Lissu ni Kiongozi sahihi, lakini kwa nchi isiyo sahihi

Awa ndio Demokrasia Kwao Chadema tu

Ndio wale Samia must go Aleluyaaaaa Samia must go Aleluyaaaaa Samia must go Aleluyaaaaa

Demokrasia kwao inatokea kwa Kiongozi wa kiroho😂
sio kisiasa ✍️
 
IPO siku Yatatimia!
 
Wajukuu wakukumbuke Kwa Akili na HEKIMA,sio kuunga mkono vitu vya Ovyo!
Sawasawa. Naona mwenzangu umeshajiandaa: wako watakukumbuka kwa kumuunga mkono lissu anayeungwa mkono na wazungu wanaoupigania ushoga, au sio?
 
Sawasawa. Naona mwenzangu umeshajiandaa: wako watakukumbuka kwa kumuunga mkono lissu anayeungwa mkono na wazungu wanaoupigania ushoga, au sio?
Ya ushoga ya kwako, ushoga upo Toka enzi za Musa!Uovu uitwe Uovu Kwa jina lake na ukweli uitwe ukweli Kwa jina lake!Hii Ndio Akili na HEKIMA!Hsifundishwi shuleni ni Wewe tuu na Mungu wako!
 
Kama Kiongozi anapimwa kwa kumiminiw risasi basi Mwl. Nyerere na Mzee Nelson Mandela hawakuwa viongozi sahihi.
 
Pombe , dini za kitapeli shuhuda za uongo unafiki, uchawa music, umbea wa mitandaon na wanasanii vichwa maji
Ndo watanzania wanapenda yani mpira wizi, ndo maana kila siku vitu haviendi yani
 
Nihitimishe kwa kusema kama ilivyokuwa kwa Patrice Lumumba wa DRC, Lissu ni Kiongozi sahihi kuongoza taifa la Tanzania ila nchi ya Tanzania sio nchi sahihi kwake kupata uongozi
Umeongea ukweli ila nadhani nature tu ingeleta mtu aina ya Lissu maana hiii cycle ya CCM kushinda 99% bunge na urais, ufisadi usioisha, mauaji n.k yangeendelea mpaka lini? Ilitakiwa atokee mtu jasiri wa kujitoa ufahamu kupambana nao head to head mpaka warudi mezani kubadili katiba na mambo mengine.

While anaweza asiwe Rais, au akanyongwa kama wakitaka ila harakati zake zimeshaweka msingi wa mabadiliko na huko mbele tutarajie katiba mpya na chaguzi huru maana hata watawala wanajua 2030 haiwezi kuwa "business as usual" inaweza kuwa hatari kuliko MO29.

Ni kama Kenya na Odinga ingekuaje, pengine ukoo wa Moi ungekua unatawala mpaka leo!! hata Uganda kina Besigye walipanda mbegu za mabadiliko na demokrasia ikakua leo hii upinzani una wabunge wa kumwaga kitu ambacho kisingewezekana miaka ile ya 80 na 90!! Na iwe mwaka kesho au 2040 ila wataondoa tu utawala wa kijeshi kwa nguvu ya umma.
 
Inasikitisha sana
 
Mimi sikubaliani na wewe kwamba Tanzania siyo nchi sahihi. Kutokuwa sahihi labda CCM ndo siyo sahihi lakini Tanzania ni nchi sahihi na imebarikiwa Sana ukiachana na hao wanyonya damu na wauaji wa watanganyika.
Nimesema kwa context ya Lissu sio kwa context ya baraka ya mito na maziwa yaliyopo Tanzania.
 
Na huu ndio ukweli wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…