Lissu na wanaharakati wa CHADEMA, nchi yetu haitakombolewa kwa 'Space'

Katiba ya mwaka 1977 ndiyo inayowapa uhuru CDM wa kufanya makongamano na maandamano ya amani.Anayevunja katiba hapo ya mwaka 1977 ni serikali ya ccm kwa kushindwa kutimiza wajibu wao ulio ainishwa kwenye katiba.
 
Heshima huenda kwa anayejiheshimu.Asiyejiheshimu huchukuliwa kama wahuni wengine tu.
 
Kipindi cha JK huyo mfalme wenu Mbowe, hawakuhi kesema hatupo tayar kumpa muda rais kuhusu katiba, unapombwa Rais Samia hayo maneno maana yake ni kuwa watapambana nae. Hiyo ni battle na Rais.
 
Nadhani wewe mleta mada hujui faida za kubadilishana mawazo.

Clubhouse ni open space kila mtu anaweza kuingia kusilikiliza
Clubhouse ita jumuisha kama 10% ya watanzania! Meaning 90% watakuwa bado wana unga mkono serikali ya CCM. What you are doing, is shooting yourself in the foot!
 
Kipindi cha JK huyo mfalme wenu Mbowe, hawakuhi kesema hatupo tayar kumpa muda rais kuhusu katiba, unapombwa Rais Samia hayo maneno maana yake ni kuwa watapambana nae. Hiyo ni battle na Rais.
Labda wakati cdm wanadai katiba kipindi cha JK ulikuwa bado jela. Ndio ni mapambano lakini ya kisiasa maana hakuna aliyeingia msituni. Inaonekana hujui mapambano ya kisiasa tena ya wazi. Tena nitashangaa cdm wakikubali kusubiri rais aliyeko madarakani kwa wizi wa kura siku atakayotaka katiba mpya.
 
Tangu lin ccm na wafuasi wa ccm , mkajua harakati za ukombozi ,wale wa ASP plus TANU ndo wanajua, CCM chotara wa Sasa mpo fuata mkumbo ,hata mnacho kipigania hamjui, hata kanuni za mwanachama kwenye KADI ya yenu ya CCM hamjui, mpo kilimbukeni kilimbukeni tu, kisa mpo ccm


Subiri mapigo 47 yajayo juu yenu ndo mtapata akili,
 
Hizo space zinatumika kujaza vijana wadogo upepo huku wao wakinywa kahawa na kashata na kurefresh twiti za siku inayofuata kuona wangapi wamepigwa na polisi ili wasukume hashtag mpya, ni mradi endelevu wa kupata hela za kuendeleza harakati za kupambania "demokrasia"
 
ACHA mkuu angaika , laana zinawatafuna hawa
 
Kwani mama nae ni dhalimu?

Si ni mwema sana huyu rais wetu kipenzi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hao "Twitter ya Tanzania" unawajuwa wewe uneyekwenda huko na kulalamika juu yao, sisi tuliopo Tanzania hatuna mashaka yoyote kuhusu "udikteta wa CCM, wanabinya uhuru wa kutoa maoni na kujieleza".

Wewe pigana na hao wa huko kwenu "Twitter", sisi kwetu ni hapa hapa Tanzania ambapo tutapigana na hawa CCM kwa njia yoyote ile, hata ikibidi kutumia hizo njia za huko kwenu 'Twitter' ya Tanzania.

Nijuavyo mimi, akili yako pamoja na kuelewa niliyokuandikia hapa vyema, bado tumbo litakusuta na kuituma akili ijifanye haielewi kitu chochote.

Ni hasara kubwa kuwa na watu wenye aina hiyo kwenye taifa lolote!
 
Kwani mama nae ni dhalimu?

Si ni mwema sana huyu rais wetu kipenzi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio mwema, ila sio dhalimu kama lile dubwasha lenu, hapa alipo anaiga tembo kunya.
 
Sio mwema, ila sio dhalimu kama lile dubwasha lenu, hapa alipo anaiga tembo kunya.
Kabisa! Bapo nakubaliana na wewe kabisa!

Siyo dhalimu kama lile dubwasha lako,

Ndio maana sasa hadi magaidi wanakamatwa! Mama hataki dhuruma kabisa!

Kumbe lile dubwasha lako lilikuwa linalea magaidi kwa miaka yote 6?

Makofi kwa mama
 
Kabisa! Bapo nakubaliana na wewe kabisa!

Siyo dhalimu kama lile dubwasha lako,

Ndio maana sasa hadi magaidi wanakamatwa! Mama hataki dhuruma kabisa!

Kumbe lile dubwasha lako lilikuwa linalea magaidi kwa miaka yote 6?

Makofi kwa mama

Magaidi wa katiba Mpya mbona kawakamata wachache sana. Anatakiwa akamate wengi awezavyo maana katiklba mpya iko palepale, lakini yeye anaiga tu tembo kunya. Lile dubwasha liliko jehanamu lilikuwa dhalimu la kuzaliwa sio huyu mama wa kambo.
 
Kama hukuona tusi kwenye hotuba ya Mdude ya Barracuda una matatizo ya ubongo.
"Mwambieni huyo Mama wembe niliomnyolea mtangulizi wake" tokea lini likawa tusi?
Nani mwenye matatizo katika Ubongo?
 
Wewe punguani kweli umeandika nini sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…