Tetesi: Lissu kuhamia NCCR Mageuzi mwezi February 2025. Selasini ajiandae.

Tetesi: Lissu kuhamia NCCR Mageuzi mwezi February 2025. Selasini ajiandae.

mkuuwakaya

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
1,063
Reaction score
1,456
Mshukuru Mungu kuvuka mwaka na kupata hii habari ikiwa bado ya moto.

Nimepenyezewa hapa na mtu wa jikoni ndani kabisaa, kwamba mheshimiwa sana Lissu ataenda kuimarisha NCCR Mageuzi.

Hii inatokana na kuona kabisa Maji yamezidi unga.

Safari hii Lissu kajaa kwenye mfumo bila kujijua. Kashatiwa nyavuni. Hii ataijua baada ya uchaguzi tar 21 Januari na kuendelea.


Mod msiufute huu uzi.
 
Back
Top Bottom