Lisu kaumbwa hivyo, wa kulaumiwa ni Mungu. Kwa Lisu nyeupe ni nyeupe.Kwanini hana kaba ya ulimi?
Hapa kwenye siasa za Tanzania hamna kitu nyeti ni kuji-tune akili zako mwenyewe.Nimeshangaa Lisu kusema kuwa kuna mtu mkubwa sana hayupo serikalini amemfahamisha kuwa anawindwa kudhuliwa ili asingiziwe Mbowe...
Ndo mtu mzuri mambo ya kua kimya kimya ndo imetufikisha hapa tulipo, mnafikia mpaka maridhiano ya kipewa pesa huo ni usaliti wa watanzania wanao penda chama chako, eti nyeti.Lisu kaumbwa hivyo, wa kulaumiwa ni Mungu. Kwa Lisu nyeupe ni nyeupe.
Acha unanga wako wewe. Unadhani Lissu ni mjinga kutojua haya? Hii habari imetolewa kimkakati na nanga kama wewe siyo rahisi kuelewa.Nimeshangaa Lisu kusema kuwa kuna mtu mkubwa sana hayupo serikalini amemfahamisha kuwa anawindwa kudhuliwa ili asingiziwe Mbowe.
Fine, unaropoka kitu nyeti kama hicho, technolojia ya sasa watafuatilia nani alikupigia simu/whatsapp kutoka kwenye makampuni ya simu na kumjua huyo unayemficha!
Kwanini hana kaba ya ulimi?
Mkuu,Nimeshangaa Lisu kusema kuwa kuna mtu mkubwa sana hayupo serikalini amemfahamisha kuwa anawindwa kudhuliwa ili asingiziwe Mbowe.
Fine, unaropoka kitu nyeti kama hicho, technolojia ya sasa watafuatilia nani alikupigia simu/whatsapp kutoka kwenye makampuni ya simu na kumjua huyo unayemficha!
Kwanini hana kaba ya ulimi?
Anaweza vile vile kuwa ameambiwa face to face lakini akaamua kutoa habari kwa kupiga chenga.Lisu kaumbwa hivyo, wa kulaumiwa ni Mungu. Kwa Lisu nyeupe ni nyeupe.
Halafu kinachojadiliwa kwenye maridhiano ikabaki kuwa siri ya Mbowe!!!Ndo mtu mzuri mambo ya kua kimya kimya ndo imetufikisha hapa tulipo, mnafikia mpaka maridhiano ya kipewa pesa huo ni usaliti wa watanzania wanao penda chama chako, eti nyeti.
Nimeshangaa, huyu jamaa ni nanga kweli. Hata lissu asingesema hayo bado laziima watakua wanafuatilia calls zake siku zote. Na sio lissu tu hiyo ni kwa watu wengi ambao wanahisiwa kuwa ni threatAcha unanga wako wewe. Unadhani Lissu ni mjinga kutojua haya? Hii habari imetolewa kimkakati na nanga kama wewe siyo rahisi kuelewa.
Kama ni mbinu ya kimedani, haina shidaAnaweza vile vile kuwa ameambiwa face to face lakini akaamua kutoa habari kwa kupiga chenga.
Sisi watanzania ni rahisi sana kuwa manupulated kwa sababu huwa hatupendi kutafakari mambo kwa kina. Nadhani elimu na makuzi ndiyo yamesababisha.Mkuu,
Una hakika kuna mtu mkubwa kweli na hizi si mbinu za vita kujihami kwa insurance policy tu?
Correct. Mtu akam Lissu atakuwa mjinga sana kutumia simu kwa vitu nyeti.Nimeshangaa, huyu jamaa ni nanga kweli. Hata lissu asingesema hayo bado laziima watakua wanafuatilia calls zake siku zote. Na sio lissu tu hiyo ni kwa watu wengi ambao wanahisiwa kuwa ni threat
Huyu ni hateri kwa watanzania hata kuliko CCM yenyewe kwahiyo uchanguzi hauna maana wakati pesa nyingi hutumika kusomamia huo uchanguzi hao viongozi wakina Zitto na huyu mwenxie bora waiingii CCMHalafu kinachojadiliwa kwenye maridhiano ikabaki kuwa siri ya Mbowe!!!
Shieeé!!(mshangao wa kimasai).
Halafu kumbe wanajadili kugawiwa majimbo na ccm.