GE2020 Lissu kuisimamisha Dar (Agosti 28, 2020). Kampeni rasmi Mbagala Zakhiem

GE2020 Lissu kuisimamisha Dar (Agosti 28, 2020). Kampeni rasmi Mbagala Zakhiem

Hahahahah najiuliza tu kwanini wasanii Wana siasa wakitaka kufanya matamasha ya wazi huchagua Sana Mbagala? Ningependa kumuona Mtu Anae jiona anakubalika anafanyia mkutano msasani tuone Kama kweli atapata nyomi.


CCM wanawasanii zaidi ya Mia.

Kikwete kipindi chake chapili alikuwa hakubaliki Sana ila hakua na wasanii wengi hivyoo. Huyu mungu wa CCM wanaesema anakubalika. ndo kununua wapinzani na kuwahonga vyeo, kuwakata wapinzani, bado alizuia siasa, WOGA WOTE HUO WA NINI??
 
Hata bila wasanii mkutano unajaa saa tano asubuhi watu watakaohudhuria, 1: watumishi wa umma 2:Wenye ndg zao waliodhurumiwa koroshow kusini 3; waliobomolewa nyumba bila fidia kimara 4: Vijana waliomaliza vyuo vikuu wanazurura na bahasha mkononi bila kujua hatma yao ambao ndio wengi etc.....
 
Hahahahah najiuliza tu kwanini wasanii Wana siasa wakitaka kufanya matamasha ya wazi huchagua Sana Mbagala?

Ningependa kumuona Mtu Anae jiona anakubalika anafanyia mkutano msasani tuone Kama kweli atapata nyomi.
Swali la kipumbv.... !! Mbona hujiulizi wanaotembea na mabulungutu kila siku... au toa hotuba makanisani ?
 
Hahahahah najiuliza tu kwanini wasanii Wana siasa wakitaka kufanya matamasha ya wazi huchagua Sana Mbagala?

Ningependa kumuona Mtu Anae jiona anakubalika anafanyia mkutano msasani tuone Kama kweli atapata nyomi.
Popote atakapo kuwepo Lissu atajaza nyomi hata iwe Masaki au Oysterbay!
 
kwa hiyoo ni leo Ijumaa au vp??
kwa uwezo wa Mungu itabidi nifike tena mapema kabisaaaa
 
Kimbungaa kilianzia Kanda ya Pwani

Kesho ndio kesho kimbunga kitatibuka Jimbo la Mbagala Zakheim

Ni Uzinduzi wa kampeni ya Rais Mhe Tundu Lissu na makamu wa Rais Mhe Salum Mwalimu, kuanzia saa tano asubuhi

BAWACHA, BAVICHA, BAZECHA Mwanachama na Mwananchi tukutane Mbagala Zakheim

Rangi ya kampeni zetu ni Nyekundu

Karibuni sana wana mageuzi wote kwa ujumla wetu tuianze safari ya mafanikio,

Umoja wetu ndiyo ushindi wetu wa kuiondosha CCM madarakani.

Jangwani siku hizi hawafanyii mikutano? mbagala pembeni sana.
 
Mbagala vyama pekee vinavoweza jaza wakazi wa eneo husika la mbagala Ni CCM,CUF na ACT wazalendo tu

Chadema itabidi wakodi malori kupeleka Watu kile hawana Watu kule
 
Jee vipi kuhusu wagombea walio enguliwa ?
Ndio imepita kirahisi ?
 
Mbagala hata wauza dawa za nguvu za kiume na watu wa mazingaombwe Hua Wana jaza pia lisu kachagua mbagala ili aonekane Ana jaza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizo ni akili za lumumba
 
Mbagala hata wauza dawa za nguvu za kiume na watu wa mazingaombwe Hua Wana jaza pia lisu kachagua mbagala ili aonekane Ana jaza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona nyinyi mmeikimbia dar? Mkaona heri mjisalimishe kwa kina Matonya wale ambao hadi sasa wanaamini kuwa Nyerere bado yupo hai?
 
Back
Top Bottom