Lissu, na Wanaharakati kuweni makini mtapeleka Mbowe jela hamna mnachomsaidia kwenye kesi yake

Upo sahihi,hata mimi sikuona haraka ya Lissu kwenda kuongea kwenye media kiasi kile.
 
Reactions: Tui
Niliumia niliposikia kuwa Mbowe ana kesi ya kujibu. Huu siyo mwelekeo mzuri.

Huyo Lissu asitegemee Kuna mwaka atakuwa rais wa Tanzania
Umepatwa na nini?Hairuhusiwi kumkosoa Makamu Mwenyekiti. Mamndenyi utatengwa shemeji yangu.
 
Kesi ya Sabaya haikupikwa? Mkuu wa wilaya kutumia Vx la serikali kufanya ujambazi? Mbona mlishangilia alipofungwa?
Check evidence ndio urud kuandika, kama huna evidence omba utapewa!!
 

Yale mashtaka yanaweza kuwa ya kweli but serikali ikaamua Tu kumwacha

Ila sasa Kwa chadema hii ambayo wao wanachojua ni kujifanya wanajua Sana ni tatizo
 

Inafahamika uvccm mnaumia mno kuwa Lissu kaweka wazi alichoongea na Samia. Kwani hata hivyo kuna mapya?

Rais Samia, hayupo mchawi, pafahamu ulipotuchanganya

Zoeeni tu njama zenu uchwara za kujaribu kumfananisha Lissu na sambarau zimekufa kifo cha mende.
 
Magufuli ndiye alikuwa na tabia hii. Pengine hata Zitto naweza kukubali ana tabia hii. Lissu ni mkweli na muwazi. Siyo kibaraka na mnafiki kama Zitto.
muulize alitaka Lisuu afanye nini kwenye hili. Ambembeleze Samia amwachie gaidi? Gaidi anaachiwa kwa kubembeleza?
 
Kwani unadhani tundu hautaki uenyekiti Taifa?
 
Yale mashtaka yanaweza kuwa ya kweli but serikali ikaamua Tu kumwacha

Ila sasa Kwa chadema hii ambayo wao wanachojua ni kujifanya wanajua Sana ni tatizo
Yanaweza yakawa ya kweli ama si kweli. hakuna ugaidi kwa Tshiling 600,000 akilini haliingii.. labda kama kuna tafsiri ingine
 
Sasa hata mkimpeleka huyo Mbowe jela kwa kesi ya kupika, mtapata faida gani! Zaidi tu mnaendelea kudarauliwa na Watanzania wenye akili timamu
Yaani hapa Ritz anaonyesha kuwa a naamini hii kesi ni ya kubumba na Mbowe kwenda au kutokwenda jela kunamtegemea Maza. Kwa kifupi ni kesi ya Maza.
 
Inaweza isiwe kwa pesa but ikawa Nia ya kufanya Ugain
Pale hakuna ugaidi.. wote wameshindwa thibitisha huo ugaidi.. kama ni uarifu sawa.. kama kuna tafsiri mpya ya ugaidi ambayo ipo sawa..
 
Ipo haja ya wote waliobumba kesi hii ya uongo wachukuliwe hatua. Wakiwemo siro, kingai, mahita jumanne gudlack majaji na mahakimu wote waliojiingizia pesa haramu kama posho mbalimbali za kushiriki kesi ya uongo na kuitia hasara kodi yetu.
Hio gharama ya kuendesha kesi si ingenunua hata madawati.
 
Pimbi katika ubora wake. Mbona imekuwa opposite? Ulivyoandika huu uzi ulikuwa unajiamini kwamba kifungo hakiepukiki isipokuwa inakuwa catalysed na akina Lissu. Yapo wapi Sasa?
 
Lissu ana akili sana, hasa kwenye sheria na historia. Sijawahi kuona Mtanzania aneyeijua Sheria na Historia vizuri kama Lissu.
Lissu ni ile jamii ya watu inayojiona ina akili sana na kujua kila kitu...Lissu anaamini yeye ana akili na kila mtu anapaswa kumsikiliza na kumtii maana anachokiongea yeye ndio sahihi..
 
Pimbi katika ubora wake. Mbona imekuwa opposite? Ulivyoandika huu uzi ulikuwa unajiamini kwamba kifungo hakiepukiki isipokuwa inakuwa catalysed na akina Lissu. Yapo wapi Sasa?
Punguani wahed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…