Lissu na Muungano wa mchongo, aeleza kutekwa kwa Jumbe

Watamfanya nini sasa,,,hao labda wajikusanye waanze kumrushia majini ,huo ndo ubabe pekee watu wa visiwani wanaouweza
 
Anaongelea ubaya wa muungano mikoani, mwambieni afike Tandika Dar es Salaam walikojaa wazanzibari aongee huo ujinga wake aone kama atapigiwa makofi au atazomewa kama mbwa Koko

Anaongelea ubaya wa muungano Kwa watu wasiojua hata Zanzibar Iko wap,i sijui Mpwapwa sijui Iringa sijui wapi

Mwambieni huo ujinga wake wa kuponda muungano afanye mkutano Mbagala au Temeke au Tandika ambako watanganyika wapo wengi na wazanzibari wako wengi kama hajazomewa kama kibaka mwiba kuku.
Tundu Lissu alishindwa na Jiwe itakuww nyie wala urojo
 
anaongelea ubaya wa muungano mikoani mwambieni afike Tandika Dar es salaam walikojaa wazanzibari aongee huo ujinga wake

Aone kama atapigiwa makofi au atazomewa kama mbwa Koko

Anaongelea ubaya wa muungano Kwa watu wasiojua hata Zanzibar Iko wapi sijui mpwapwa sijui Iringa sijui wapi

Mwambieni huo ujinga wake wa kuponda muungano afanye mkutano mbagala au temeke au Tandika ambako watanganyika wapo wengi na wazanzibari wako wengi kama hajazomewa kama kibaka mwiba kuku

Ungeambiwa mfano utengeneze muungano na Rwanda au Burundi leo. Ungetengeza muuungano kama huu? Mfano Tanzania ichukue nafasi ya Tanganyika na Rwanda ya Zanzibar. Rwanda iwe na haki zote kama Mzanzibari kwenye huo muungano.

Ungewapa. Wananchi wa hizo mbili kura ya maoni kuwauliza ni muungano gani wanautaka? Lissu anaonyesha mapungufu ya huu muungano na jinsi ya kuuboresha.
 
Muungano huu uliopo ulikuwa ratified na wawakilishi Wao waliowachagua yaani baraza la wawakilishi Zanzibar na bunge
 
Lini, vizazi vingapi vimepita? Una manufaa yoyote kwa kizazi cha sasa kwa huu muuundo wa 1964? Kwanini tusikubaliane kuuboresha leo, sasa hivi kila nchi (Zanzibar na Tanganyika) wawe na amani?
 
CCM ndio wanufaika wa huu muungano wa mchongo.
 
Anaongelea ubaya wa muungano mikoani, mwambieni afike Tandika Dar es Salaam walikojaa wazanzibari aongee huo ujinga wake aone kama atapigiwa makofi au atazomewa kama mbwa Koko

Anaongelea ubaya wa muungano Kwa watu wasiojua hata Zanzibar Iko wap,i sijui Mpwapwa sijui Iringa sijui wapi

Mwambieni huo ujinga wake wa kuponda muungano afanye mkutano Mbagala au Temeke au Tandika ambako watanganyika wapo wengi na wazanzibari wako wengi kama hajazomewa kama kibaka mwiba kuku.
Nimemsikil;iza tangu mwanzo mwisho, amewamaliza!
 
TUNDU LISU ,kupona Lisasi zile

Kwamba,Taifa lilipona sasa twendenae
 
Siku ya uhuru wa Tanganyika?Tanzania?

Sherehe za uhuru! Upi?

Mwenge wa uhuru! Upi?

Uwanja wa uhuru
 
Kwamba watu wa nchi nyingine wanahusiana nn na tandika
 
Back
Top Bottom