Lissu ni Kiongozi sahihi, lakini kwa nchi isiyo sahihi

Watanzania wengi sio kwamba hawapendi siasa bali wana uelewa mdogo au duni sana kuhusu siasa za uwajibikaji na uongozi wa umma kwa ujumla
Sidhani. Vyuo vikuu ni vingi, wasomi ni wengi lakini ndio CCM inapata kura milioni 31 pamoja na uchafu wao wote( kama tume ilisema ukweli). Lazima tukubali watanzania ni watu watofauti.
 
Sidhani. Vyuo vikuu ni vingi, wasomi ni wengi lakini ndio CCM inapata kura milioni 31 pamoja na uchafu wao wote( kama tume ilisema ukweli). Lazima tukubali watanzania ni watu watofauti.
Watanzania wanaofika vyuo vikuu ni chini ya 5%. Hata hivyo elimu ya chuo kikuu Tanzania bado duni sana
 
Hakuna kiongozi wa hovyo kama huyo
Nakushauri ya kwamba usipende kuimba chorus ambayo hujui mtunzi wake ni nan. Kikwete kwenye kampeni za uchaguzi 2010, aliwaambia Wana Ikungi ni bora yeye akose urais ila Lissu asichaguliwe kuwa Mbunge. Na Wana Ikungi wakamchagua kuwa Mbunge, the rest is history. Magufuli na ubabe wake wote kwenye kampeni za urais kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 aliwaambia Wana Ikungi waongee na Lissu ajitoe kwenye uchaguzi, atampatia cheo cha Mwanasheria Mkuu wa serikali.

Sasa kama Magufuli aliona anafaa wewe ni nani?. Mama yako mwenyewe alimuona anafaa akamuomba arudi Tanzania.

Kama hao watu wakubwa walimkubali Lissu wewe ni nani?
 
Lisu huyu huyu aliemkaribisha na kumpigia kampeni Lowasa ndio ana msimamo? Angeondoka Chadema kama Slaa alivyofanya, ndio tungeamini ana msimamo.
Ulifatilia lakini? Lissu alisema pamoja na Lowassa kuja CHADEMA haiamanishi ya kwamba zile tuhuma zimefutika, ila anakuja CHADEMA kwa sababu tunahitaji nguvu ya kumuondoa CCM. Pia hiyo CCM yenu si ndio alipokuwa Lowassa na kafiwa huko?. Mbona hamkuhama.

Lissu akishinda kesi atafute urais wa nchi nyingine, awaachie watanzania nchi yao na CCM yao wachagua e wenyewe mpaka kiama.
 
Kwanza tofautisha mazingira ya Africa Kusini ya wakati huo wa Mandela na Tanzania ya Sasa. Mandela aliungwa mkono na waafrika wenzake kule South Africa ila Lissu watanzania wenzake ndio wanataka kumnyonga. Huoni Kiongozi wa dini anasimama na kuwataka watanzania wafunge kwa maombi ili Lissu anyongwe. Hiyo Ina maana kubwa sana.

Pia nakubali Lissu ametumwa na Mungu sijui kama analifamu hilo. Ila alipotumwa hawamuelewi wanataka kumsulibisha na kumuua.
 
ok.
huenda aliezaliwa kwa bahati mbaya
Hapana, hajazaliwa kwa bahati mbaya,. Amesoma shule nzuri za kitaifa akitokea kijijini. Kasoma UDSM, pia Warwick chuo kikubwa. Kawa Mbunge kwa miaka kumi kwenye eneo ambalo ni ngome ya CCM. Kwa Sasa ni Mwenyekiti wa CHADEMA taifa kwa kumuondoa Mbowe ambaye sio mtu mdogo. Hivyo nakataa kwamba alizaliwa kwa bahati mbaya.

Ni wangapi wamezaliwa kwa bahati nzuri na hawajampiku Lissu kisiasa na kielimu?
 
GT umenena vyema kabisa. Hata lissu akija kuwa rais kuleta mabadiliko bila sisi kubadilika itakuwa ngumu. Tutakuwa tu kama vijana wa Gambia hopeless kabisa.
Kweli kabisa mkuu
 
Well noted mkuu
 
Punguza dhihaka kwenye mambo serious.
sina haja ya kumdihaki mtu yeyote bali daima naeleza ukweli mtupu gentleman,

im sorry ikiwa nafanya makosa kueleza ukweli maana najua ni mchungu daima
 
Wewe una mtindio wa ubongo. Shida JF inabeba wote bila kujali. Hizi ndizo athari zake sasa.
hizo poro ni hot air tu kwenye mijadala ya kisiasa gentleman, unless wewe ni kibwengo umevamia siasa lakini unataka kufanya kazi ya kanisa kwenye siasa.
 
Nchi ina wanafki na watu wenye roho mbaya tupu..!!

Lissu ilitakiwa akitoka aachane na kutetea mazombi. Maisha yakitupiga kisawasawa tutaamka lakini sio sasa.!!
Kweli kabisa. Atafute nchi aombe uraia akaishi na familia yake. Awaachie watanzania wahangaike na watu wasiojulikana, wapinzania madalali na bunge lililojaa machawa.
 
Gentleman,
hakuna msomi anaeweza kubebwa ufala kifikra na kutumiwa kama kibaraka na mabwenyenye ya magharibi. Hakuna msomi hapo. Msomi unachumbiwa na mwanaume mwenzako?

msomi hawezi kamwe kukosa adabu na kufanya makosa nonsense ya kukiuka sheria kama huyo kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.

kawaambie na wenzako kuhusu haya bila kificho
 
sina haja ya kumdihaki mtu yeyote bali daima naeleza ukweli mtupu gentleman,

im sorry ikiwa nafanya makosa kueleza ukweli maana najua ni mchungu daima
Ukweli ni upi? Kusema Lissu kachumbiwa? Kweli kabisa? Huo ndio ukweli wako.
 
Ni ccm na serikali yake ndio inayo mtesa. Tanzania sio ccm na ccm sio Tanzania. Lawama zote wazibebe ccm na serikali yao Kwa mateso wanayompa huyu Lissu…
 
Hii ya kuchumbiwa upo serious au ndio hizo ropo zako za kisiasa? Kama sio siasa tueleze alichumbiwa na nani.
 
Kweli kabisa. Atafute nchi aombe uraia akaishi na familia yake. Awaachie watanzania wahangaike na watu wasiojulikana, wapinzania madalali na bunge lililojaa machawa.
mnapigana kamba wenyewe kwa wenyewe hadi huruma


hakuna mTanzania anweza kubabaika na porojo za huyo kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…