Haya uliyoandika hapa yanaonesha we we siyo mstaarabu Bali mvuta bhangi Fulani tu hiviTundu anapenda tu kupakatwa na wazungu. Anadai maisha yake yako hatarini, mbona alikuwa anatemebea kwa miguu feri, Kariakoo na kwingineko bila kubughudhiwa, alikuwa na hatari gani?
Naona unashambulia kila aliye mbele yako! Relax mkuuHakuna amani yoyote inayohatarishwa. Uoga wenu ndo unawafanya mjazwe na roho ya kishetani kuua watu
Yaani asitishiwe maisha wakati wa kampeni, atishiwe Sasa? Huyo anatafuta njia ya kurudi nchini mwake.Nchi imekuwa ya hovyo kabisa hii!
Hivi Lisu ndio mtu wa kwanza hapa duniani kupewa vitisho, kutishiwa usalama au kumiminiwa risasi? Naomba unijibu hili.Hivi mwaka ule wa 2017, wakati Tundu Lissu alipotoa taarifa za aina hii hii za vitisho, je Jeshi la Polisi lilichukua hatua gani?
Je mmeshasahau kuwa siku chache baada ya kutoa taarifa hiyo ndipo akamiminiwa risasi mfululizo kwa nia ya kumuua?
Mnataka na safari hii afanye hivyo hivyo wakati wale wauaji wake hadi leo "wanafichwa" na watawala wa nchi hii?
Waliomshambulia Princess Diana wa uingereza walishapatikana??Halafu hadi hapa bado mtu aseme eti waliomshambulia kipindi kile ni "wasiojulikana" na hawajawahi kupatikana atakua ni kichaa!
Sema Tanzania na sio duniani!Ni mbunge wa kwanza kufanyiwa hivyo tena kwenye makazi yanayolindwa na kusiwe na suspect hata mmoja behind bars!Shame kwa serikali hii ya kifedhuli!Hivi Lisu ndio mtu wa kwanza hapa duniani kupewa vitisho, kutishiwa usalama au kumiminiwa risasi?? Naomba unijibu hili.
Kama yeye ni mbunge wa kwanza kufanyiwa hivyo basi hatakua wa mwisho. Kushambuliwa kunaweza kutokea sehemu yoyote.Sema Tanzania na sio duniani!Ni mbunge wa kwanza kufanyiwa hivyo tena kwenye makazi yanayolindwa na kusiwe na suspect hata mmoja behind bars!Shame kwa serikali hii ya kifedhuli!
Hamna utu kabisa nyie viumbe, ndio maana nikimkuta kada wa CCM hapo anajifia napita zangu naendelea na shughuli zangu maana naweza msaidia kumbe ndio wewe au watu wa aina yako!Kama yeye ni mbunge wa kwanza kufanyiwa hivyo basi hatakua wa mwisho. Kushambuliwa kunaweza kutokea sehemu yoyote.
Hawa watu wanatengeneza scenes nyingi kulioko series ya isidingo
Jomba kwani unajua aliyemshambulia..unajua na je leo ukiambiwa wameshambuliana wenyewe kwa wenyewe...usitake watu waanze kutiririka hapaBABAKO ANGESHAMBULIWA KWA LISASI KIASI KILE NA KUPEWA ULEMAVU NDIO UNGEJUA SERIES ZA ISIDINGO.
PUMBAVU.
Wewe ni kati ya wale wasioelewa kwann tuliletewa mfumo wa vyama vingi. Hasara ya mfumo wa vyama vingi ni ipi haswa.Hamna utu kabisa nyie viumbe, ndio maana nikimkuta kada wa CCM hapo anajifia napita zangu naendelea na shughuli zangu maana naweza msaidia kumbe ndio wewe au watu wa aina yako!
Wewe ukipita ukaniacha mm nakufa haimaanishi kuwa sitapata msaada. Na hata nikifa nitazikwa tu bila msaada wako.Hamna utu kabisa nyie viumbe, ndio maana nikimkuta kada wa CCM hapo anajifia napita zangu naendelea na shughuli zangu maana naweza msaidia kumbe ndio wewe au watu wa aina yako!
Wewe, Lisu na wapinzani wenu woote kama mnaona Tanzania ni nchi yenye ya nyani waoga na wanafiki, fungeni virago vyenu muende ubelgiji mkagombee ubunge na uraisi hukohuko msirudi tena Tanzania. Hatutaki kuishi na vibaraka.cc.Hata ka mimi ningekua Lissu ningeondoka. Nchi hii ya nyani imejaa wanafiki watu mnaibiwa mnaitwa kuandamana kudai haki yenu mnakaa kabisa na kusema aende mwenyewe akafe. Hivi mnategemea akisimama mwenyewe bila wananchi kumuunga mkono ataenda popote?
Sijaona nchi ina nyani waoga kama Tanzania, sio nchi hii ni choo kimejaa mavi tu. Na mimi naondoka very soon shenzi mbaki na mitandao mmezimiwa wala hamna mtu wa kuquestion hta moja. Siku tako likiamka asububi likajisiki kurudisha litapiga simu liseme haya rudishia hao nyani mawasiliano then mtakaa kushukuru ahsante sana mungu jiwe. Nchi ya kishenzi, watu wake washenzi. Iβm done