Mwanzoni mlisema hivihivi halafu mkaenda kumpiga risasi mchana saa sita. Nyie hata shetani atakua anawaogopaAmetafuta justification ya kuhalalisha kuishi Brussels. Nani ahangaike na Lissu wakati huu ambapo hana madhara. Labda ndani ya CHADEMA huenda anatishia uenyekiti wa mtu ambapo ni sawa na uhaini.
Aondoke wakat Ana kesiNdugu, kama hana madhara kwa nini wanakata kutoa clearance ili aondoke zake.
Urais mmeunyakua kwa kura za kupika kule JAMANA printers. Wasukuma in waoga sanaNi mvinyo uleule ndani ya chupa mpya. Lengo ni kuingiza watu barabarani na kuvuruga amani yetu. Lissu anautaka Urais either kwa shari ama kwa amani.
Hata pale mwanzo mlisema hivi hivi kabla ya kummiminia risasi. CCM hata shetani atqkua anawaogopaNjama, hila na ulaghai wa Lissu umeshajulikana. Yaani kipindi chote cha kampeni hakukuwa na tishio, iweje baada ya Uchaguzi awe anatishiwa?
Asichofahamu ni kudhani alikuwa anapendwa na watanzania kumbe wananchi walikuwa wanaenda kwenye kampeni zake kumfurahisha maana alikuwa anataka Kura za huruma.
Uzuri ni kuwa hata hao Wazungu anawalilia sasa hivi wameshamfahamu kwamba ana matatizo ya kisakolojia.
Achawewe kila Mtanzania Tanzania yuko salama, ila sio Watanzania wahalifuKama hakuna tushio lolote, Serikali inaona ugumu gani kumhakikishia usalama? Kuna watu mnajulikana mmekosa busara, lakini hata akili ndogo tu nayo mmekosa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna amani yoyote inayohatarishwa. Uoga wenu ndo unawafanya mjazwe na roho ya kishetani kuua watuMaelezo yako na conclusion uliyofikia kama haviendani. Awali umeeleza wasiwasi aliokua nao TL kuhusu usalama wa maisha yake hadi akaamua kuomba hifadhi kwenye makazi ya Balozi wa Ujerumani.
Sasa jinsi ulivyomalizia ndio sijaelelewa. Ni kwamba tujihadhari naye kwasababu tu ya yeye kua mwanasheria tricky au ni kitu gani? Jamaa hana jeshi, hana polisi au hata mgambo. Hana chombo chochote cha habari pengine ataeneza propaganda zake za "kuhatarisha amani" na usalama wa nchi, na hata angekua nacho kingefungiwa na Mamlaka za Udhibiti, Hiyo hatari yake mpaka sisi tulioshinda kwa tsunami na wananchi wanatupenda kwelikweli tuanze kumuogopa iko wapi?
Waharifu ni nyie mnaowinda kuua watanzania wenzenu. Ueni watoto wenu kwanzaAcha ujinga wewe wewe kila mtanzania Tanzania yuko salama ila sio watanzania wahalifu
No. Acheni roho chafu ya kuua raia wenzenu. Hata Mara ya kwanza mlikua MNA beza hivi hivi baadaye mkampiga risasi. Ccm ya wasukuma waoga sanaHuyu anajishitukia tu, na hilo lipo wazi anatafuta huruma za mabeberu waendelee kumfadhili ili siku moja aje kuwalipa fidia hana jipya kwa sasa wala hata hao anao wahic hawanahabari naye
sent from HUAWEI
Watanzania hawawez kukimbilia ubalozin kama unabisha na wewe nendaWaharifu ni nyie mnaowinda kuua watanzania wenzenu. Ueni watoto wenu kwanza
Waongo ni nyie ambao mnabiasha hapa Ku spin story huku MNA bastora viunoni . last time mlibisha hivi hivi mitandaoni kabla ya kutimiza azma yenu ya kutaka kumuua.Tundu Lisu atakua ni muongo kuliko hata uongo wa shetani
Nimekwambia hata last time kabla jamjaenda kumpiga risasi kule dodoma mlianZa kwanza kubisha kipropaganda hivi hivi humu kwenye mitandao. By the way uelewa wako ni mdogo. Ulitaka akimbilie wapi ambapo labda ungempata kirahisi ?Watanzania hawawez kukimbilia ubalozin kama unabisha na wewe nenda
Hapana nikwasababu mmejawa na roho ya shetani. Hata last time mlibisha sana hivi mitandaoni kabla hamjaenda kummiminia risasi kule dodomaTunajua unakimbia kesi yako ya uchochezi.
Kweli uzunguuke miezi miwili ukiwa unafanya kampeni maisha yako yasiwe hatarini, leo ndio maisha yawe hatarini???
Lissu jua kuwa watanzania sio watoto wadogo tunajua unachokifanya ni kukimbia kesi yako mahakamani. Nenda kwenye kesi walio kuwekea dhamana wana hangaika, kama kweli unapenda wananchi wako basi nenda mahakamani ili walio kuwekea dhamana wajitoe.
Acha kukimbia kama mtoto this time you will eat fruits of your mouth.
Kama huzijui drama za cdm kaa kimyaKwani usha pewa hizo sms ukazisoma na kujua ziliko toka?
Kama nia ni kumuua, ilishindikana nini asiuawe wakati wa kampeni? This is just a cooked story, kutaka kuleta taharuki bila sababu!Hata pale mwanzo mlisema hivi hivi kabla ya kummiminia risasi. CCM hata shetani atqkua anawaogopa
Kuna ishu za kimahakama inabidi zishughulikiwe, au hujui kana ana kesi sita hazijaisha?Ndugu, kama hana madhara kwa nini wanakata kutoa clearance ili aondoke zake.
Kuna ishu za kimahakama inabidi zishughulikiwe, au hujui kana ana kesi sita hazijaisha?
Unaelewa maana ya nchi?