mkuuwakaya
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 1,063
- 1,456
Niko tayari kumsindikiza mhe. LISSU NCCR Mageuzi halafu mi narudi zangu CDM.Kama mtu anataka kugeuza chama mali yake, Lissu afanyaje?
Kile cha ubwabwa si yuko yule mzee mwenye Madevu, atakubali kweli kukaa kando?Duh! Tetesi zimezidi kuwa nyingi. Walisema atahamia chama cha ubwawa, leo mna tetesi anaenda nccr, je kesho mtakuja na tetesi ipi?
π€£ awepo au asiwepo cha msingi ubwabwa uwepoKile cha ubwabwa si yuko yule mzee mwenye Madevu, atakubali kweli kukaa kando?
πππ eti ubwabwa. Unapenda sana Ubwabwa.π€£ awepo au asiwepo cha msingi ubwabwa uwepo
bora atoke tu kwenye chama cha mtuKama mtu anataka kugeuza chama mali yake, Lissu afanyaje?
Lissu akihamia kwenye ubwawa, Kimasihara masihara utashangaa chama cha ubwawa kinashinda uchaguzi mwaka 2025 mpaka uraisπππ eti ubwabwa. Unapenda sana Ubwabwa.
πππhivi UDP bado ipo? Hii nchi bwanaAnakwenda UDP kwa mapesa.
πππ aisee bongo hii hii?Lissu akihamia kwenye ubwawa, Kimasihara masihara utashangaa chama cha ubwawa kinashinda uchaguzi mwaka 2025 mpaka urais
Mzee Mapesa kachoka sana anataka kumwingiza kwenye mfumo.πππhivi UDP bado ipo? Hii nchi bwana