Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanao takiwa kupigania haki hiyo ni pamoja na wewe ambaye unaishia kulalamika tu kupitia jf, njoo field utoe mchango wako.Itasaidia nini ikiwa dhuluma haikomi?!
Kujaza uwanja huku unadhulumiwa, faida yake nini?!
Yani tunagombea ku show off wakati hatupiganii haki ya ushindi wetu?!
Unadhani naishi wapi?!Wanao takiwa kupigania haki hiyo ni pamoja na wewe ambaye unaishia kulalamika tu kupitia jf, njoo field utoe mchango wako.
Cdm wanapigania haki kwa watanzania woote wala siyo kwa wana cdm pekee yao.
A move towards peaceful transfer of power from dictator Magu to Hon Tundu A LissuKimbungaa kilianzia Kanda ya Pwani
Kesho ndio kesho kimbunga kitatibuka Jimbo la Mbagala Zakheim
Ni Uzinduzi wa kampeni ya Rais Mhe Tundu Lissu na makamu wa Rais Mhe Salum Mwalimu, kuanzia saa tano asubuhi
BAWACHA, BAVICHA, BAZECHA Mwanachama na Mwananchi tukutane Mbagala Zakheim
Rangi ya kampeni zetu ni Nyekundu
Karibuni sana wana mageuzi wote kwa ujumla wetu tuianze safari ya mafanikio,
Umoja wetu ndiyo ushindi wetu wa kuiondosha CCM madarakani.
Wala sio burigiDSM siyo Kilimanjaro!
Tuache na Tundu wetu wewe endelea kuandika hayo mapage hako mengii hakuna anaekuelewa
Mzee 6 ndie alikuwa akimtibu uwo muwasho!Nina wasiwasi na wewe hakuna uzi utakaopita bila kuongele UBWABWA sema dogo kama mdudu washawasha anakusumbua nimwambie Kawe Alumni amtulize kwa niaba Polepole
'Mama Kuna kipele kina kuwasha pahali fulaniHuyo mgombea mwenza anatabasam au analia? Yaani hata haendani halafu
Malori wamekuwa CCMMbagala vyama pekee vinavoweza jaza wakazi wa eneo husika la mbagala Ni CCM,CUF na ACT wazalendo tu
Chadema itabidi wakodi malori kupeleka Watu kile hawana Watu kule
Ok tulia basi niendelee kulalamikaNi vigumu sana kujua
Poa
Halafu baada ya kura panya wekundu watakimbilia kulia kwa mabeberuKesho panya wote wa kijani watatoka mapangoni kwenda kumsikiliza 'The chosen One' TL.
Lissu mtasubiri sana, hakuna namna 2020-2025 Magu ana jambo lake la manufaa kwa watanzaniaBaba hata ungeandika page 100 kwa unyama anaoufanya Magufuli hatuwezi kumoenda bora huyo TL,Magu muuaji ,mnyanganyi,mfitini ,mnafiki,mbaguzi wa kabila na dini.Anajifany ni muumuni mzuri kumbe mnafiki kupitiliza..Tuache na Tundu wetu wewe endelea kuandika hayo mapage hako mengii hakuna anaekuelewa kwa huyu shetani
Lissu ni mtume wa Mungu kuja kutukomboa sisi watanzania na safari hii ndiye rais wako wa awamu ya 6Lissu mtasubiri sana, hakuna namna 2020-2025 Magu ana jambo lake la manufaa kwa watanzania