Lissu na wanaharakati wa CHADEMA, nchi yetu haitakombolewa kwa 'Space'

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi

Nchi yetu haitakombolewa kwa Space; tunahitaji kushikamana na kushawishi NGUVU YA UMMA kusimamia haki kwa vitendo. Ili mapambano yanoge inatakiwa viongozi wote wawe mstari wa mbele: Martin Luther King Jr. na kina Malcom X hawakuwa wanajificha kwenye mitandao waliongoza mstari wa mbele kabisa.

#Spaces zinakusanya watu wenye mitazamo sawa na wanaokubaliana na mitazamo, ukiwa na mitazamo tofauti au kupinga mawazo yao wanakupa ‘BLOCK’.

GENGE LA WAGANGA njaa wanaojiita wanaharakati wanazuga kwamba wanapigania Haki na Uhuru wakati wao hawaheshimu uhuru wa wengine kutoa mawazo.

Wale wanaojiita mashangazi kila siku wanawajaza wenzao upepo, mbona hatujawaona mstari wa mbele Kisutu? Haki ipiganiwe kwa vitendo sio kuendesha kipindi Twitter!

20210807_104921.jpg
 
Nadhani wewe mleta mada hujui faida za kubadilishana mawazo.

Clubhouse ni open space kila mtu anaweza kuingia kusilikiliza
Twitter ya Tanzania watu wanataka mfanane Mitazamo, mposti maudhui yanayofanana, msapoti harakati zinazofanana ndiyo muheshimiane.

Alafu hao hao ndiyo wanasema CCM ni madikteta wanabinya uhuru wa kutoa maoni na kujieleza.

Mabadiliko yaanze kwa Mtanzania mmoja mmoja, badilika!
 
Twitter ya Tanzania watu wanataka mfanane Mitazamo, mposti maudhui yanayofanana, msapoti harakati zinazofanana ndiyo muheshimiane.
Alafu hao hao ndiyo wanasema CCM ni madikteta wanabinya uhuru wa kutoa maoni na kujieleza.
Mabadiliko yaanze kwa mtanzania mmoja mmoja, badilika!
Kwahiyo wewe unapinga katiba mpya?
 
Wanaukumbi

Nchi yetu haitakombolewa kwa Space; tunahitaji kushikamana na kushawishi NGUVU YA UMMA kusimamia haki kwa vitendo. Ili mapambano yanoge inatakiwa viongozi wote wawe mstari wa mbele: Martin Luther King Jr. na kina Malcom X hawakuwa wanajificha kwenye mitandao waliongoza mstari wa mbele kabisa.

#Spaces zinakusanya watu wenye mitazamo sawa na wanaokubaliana na mitazamo, ukiwa na mitazamo tofauti au kupinga mawazo yao wanakupa ‘BLOCK’.

GENGE LA WAGANGA njaa wanaojiita wanaharakati wanazuga kwamba wanapigania Haki na Uhuru wakati wao hawaheshimu uhuru wa wengine kutoa mawazo.

Wale wanaojiita mashangazi kila siku wanawajaza wenzao upepo, mbona hatujawaona mstari wa mbele Kisutu? Haki ipiganiwe kwa vitendo sio kuendesha kipindi Twitter!

View attachment 1883792
Litakombolewa kwa kubambikia ugaidi sio,Acha maneno mingi tunataka katiba mupya.
 
Wanaukumbi

Nchi yetu haitakombolewa kwa Space; tunahitaji kushikamana na kushawishi NGUVU YA UMMA kusimamia haki kwa vitendo. Ili mapambano yanoge inatakiwa viongozi wote wawe mstari wa mbele: Martin Luther King Jr. na kina Malcom X hawakuwa wanajificha kwenye mitandao waliongoza mstari wa mbele kabisa.

#Spaces zinakusanya watu wenye mitazamo sawa na wanaokubaliana na mitazamo, ukiwa na mitazamo tofauti au kupinga mawazo yao wanakupa ‘BLOCK’.

GENGE LA WAGANGA njaa wanaojiita wanaharakati wanazuga kwamba wanapigania Haki na Uhuru wakati wao hawaheshimu uhuru wa wengine kutoa mawazo.

Wale wanaojiita mashangazi kila siku wanawajaza wenzao upepo, mbona hatujawaona mstari wa mbele Kisutu? Haki ipiganiwe kwa vitendo sio kuendesha kipindi Twitter!

View attachment 1883792
Ingekuwa hazina nguvu unadhani dhalimu meko angepiga vita twitter?? Unadhani China ni mjinga kufungia internet na other social medias?? Hakuna kitu madiktekta wanachoogopa kama watu wao kupata taarifa sahii.Kiufupi bado una mengi ya kujifunza humu duniani
 
Umetoa mawazo safi sana ifike hatua tuache kulalamika actions speak louder than words!
 
Hawa wanahojiita wanaharakati washauri wa Chadema hawana madaraka wala ‘NGUVU YA DOLA’ huko kwenye mitandao yao wanatumia ‘BLOCK’ kuzima mitazamo na mawazo ya wengine siku ukipata nafasi ya uongozi na nguvu ya Dola utatumia bunduki na njia nyingine za kikatili kunyamazisha watu.
Ni tabia za kidikteta ambazo tunazipinga na kuzikemea kwa NGUVU zote!
 
07 August 2021
Njombe, Tanzania

CHADEMA WAENDELEA KUTOA ELIMU YA URAIA KATIKA KILA KONA NA MAJUKWAA YOTE

Hakika chama cha CHADEMA kimejaliwa kuwa na makada, , makamanda, wanachama pia wapenzi walio na uelewa mkubwa ya jinsi katiba inavyoweza kuimarisha 'miundombinu ya utawala' na Tanzania kuja kuwa nchi ya asali na maziwa pamoja na uhuru haki na maendeleo makubwa ya watu .
Source : DARMPYA TV
 
Wanaukumbi

Nchi yetu haitakombolewa kwa Space; tunahitaji kushikamana na kushawishi NGUVU YA UMMA kusimamia haki kwa vitendo. Ili mapambano yanoge inatakiwa viongozi wote wawe mstari wa mbele: Martin Luther King Jr. na kina Malcom X hawakuwa wanajificha kwenye mitandao waliongoza mstari wa mbele kabisa.

#Spaces zinakusanya watu wenye mitazamo sawa na wanaokubaliana na mitazamo, ukiwa na mitazamo tofauti au kupinga mawazo yao wanakupa ‘BLOCK’.

GENGE LA WAGANGA njaa wanaojiita wanaharakati wanazuga kwamba wanapigania Haki na Uhuru wakati wao hawaheshimu uhuru wa wengine kutoa mawazo.

Wale wanaojiita mashangazi kila siku wanawajaza wenzao upepo, mbona hatujawaona mstari wa mbele Kisutu? Haki ipiganiwe kwa vitendo sio kuendesha kipindi Twitter!

View attachment 1883792
Unateseka ukiwa wapi mleta mada?
 
Kipindi cha JK tuliona mijadala na midahalo kwenye televisheni , radio na kwenye kumbi mbalimbali, kipindi cha dhalimu akapiga marufuku. Sasa hivi mama wa kambo na yeye anaiga tembo kunya anajaza polisi kwenye mikutano ya ndani. Unategemea watu watakaa wakisubiri tu mpaka ccm waruhusu mijadala? Ukifunga mlango mmoja, mingi iko wazi watu wataendelea na njia nyingine nyingi. Kama mmezuIa watu kujadili humu ndani ya nchi kwakuwa ccm hamtaki, unalalamika nini wakikublock huko kwenye space kwa kitu unachoona ni sawa hapa nchini?
 
Wanaukumbi

Nchi yetu haitakombolewa kwa Space; tunahitaji kushikamana na kushawishi NGUVU YA UMMA kusimamia haki kwa vitendo. Ili mapambano yanoge inatakiwa viongozi wote wawe mstari wa mbele: Martin Luther King Jr. na kina Malcom X hawakuwa wanajificha kwenye mitandao waliongoza mstari wa mbele kabisa.

#Spaces zinakusanya watu wenye mitazamo sawa na wanaokubaliana na mitazamo, ukiwa na mitazamo tofauti au kupinga mawazo yao wanakupa ‘BLOCK’.

GENGE LA WAGANGA njaa wanaojiita wanaharakati wanazuga kwamba wanapigania Haki na Uhuru wakati wao hawaheshimu uhuru wa wengine kutoa mawazo.

Wale wanaojiita mashangazi kila siku wanawajaza wenzao upepo, mbona hatujawaona mstari wa mbele Kisutu? Haki ipiganiwe kwa vitendo sio kuendesha kipindi Twitter!

View attachment 1883792

ccm akili za funza Dunia ya sasa ni tofauti kabisa na yakina Malcom x Martin luther king,
 
Ingekuwa hazina nguvu unadhani dhalimu meko angepiga vita twitter?? Unadhani China ni mjinga kufungia internet na other social medias?? Hakuna kitu madiktekta wanachoogopa kama watu wao kupata taarifa sahii.Kiufupi bado una mengi ya kujifunza humu duniani
Kwa hiyo ukombozi wa nchi yetu utapatikana kwa kujikusanya watu wenye mitazamo na mawazo sawa na kupiga ‘BLOCK’ wale wote ambao hawatusapoti mawazo au mitazamo yetu?
Wanajenga kuta na kuishi kwenye chumba cha watu wenye mitazamo sawa na kusapotiana sio kusimamia Haki na Ukweli.
 
Hakuna mtu mwoga Kama lisu

USSR
 
Back
Top Bottom