Uchaguzi 2020 Lissu: Ni kweli nina tiketi ya ndege kwenda Ubelgiji 18 Desemba 2020

baada ya kusema hadharani, Lisu amewathibitishia watanzania kuwa hali yake bado ni tete na hivyo anapaswa kurudi hospitali mara baada ya uchaguzi mkuu,
hii inatia shaka kuwa huenda akalazwa kwa muda mrefu zaidi kuliko ilivyo kuwa hapo awali.
kwa hali hii kuna uwezekano mkubwa kwa baadhi ya wapiga kura wake kutokupoteza kura zao kwake na badala yake huenda kura za lisu zikarudi kwa Mgombea wa act.
 
Na sisi watanzania hatuwezi kumpigia kura anatembea na feni hadi chini ya miti
 
Ugonjwa usiomzuia mtu kufanya kazi hauna shida.
Kikubwa hospital zetu ziendelee kuboreshwa kila mtanzania apate huduma zote ndani ya nchi
Ni kweli..
Nimemjibu tu huyo aliyesema kuwa huyu hafai kwa kigezo kuwa aliumizwa
 
Labda Rais wa TPBO Yassin Ustadhi au yule Rais wa vijana Bwana Nyosh El Sadat.

Amri jeshi Mkuu hawezi kuamrisha mtu apigwe shaba halafu akaishia kupapaswa nyonga na hips tu,amuulize J.Khashoggi anaujua mziki wake au mahasimu wa PK.

Of all hitmen waende unprofessional wa kutumia risasi 38 huku mtu mwenyewe kaning'iniza gololi tu hana hata manati?😁!
 
usiwe na upeo huo. Usichanganye siasa na afya ya mtu, tambua kuna maisha baada ya uchaguzi. Tambua kuna MUNGU hujui kesho yako!
 
Daaaah Ayo maneno ya wanaume aisee sio maneno ya mwanamke Kama wewe unayejua uchungu wa kuzaa.

Pole sana mamaa

Karibu tumpe kura za ndio Tundu Lisu 28/10/2020

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
TUndu lissu hapo ndipo napo muamini huwa hamumunyi maneno
Ukweli humuweka mtu huru
 
Anatoroka mapeeeeeema. Andamaneni wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…