Kwanini haukemei wizi wa kura ? Au kwa mujibu wa wewe hakuna wizi wa kura?Huo ni uongo uliokaa kwenye kiti. Wakati wa uchaguzi alisema yote, kwa nini iwe sasa? Na huyo anayejiita askofu aache kushuhudia mtu muongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini haukemei wizi wa kura ? Au kwa mujibu wa wewe hakuna wizi wa kura?Huo ni uongo uliokaa kwenye kiti. Wakati wa uchaguzi alisema yote, kwa nini iwe sasa? Na huyo anayejiita askofu aache kushuhudia mtu muongo.
Yaani serikali makini ya awamu ya 5 ilikubali vipi raia wa kigeni kugombea nafasi nyeti kama ya Urais?Alikuwa ana maana kuwa tujihadhari naye asije akakuingiza mkenge ukaingia kwenye jinai wakati yeye ameshaingia mitini anakuachia msala. Inajulikana yeye tayari ana uraia wa Ubelgiji kwa hadhi ya ukimbizi sasa anataka kuhalalisha kiaina! Ili dunia ijue sasa ndiyo amepata uraia wa ukimbizi huko Ubelgiji wakati siyo kweli tangu aliporudi hapa TZ alikuwa tayari ana uraia wa Ubelgiji alikuja kuhamasisha vurugu tu ndiyo maana alikuwa anavunja sheria za uchaguzi kila mara na kwa makusudi. Yeye aende tu atuachie nchi yetu.
Hizi ni story za kwenye vijiwe vya kahawa. Hivi wakitaka kummaliza wanashindwa kufika hapo ubalozini?
Kwanini haukemei wizi wa kura ? Au kwa mujibu wa wewe hakuna wizi wa kura?
Kama hakuna tushio lolote, Serikali inaona ugumu gani kumhakikishia usalama? Kuna watu mnajulikana mmekosa busara, lakini hata akili ndogo tu nayo mmekosa?Lissu na CHADEMA yake ndio wa hovyo kabisa. Hakuna matisho yoyote, ila anajitahidi kuichafua nchi. Hakuna MTU mwenye time na Lissu sasa hivi, ajipange na kusubiri 2025. Hizo mbinu zimefeli kabla ya utekelezaji!!!!
Yapo matukio mengi kama kule Lindi baada ya uchaguzi na kukamatwa viongozi media wamekatazwa kutangaza.Tengenezeni magaidi halafu mtafurahi wenyewe!
Anapokiuka sheria lazima akamatwe na ashughuliliwe kukamatwa na askari dio uadui kwani ww ndugu zako hawajawshi kukamatwa na askari ? Walikimbilia ubaloz huyo anatafutà kick kuharibu taswira ya nchi ila serikali ikiamua hata awe ngambo la mgambo likilia Manazi mtapata habari ila awe na amani hakuna anayemfatilia kapuku wa kisiasa kama huyo.Mola akulinde daima Rais mshindi wa mioyoni mwetu.
Wewe ni wale wanasaccos wenye akili za nyumb kwa hiyo nitapoteza muda wangu muhimu sana kukuelewesha kwa kuwa huko kwenye saccos mmefundishwa kubisha hadi ufe!Yaani serikali makini ya awamu ya 5 ilikubali vipi raia wa kigeni kugombea nafasi nyeti kama ya Urais?
Kama ni kweli basi nchi ipo hatarini na zile rumors kwamba mkuu wa kaya ni raia wa Burundi inaweza ikawa kweli.
Kwani wewe ulikuwa hujui kuwa Lissu ni mkimbizi aishie Ubelgiji na alikuja hapa nchini kuhamasisha vurugu kwenye uchaguzi wa 2020 kwa kuambiwa na mafisadi na wezi wa rasilimali zetu na ndiyo maana alikuwa anavunja sheria za uchaguzi kila mara lakini polisi na serikali ya TZ ilimwacha tu ili watz wasio na hatia wakaumia bure.Ukiona serikali iko kimya,basi ujue kuna jambo na si bure.
Upupu. haya nenda kwa harakahara, mwambie tayari umefanya kazi akupe buku saba. Huna hata aibu, huo haukuwa uchaguzi, wizi wa kura mioufanya umeondoa hadhi yenu hata ile kidogo iliyokuwa imebaki. kila mtu anajua mmepora haki ya watu kuchagua.Hana lolote huyo anajaribu kupata unafuu wa kurudi Ubelgiji tu anajua sasa Ubelgiji kuna lockdown hawezi kuingia kirahisi sasa anataka arudi kwao inajulikana ana uraia tayari wa Ubelgiji sasa anataka aonekane amekwenda Ubelgiji kama mkimbizi wakati alishapata uraia siku nyingi, awadanganye mbumbumbu wenzie wanasaccos.
Tunajua alikuja Tanzania kuanzisha vurugu lakini watanzania wamemnyoosha hakuna cha kuingia barabarani kama alivyokuwa ametumwa na mabeberu wake akina Robert Amsterdam. Yeye arudi tu kwao Ubelgiji hakuna aliyenashida naye!
Hakuna unalolijua juu ya jinsi uchaguzi ulivyofanyika! Vinginevyo umeamua tu kujitoa ufahamu ili kuiridhisha nafsi yako.Njama, hila na ulaghai wa Lissu umeshajulikana. Yaani kipindi chote cha kampeni hakukuwa na tishio, iweje baada ya Uchaguzi awe anatishiwa?
Asichofahamu ni kudhani alikuwa anapendwa na watanzania kumbe wananchi walikuwa wanaenda kwenye kampeni zake kumfurahisha maana alikuwa anataka Kura za huruma.
Uzuri ni kuwa hata hao Wazungu anawalilia sasa hivi wameshamfahamu kwamba ana matatizo ya kisakolojia.
Kwa Nchi hii ilivyo na unafiki wa wazi wazi, wahenga walisema mkuki mtamu kwa ngurue kwa binadamu mchungu, uchungu wake wote tutaupata.Hivi mwaka ule wa 2017, wakati Tundu Lissu alipotoa taarifa za aina hii hii za vitisho, je Jeshi la Polisi lilichukua hatua gani?
Je mmeshasahau kuwa siku chache baada ya kutoa taarifa hiyo ndipo akamiminiwa risasi mfululizo kwa nia ya kumuua?
Mnataka na safari hii afanye hivyo hivyo wakati wale wauaji wake hadi leo "wanafichwa" na watawala wa nchi hii?
Kwani usha pewa hizo sms ukazisoma na kujua ziliko toka?Ametafuta justification ya kuhalalisha kuishi Brussels. Nani ahangaike na Lissu wakati huu ambapo hana madhara. Labda ndani ya CHADEMA huenda anatishia uenyekiti wa mtu ambapo ni sawa na uhaini.
Wakati anashiriki hamkujua tume ni ya hovyo? [emoji1005]Majambazi ya kura mmetuharibia nchi. Ajipange kushiriki nini wakati Tume hii ni hovyo?
Ni katili kwa mafisadi na wezi wa raslimali zetu ambayo ni sawa kabisa ni muhimu kulinda raslimali zetu na ndiyo maana tumemchagua!jpm ni mtu katili sana lakini mnafki, wa tz naomba mniombee?!.
Tukuombee uumize wengine kisa wanakukosoa?!
Mungu atakulipa sawasawa na matendo yako hapa duniani!.
Kwanini wewe hukuiba au kuzuia huo wizi? Halafu unataka upewe nchi wakati huwezi hata kuzuia wizi!!?Upupu. haya nenda kwa harakahara, mwambie tayari umefanya kazi akupe buku saba. Huna hata aibu, huo haukuwa uchaguzi, wizi wa kura mioufanya umeondoa hadhi yenu hata ile kidogo iliyokuwa imebaki. kila mtu anajua mmepora haki ya watu kuchagua.