Kirusi kizuri ni naniWana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo.
LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani.
Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu.
Wana CHADEMA tujiandae kabisa kisaikolojia maana hapa kuna mpasuko mkubwa utatokea NDANI ya chama kwa ateam LISU na team Mbowe.
Naamini wana CHADEMA tutakuwa na mwenyekiti wetu aliyetutoa mbali .
Najua kuna wana CDM mtanitukana sana na kunikejeri sana ila ukweli utabakiqa pale pale .
Kila anayetaka kugombea uenyekiti basi wanachadema vijana humgeuka na kuanza kumwita msaliti. Ila kweli muda ni somo zuri. Alianza zitto, wakamsema kuanzia akina halima na lissu kuwa ni msaliti. Sasa zamu ya lissu nayo imefika baada ya kutamani wenyekiti.Mkuu tujipe muda kuna siku utayakumbukq maneno yangu haya
Heche anaenda kuwa Katibu Mkuu chini ya Uenyekiti wa Lissu.Naombea John Heche naye awe mmoja wa wanaogombea hiyo nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA.
Analeta matumaini matumaini makubwa sana katika siasa za upinzani Tanzania.
Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo.
LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani.
Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu.
Wana CHADEMA tujiandae kabisa kisaikolojia maana hapa kuna mpasuko mkubwa utatokea NDANI ya chama kwa ateam LISU na team Mbowe.
Naamini wana CHADEMA tutakuwa na mwenyekiti wetu aliyetutoa mbali .
Najua kuna wana CDM mtanitukana sana na kunikejeri sana ila ukweli utabakiqa pale pale .
CCM mnaogopa niniWana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo.
LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani.
Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu.
Wana CHADEMA tujiandae kabisa kisaikolojia maana hapa kuna mpasuko mkubwa utatokea NDANI ya chama kwa ateam LISU na team Mbowe.
Naamini wana CHADEMA tutakuwa na mwenyekiti wetu aliyetutoa mbali .
Najua kuna wana CDM mtanitukana sana na kunikejeri sana ila ukweli utabakiqa pale pale .
Mmawia ndiyo CHADEMA?Pale cha cha demokrasia kinapoogopa demokrasia.
Press conference yake ya kutangaza kugombea nafasi MKiti leo tarehe 12.12.2024 itanatafakarisha kutokana na mashambulizi aliyotoa baada ya kutangaza nia. Inaonekana ni wampe nafasi ya MKiti au aondoke. Sasa swali ni je ana nia njema kubadili gia angani kutaka nafasi hiyo? Ipi bora apewe au aachwe aondoke?Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo.
LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani.
Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu.
Wana CHADEMA tujiandae kabisa kisaikolojia maana hapa kuna mpasuko mkubwa utatokea NDANI ya chama kwa ateam LISU na team Mbowe.
Naamini wana CHADEMA tutakuwa na mwenyekiti wetu aliyetutoa mbali .
Najua kuna wana CDM mtanitukana sana na kunikejeri sana ila ukweli utabakiqa pale pale .
Duh...!Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo.
LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani.
Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu.
Wana CHADEMA tujiandae kabisa kisaikolojia maana hapa kuna mpasuko mkubwa utatokea NDANI ya chama kwa ateam LISU na team Mbowe.
Naamini wana CHADEMA tutakuwa na mwenyekiti wetu aliyetutoa mbali .
Najua kuna wana CDM mtanitukana sana na kunikejeri sana ila ukweli utabakiqa pale pale .
Ulambishwe pesa za Abdul halafu uwe wa moto, wewe ungeweza ?Lissu atafanya Siasa za ghasia ndizo zitaeleweka kwa Watawala waCCM, lakini Mbowe amekuwa BARIDI mno.
Atakuwa amejimaliza kama CDM ilivyojimaliza kwa kumpokea Eddo.Lissu akitoka CHADEMA basi ndio mwisho wake kwenye siasa za vyama. Hawezi kuishi CCM wala hakuna atakayemhitaji huko labda kama mkakati wa kummaliza kabisa - literally!
Hana compromise; hana simile katika suala lolote.
The fear of unknown.Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu.
Hhahahha.. Nimecheka kwa sauti...Ackson Mwansasu
Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo.
LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani.
Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu.
Wana CHADEMA tujiandae kabisa kisaikolojia maana hapa kuna mpasuko mkubwa utatokea NDANI ya chama kwa ateam LISU na team Mbowe.
Naamini wana CHADEMA tutakuwa na mwenyekiti wetu aliyetutoa mbali .
Najua kuna wana CDM mtanitukana sana na kunikejeri sana ila ukweli utabakiqa pale pale .
Ina maana kaifadhili cdm ili aendelee kuwa mwenyekiti? Hatukatai mbowe ni mzuri kiuongozi lakini hiki ni chama cha kidemokrasia kinachotakiwa na mchakamchaka wa sasa.Nakubaliana na wewe kabisa kuwa Mbowe kaka sana kwenye hiyo nafasi lkn pia jiulize ni mangapi kayafanyia CDM ?
Acha mambo yako wewe Mbowe, tunahitaji mabadiliko!Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo.