Uchaguzi 2020 Lissu kuisimamisha Dar (Agosti 28, 2020). Kampeni rasmi Mbagala Zakhiem

Nipo apa kwenye tv toka saa 3;45 ili kufuatilia kampen za cdm live..lakn hadi wasaa huu sion dalili yyte ya kampeni chanell zote zidi ya matangazo ya kampeni ya CCM kesho.

Wenye uelewana hili anambye tafadhali

#magema jr
Hayo ndiyo matumizi sahihi ya kodi za watanzania bila kujali itikadi za siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Updates makamanda, nataka nifunge safari nije huko.
 
TBC na unafki wao uliopitiliza eti leo wataonyesha, ila watakuwa wanaonyehsa sehemu zenye magepu ya watu.
 
Wanafiki sana, na wamelazimishwa kufanya hiyo coverage na jiwe ili kuwaonyesha mabeberu kuwa kuna fair ground kwenye uchaguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani, yani ningekuwa na cheo CHADEMA ningekataa, wao waendelee kuonyesha madaraja na ndege , na safari ya Dodoma na kina Saniniu laizer, Mungu akipanga jambo lake lazma litimie, hakuna damu inayikaa mikononi mwa mtu ikamuacha salama.
 
Hii ndio portrait (picha) ya anayejinadi kama the next president! Angalieni collar za shati yake!! Umakini katika nukuu za sheria tuuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…