Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanaukumbi
Nchi yetu haitakombolewa kwa Space; tunahitaji kushikamana na kushawishi NGUVU YA UMMA kusimamia haki kwa vitendo. Ili mapambano yanoge inatakiwa viongozi wote wawe mstari wa mbele: Martin Luther King Jr. na kina Malcom X hawakuwa wanajificha kwenye mitandao waliongoza mstari wa mbele kabisa.
#Spaces zinakusanya watu wenye mitazamo sawa na wanaokubaliana na mitazamo, ukiwa na mitazamo tofauti au kupinga mawazo yao wanakupa ‘BLOCK’.
GENGE LA WAGANGA njaa wanaojiita wanaharakati wanazuga kwamba wanapigania Haki na Uhuru wakati wao hawaheshimu uhuru wa wengine kutoa mawazo.
Wale wanaojiita mashangazi kila siku wanawajaza wenzao upepo, mbona hatujawaona mstari wa mbele Kisutu? Haki ipiganiwe kwa vitendo sio kuendesha kipindi Twitter!