Lissu ni kirusi kibaya ndani ya CHADEMA. Wana CHADEMA tokeni usingizini, Lissu anakwenda CCM

Atakuwa amejimaliza kama CDM ilivyojimaliza kwa kumpokea Eddo.
CHADEMA haikujimaliza kwa kumpokea Eddo. Umesema kinyume na hali halisi - na reality!

Linganisha CHADEMA ya 2015 na ile ya 2020. Ipi uliikubali, kivipi?
 
Hakuna anayejiliza bali huo ndiyo ukweli kuwa Lisu anamfuata Msigwa ccm
 
Ni. Maoni yako, lissu kwenda ccm haiwezekani kamwe.Lissu kuwa kirusi chadema tangu lini? Lisa kugombea uwenyekiti?
 
Pamoja na mengine yote, kwa nini Mbowe nae asiache mtu mwingine akawa Mwenyekiti wa chama? Nadhani na yeye afike sehemu akubali kuwa kafanya mazuri lakini hebu atoe nafasi kwa watu walio na mawazo tofauti nao wajaribu kivyao.
 
Mkuu usiwe unakula ugali na njugumawe usiku.Unakuwa na hallucinations sana.
 
Naombea John Heche naye awe mmoja wa wanaogombea hiyo nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA.

Analeta matumaini makubwa sana katika siasa za upinzani Tanzania.
Heche ashauriwe atie Nia agombee umakamu mwenyekiti....
 
Mkuu tujipe muda kuna siku utayakumbukq maneno yangu haya
Hata akienda ni sawa tu kuliko kuwa na mwenyekiti kwa muda mrefu hivi. Kwa sasa Mbowe ni kiongozi asiyeaminika tena, miaka 20 aliyokaa kwenye nafasi hiyo inatosha, kwani ni lazima yeye tu aendelee kuwa mwenyekiti?
 
Pamoja na mengine yote, kwa nini Mbowe nae asiache mtu mwingine akawa Mwenyekiti wa chama? Nadhani na yeye afike sehemu akubali kuwa kafanya mazuri lakini hebu atoe nafasi kwa watu walio na mawazo tofauti nao wajaribu kivyao.
Haahaa huenda yeye Hana shida, tatizo machawa ndo wanampa kichwa
 
Nakubaliana na wewe kabisa kuwa Mbowe kaka sana kwenye hiyo nafasi lkn pia jiulize ni mangapi kayafanyia CDM ?
Hakuna anayekataa baadhi ya mazuri aliyofanya, ila hiyo sio kinga ya kufia kwenye nafasi hiyo.
 
Kwa comment hii unataka kusema kuwa Msigwa alikuwa Zezeta?
Mkuu acha kumkosea Lissu kwa kumfananisha na Msigwa, ni lavel 2 tofauti kabisa!.
Kwa miaka mingi imethibitika wazi ccm hawataki siasa za kistaarab...ni wahuni, inatakiwa ile wakiweka ugoko na wew unaweka ugoko!
Mbowe kweli kaitoa chadema mbali na aina ya siasa zake za kistaarab.
Ila Kwa sasa kiukweli siasa za Lissu ndio zinafaa dhidi ya ma ccm!!.
 
Hivi kwa nini maccm yamehamaki sana Lissu kugombea uenyekiti wa Chadema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…