uso tu, staha anapewa mtu anayejistahi.
Mtu rais mzima anasaini mikataba kama hajui kusoma, unamstahi ili iweje?
Unamchana kisawasawa tu.