Lissu kuwa na kaba ya ulimi, unawapa clue wafuatilie calls zako kumjua aliyekwambia kuhusu wasiyojulikana

Nimeshangaa Lisu kusema kuwa kuna mtu mkubwa sana hayupo serikalini amemfahamisha kuwa anawindwa kudhuliwa ili asingiziwe Mbowe.

Fine, unaropoka kitu nyeti kama hicho, technolojia ya sasa watafuatilia nani alikupigia simu/whatsapp kutoka kwenye makampuni ya simu na kumjua huyo unayemficha!

Kwanini hana kaba ya ulimi?

PIA SOMA
- Tundu Lissu: Watekaji wanataka wanimalize wamsingizie Mbowe

- Tundu Lissu afunguka A-Z wasiojulikana kutaka kumuumiza!
kweli kabisa, hapa kamuuza mwenzie aisee!!
 
Ni kweli wauwaji wamepewa resources na huenda wanamilki Pegasus kwahiyo ni Busara sana Lissu awe muangalifu sana kwenye mawasiliano yake.

Awe anazima na Location ya kwenye simu zake.

Chama kiwafungie CCTV Viongozi wote
 
Angepata urais 2020,bila shaka angekuwa anatoa siri za nchi hadharani au siyo😂😂😂
 
Nimeshangaa Lisu kusema kuwa kuna mtu mkubwa sana hayupo serikalini amemfahamisha kuwa anawindwa kudhuliwa ili asingiziwe Mbowe.

Fine, unaropoka kitu nyeti kama hicho, technolojia ya sasa watafuatilia nani alikupigia simu/whatsapp kutoka kwenye makampuni ya simu na kumjua huyo unayemficha!

Kwanini hana kaba ya ulimi?

PIA SOMA
- Tundu Lissu: Watekaji wanataka wanimalize wamsingizie Mbowe

- Tundu Lissu afunguka A-Z wasiojulikana kutaka kumuumiza!
Ulitaka anyamaze ili iweje? Pengine anawapima tu asikie milio itatokea wapi?
Haya mmeanza
Lissu sema usiogope
Tutaelewana tu
 
yale yale ya kesi ya Tigo ....was there a need to call a press conference for that? Those were his confidential internal strategies. Was there a need to call for a press conference?

Ameanika, mbinu zake , sasa kawapa njia ya kupambana naye.....na ndiyo maana katoka Ulaya kakaa kimya!
 
Anatumia Whatsapp iliosajiriwa Belgium kwahiyo hamuwezi kufuatilia mawasiliano yake
 
Hata miaka ile alikuwa anaongea ongea hivyohivyo watu wakamuona kama mpuuzi lakini baadae kilichotokea.....................
 
MBAYA WAKO MWENYE NYENZO ATAKUFUATILIA TU> TISS wana wataalamu wao.....anasema ana simu tatu...watakuletea valangati nyumbani wazichukue waZidukUe halafu wanakurudishia kiroho safi... au unasemaje
ALL IN ALL KWANINI USEME HAYO YOTE? WHY NOT KEEP QUIET??
Kwahiyo tiss wanadukua wapinzani kwani ni wahalifu au tiss ipo kulinda CCM?
 
Nimeshangaa Lisu kusema kuwa kuna mtu mkubwa sana hayupo serikalini amemfahamisha kuwa anawindwa kudhuliwa ili asingiziwe Mbowe.

Fine, unaropoka kitu nyeti kama hicho, technolojia ya sasa watafuatilia nani alikupigia simu/whatsapp kutoka kwenye makampuni ya simu na kumjua huyo unayemficha!

Kwanini hana kaba ya ulimi?

PIA SOMA
- Tundu Lissu: Watekaji wanataka wanimalize wamsingizie Mbowe

- Tundu Lissu afunguka A-Z wasiojulikana kutaka kumuumiza!
Mtu aliyepigwa risasi miaka 7 tu iliyopita, akaponea chupuchupu unawezaje kumzuia kusema eti awe na kaba ya ulimi, yaani asiseme. Amewawahi kabla hamjatekeleza uovu wenu. Mmezoea damu za watu kama maji ya kunywa. Hatutegemei siasa kuwa kaburi la Watanzania, badala ya kuwa mahala salama.
 
Nimeshangaa Lisu kusema kuwa kuna mtu mkubwa sana hayupo serikalini amemfahamisha kuwa anawindwa kudhuliwa ili asingiziwe Mbowe.

Fine, unaropoka kitu nyeti kama hicho, technolojia ya sasa watafuatilia nani alikupigia simu/whatsapp kutoka kwenye makampuni ya simu na kumjua huyo unayemficha!

Kwanini hana kaba ya ulimi?

PIA SOMA
- Tundu Lissu: Watekaji wanataka wanimalize wamsingizie Mbowe

- Tundu Lissu afunguka A-Z wasiojulikana kutaka kumuumiza!
Yaani awindwe kuuawa na bado mnataka asiseme....

Seriously?
 
Ukijifanya msiri sana unatolewa upepo maisha yanaenda. Mimi naona yuko sawa tu,

Hata mtaani mtu akihisi anaviziwa arogwe, utasikia nimetoka mbali, jaribu uone, amazangu ama zake. Hizo mikwara za kumrudisha nyuma adui. Hahaha.
🤣 🤣 🤣
 
Lissu hana aura ya Urais - hata uenyekiti - He is good at staying at the corner na kufanya mashambulizi - ndicho kipaji chake, au alivyokuwa bungeni pale

Huku kwingine kwenye kuhitaji hekima zaidi na utulivu huku ukijipiga speed governor mwenyewe hawezi - ataharibu.

Huyu ni kiungo mshambuliaji lkn sio captain. Na nyinyi watu weusi - mjifunze kila mtu ana kipawa chake - Lisu ni mwanaharakati - asaidie taifa kwenye harakati zake.
Mkuu si useme tu kuwa unamuogopa Lissu kuliko kuleta hizi ngonjera za kipuzi kuwa nafasi ya uwenyekiti/urais kwenye chama cha siasa ina watu maalum wa kuishika.

Hapa umezingua sana Mkuu!!
 
Nimeshangaa Lisu kusema kuwa kuna mtu mkubwa sana hayupo serikalini amemfahamisha kuwa anawindwa kudhuliwa ili asingiziwe Mbowe.

Fine, unaropoka kitu nyeti kama hicho, technolojia ya sasa watafuatilia nani alikupigia simu/whatsapp kutoka kwenye makampuni ya simu na kumjua huyo unayemficha!

Kwanini hana kaba ya ulimi?

PIA SOMA
- Tundu Lissu: Watekaji wanataka wanimalize wamsingizie Mbowe

- Tundu Lissu afunguka A-Z wasiojulikana kutaka kumuumiza!
Whatsapp call zaweza kufuatiliwa kweli?
Screenshot_20241218-070618_Chrome.jpg
 
Hakuna cha kuumbwa, ni kukosa busara. Lisu is good, extraordinary good in almost all walks of life, lakini hana busara na hekima!

Mfano mwingine unasema kwenye uchaguzi ujao ametangaza "confrontation" na Samia/serikali with regard to electoral misdeeds wanazofanya CCM. Ukitaja hivyo unamandaa Samia na nyenzo zake zote kukukabiri. Nyamaza fanya confrontation bila kum alert Samia!
Mkuu soma vizuri andiko lako, wewe mwenyewe unakiri kuwa ndugu Lissu, nakunukuu;~

"Lissu is good, extraordinary good in almost all walks of life" mwisho wa kukunukuu. Kwa kauli yako hii tukueleweje???

Mkuu sio kwamba busara/hekima yako mkweche ndio unataka kuimpose kwa Lissu.
 
Mbona alisema kua alimuiluza huyo MTU kama anaweza kuliweka wazi na huyo mtu akampa go-ahead?ulielewa hii sentence?
 
Back
Top Bottom