Lissu kuwa na kaba ya ulimi, unawapa clue wafuatilie calls zako kumjua aliyekwambia kuhusu wasiyojulikana

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Nimeshangaa Lisu kusema kuwa kuna mtu mkubwa sana hayupo serikalini amemfahamisha kuwa anawindwa kudhuliwa ili asingiziwe Mbowe.

Fine, unaropoka kitu nyeti kama hicho, technolojia ya sasa watafuatilia nani alikupigia simu/whatsapp kutoka kwenye makampuni ya simu na kumjua huyo unayemficha!
Kwanini hana kaba ya ulimi?
Acha unanga wako wewe. Unadhani Lissu ni mjinga kutojua haya? Hii habari imetolewa kimkakati na nanga kama wewe siyo rahisi kuelewa.
 
Mkuu,

Una hakika kuna mtu mkubwa kweli na hizi si mbinu za vita kujihami kwa insurance policy tu?
 
Ndo mtu mzuri mambo ya kua kimya kimya ndo imetufikisha hapa tulipo, mnafikia mpaka maridhiano ya kipewa pesa huo ni usaliti wa watanzania wanao penda chama chako, eti nyeti.
Halafu kinachojadiliwa kwenye maridhiano ikabaki kuwa siri ya Mbowe!!!

Shieeé!!(mshangao wa kimasai).

Halafu kumbe wanajadili kugawiwa majimbo na ccm.
 
Ukijifanya msiri sana unatolewa upepo maisha yanaenda. Mimi naona yuko sawa tu,

Hata mtaani mtu akihisi anaviziwa arogwe, utasikia nimetoka mbali, jaribu uone, amazangu ama zake. Hizo mikwara za kumrudisha nyuma adui. Hahaha.
 
Acha unanga wako wewe. Unadhani Lissu ni mjinga kutojua haya? Hii habari imetolewa kimkakati na nanga kama wewe siyo rahisi kuelewa.
Nimeshangaa, huyu jamaa ni nanga kweli. Hata lissu asingesema hayo bado laziima watakua wanafuatilia calls zake siku zote. Na sio lissu tu hiyo ni kwa watu wengi ambao wanahisiwa kuwa ni threat
 
Correct. Mtu akam Lissu atakuwa mjinga sana kutumia simu kwa vitu nyeti.
 
Halafu kinachojadiliwa kwenye maridhiano ikabaki kuwa siri ya Mbowe!!!

Shieeé!!(mshangao wa kimasai).

Halafu kumbe wanajadili kugawiwa majimbo na ccm.
Huyu ni hateri kwa watanzania hata kuliko CCM yenyewe kwahiyo uchanguzi hauna maana wakati pesa nyingi hutumika kusomamia huo uchanguzi hao viongozi wakina Zitto na huyu mwenxie bora waiingii CCM
 
Back
Top Bottom