Lissu: Nilipokaimu Umakamu, haki za kikatiba zilikataliwa kujadiliwa vikaoni na Mwenyekiti!

Alikimbia wapi wakati alipelekwa Ulaya kwenye matibabu na akina Mbowe?
 
lissu ni habari mbaya kwa chadema maana hivi sasa ndio wamejipambanua wanagombea vyeo na matumbo yao mwisho wenyewe wanagawa je wataleta umoja kwa taifa ni wadhaifu sana kama wanaume!
Hii mada huiwezi, hata kujaribu kuipa muktadha tofauti ni kujichoresha. Ni vyema ukakaa kimya wanaume wanapoongea mambo ya chama cha kisiasa. Ww nenda kajidili mambo ya chama chenu kilichoamua kuishi kwa kutegemea vyombo vya dola.
 
Kwani huko gerezana alipelekwa na Lisu?
 
Swali kwako, haki yako kuipata inahitaji maridhiano? Kama mtu hakupi haki yako mpaka m negotiate huyo ni mhalifu. Kama kalipwa pesa yake hiyo ni HAKI yake sio huruma, maana kama asingelipwa angedai mahakamani hata baada ya Herode kufariki.
 
Mbowe kwenye head to head na lissu hatoweza kwa hoja
 
Alikimbia wapi wakati alipelekwa Ulaya kwenye matibabu na akina Mbowe?
Ile alikimbilia ubalozi wa Ujeruman,akasaidiwa kunusuru roho yake,ila sasa anapuuza waliobaki kutafuta namna ya watu kurudi.Jamani naomba mnisamehe mimi sio mtu wa siasa,ila siasa ni ngumu,maana mtu anajitoa ufahamu
 
Mlimnyima LISSU hakizake za kikatiba ili mpigiwe magoti na Mbowe, ndipo mzitoe? Wewe na Mbowe ni wajinga sana
 

Swali kwako, haki yako kuipata inahitaji maridhiano? Kama mtu hakupi haki yako mpaka m negotiate huyo ni mhalifu. Kama kalipwa pesa yake hiyo ni HAKI yake sio huruma, maana kama asingelipwa angedai mahakamani hata baada ya Herode kufariki.
Mwambie Lissu awape katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi kwa kuwa ni haki ya wananchi.

Uchaguzi wa mitaa umevurugwa wagombea wamenyimwa haki ya kupiga kura mbano hujaenda huko mahakamani basi kupata hiyo haki.

Kujificha nyuma ya key board raha sana.

Endeleeni kumchuuza huku anajifuta katika ulimwengu wa active politics.
 
Hii ni sifa ya wanaume kutoka Singida ukiondoa Mwigulu na Mkumbo
Hapana, Lissu ana sifa za watu wa Mbeya na Tarime.

Tanzania wanaume walionyoka wasioweza kuupaka uongo rangi wanatoka Mbeya na Tarime tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…