Lissu ni kibaraka, anatumiwa na mabeberu wanaotaka kuiba rasilimali za Tanzania

Hiv, ww sio kibaraka wa ccm?.
Haw watu bhn
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada haelewi hata anachokimaanisha
 
Naomba msaada wa maswali haya ili niamini unachokisema. Waliokuja ikulu waliletwa na Lissu? Wanaochimba madini waliletwa na Lissu? Wanaomiliki mbuga za wanyama kama Loliondo na vitalu vya uwindaji waliletwa na Lissu? Wanaomiliki gas yetu tuliyopigana, kuumizana, kuuana hadi kuchomeana nyumba waliletwa na Lissu? Mikataba mibovu inayosainiwa na serikali Lissu anashirikishwa kama mwanasheria?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakati mwingine tuache kuwa wapumbavu ...unasaka uteuzi kwa kuweka majina na namba ya simu......kwani lissu tuibiwe ambacho hakijaibiwa....au mnajifanya hamumsikii mh raisi anavyolalamika tumeibiwa sana....je lissu yupo kwenye kundi la hao wezi....wezi wakubwa mnawajua na hata rangi ya sare wanazovaa mnazijua...lkn mmeamua kujitoa ufahamu tu kisa uroho wa vyeo.....lets start here hiyo nafasi unayoitaka ndo beberu wa kwanza sababu imekufanya umekuwa mjinga......wakati mwingine usiandike vitu vitakavyosadifu wewe ni mtu wa aina gani...be a gentleman
 
Hapo vipi!

Huyu mtu anayeitwa Tundu Lissu ni mtu wa kumkwepa sana na kumpuuzia.

Mtu huyu ni wazi ametumwa na Mabepari wa Ulaya na America ili atakapofanikiwa kuwa rais wa nchi hii awape rasilimali za nchi kwa mikataba ya kilagai.

Ipo hivi Tundu Lissu alipokuwa akitibiwa pale Nairobi..watu wengi sana waliguswa na kitendo kile na hali aliyokuwa nayo kiuchumi,Hivyo watu wakachanga pesa kwa ajili ya matibabu ya Lissu lakini mwenyeki wao mbowe na wapigaji wenzake wakatumia hiyo kama fursa ya kujipatia pesa kwa maslahi yao binafsi, yaani ile michango ilipigwa na mbowe na wenzake.

Kitendo hichi ilisababisha mgogoro kati familia ya Lissu na Mbowe. Kilichotokea baada ya Lissu kukosa pesa kutoka na upigaji huu.

Aliweza kufadhiliwa na wamiliki ya yale makampuni ya kibeparia aliyokuwa akiyatetea kipindi cha makinikia na baadhi serikali za nchi za Ulaya hususani Ubelgiji katika swala zima la matibau hapo Ubelgiji.

Tundu Lissu akiwa Ulaya ameweza kutembelea nchi za ulaya na America kwa lengo la kuingia nao makubaliano ya siri.

Tundu Lissu aliomba hizi nchi ziingilie kati uchaguzi endapo ataanzisha varangati akiwa ameshindwa uchaguzi ili wamkingie kifua kuwa rais wa nchi.

Na akifanikiwa kwa hili amewaahidi kuwapa rasilimali ya nchi kwa mikataba haramu.

Tundu Lissu huyu, ni kibaraka mwenye lengo la kumwaga damu ya watanzania wenzaka kwa lengo la kutaka kulipiza kisasi dhidi ya kitendo cha kupigwa risasi.

Tundu Lissu hyu yupo mstari wa mbele kuigawa Tanzania vipande viwili, kwa Lengo la Zanzibar kuwa Taifa huru na Tanganyika kuwa Taifa uhuru. Mtu huyu ni wakumpinga kwa nguvu zote pasipo kumuogopa wala kuwaogopa hao mabepari uchwara walio nyuma yake.

Huyu Tundu Lissu,ana uraia pacha wa Tanzania na Ubelgiji, akishanukisha hapa anatumiwa ndege chap na hao mabepari anaendakujificha Ubelgiji. Hana hasara huyo. Lengo ni kwamba anataka kupata nafasi ya kulipiza kisasi.

KIBARAKA HUYU AMESHAFUNULIWA
 
Anguko lenu litakuwa kubwa Sana na Lissu ameshawaambia msiweweseke ataleta maridhiano ya kitaifa ndani ya miezi 3 ya Kwanza.
Hiyo ni danganya toto ili kuwaaminisha watanzania wenye hofu yakumnyima kura baada yakumstukia kuwa ni mtu anayetaka kulipiza kisasi hafai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…