Lissu: Nilipokaimu Umakamu, haki za kikatiba zilikataliwa kujadiliwa vikaoni na Mwenyekiti!

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
Akizungumza na Watanzania kupitia katika mtandao wa clubhouse mheshimiwa Lissu amejibu maswali mengi aliyoulizwa na Watanzania. Miongoni mwa mambo aliyoulizwa ni kuhusu faida za maridhiano zilizoelezwa na mwenyekiti Mbowe. Akijibu swali hilo, Ndugu Lissu akasema, anashangaa ndugu Mbowe kuwatangazia wananchi kuwa haki zao za kikatiba kama vile haki ya kufanya mikutano, kufuta kesi za kubambikiwa eti ni matunda ya maridhiano. Lissu akasema kuwa hayo ni haki zao za kikatiba NI NON-NEGOTIATABLE AT THE FIRST PLACE (yaani si jambo la kukaa vikaoni na kujadili eti hizo haki wapeweje)

Mheshimiwa Lissu akasema kuwa , Yeye alipokutana na Samia kule Brussels alimwambia wazi kuwa kwanza afungulie haki zao za kikatiba kisha baada ya hapo ndo wazungumze maridhiano. Mheshimiwa Lissu akasema kuwa kwake maridhiano siyo kupewa kilicho chao kwa mujibu wa katiba, bali maridhiano ni kukubaliana namna ya kufanya REFORMS ZA MSINGI za KATIBA MPYA na SHERIA FAIR ZA UCHAGUZI. Hiyo ndo definition ya maridhiano kwa mujibu wa Lissu.

Lissu akasema, Mwenyekiti alipokuwa kwenye kikao cha baraza la wazee huko Zanzibar alikiri wazi kuwa Mardhiano yalikuwa ni FAILURE na akasema wenzie walioyapinga toka mwanzo walikuwa sahihi, sasa anashangaa leo Mwenyekiti anayapongeza maridhiano kuwa eti yalikuwa mazuri.

Mheshimiwa Lissu akaeleza kuwa Serikali/CCM walikataa mambo ya msingi yote ambayo CHADEMA walitaka kuwa ndio yawe maridhiano halisi, tena waliyakataa kwa barua siyo kwa maneno matupu. Sasa inakuwaje leo Mwenyekiti anasema eti maridhiano yalikuwa ni mafanikio?

Wakati huohuo Ndugu Lissu akampongeza na kumshukuru mheshimiwa Mbowe kwa huduma yake kwa chama, kwa kujitolea kwa namna nyingi sana kukisaidia chama. Hata hivyo Mheshimiwa Lissu akasema, kila mwanachama wa CHADEMA kwa nafasi yake wamakichangia chama. Wapo waliolipia gharama ya juu kabisa ya kujitolea ikiwemo uhai wao, mfano watu kama Ben Saanane, Mzee Kibao, Alphonce Mawazo n.k

UNAWEZA KUSIKIA SAUTI YA LISSU AKIELEZEA MAMBO HAYO HAPA"

View attachment part4.m4a
 
View attachment 3183725
Lissu ni akili-kubwa.
 
Sasa Mbowe mbona anatuchamganya?
Mbowe anajaribu kuonyesha kuwa maridhiano yalifanya kazi kumbe sivyo. Hii ni kwasababu ni yeye alilazimisha kwa sababu anazozijua yeye. Mtu hawezi kuja na kukuibia mali yako halafu uendee kukaa naye eti unafanya maridhiano akurudishie. Infact huyo ni mhalifu na anatakiwa kwenda jela. Magufuli alipokataza shughuli za kisiasa na kufunga watu bila makosa alitenda makosa. Samia angekuwa anataka maridhiano ilitakiwa aombe msamaha, arudishe shughuli za kisiasa na kufungulia watu wasio na hatia waliokuwa ndani ndiyo aanze maridhiano.
 
Mbowe anachokifanya kwenye ishu ya maridhiano ni sawa na mlevi kuipongeza ATM kwa kumpa hela zake!
 
Akizungumza na Watanzania kupitia katika mtandao wa clubhouse mheshimiwa Lissu amejibu maswali mengi aliyoulizwa na Watanzania. Miongoni mwa mambo aliyoulizwa ni kuhusu faida za maridhiano zilizoelezwa na mwenyekiti Mbowe. Akijibu swali hilo, Ndugu Lissu akasema, anashangaa ndugu Mbowe kuwatangazia wananchi kuwa haki zao za kikatiba kama vile haki ya kufanya mikutano, kufuta kesi za kubambikiwa eti ni matunda ya maridhiano. Lissu akasema kuwa hayo ni haki zao za kikatiba NI NON-NEGOTIATABLE AT THE FIRST PLACE (yaani si jambo la kukaa vikaoni na kujadili eti hizo haki wapeweje)

Mheshimiwa Lissu akasema kuwa , Yeye alipokutana na Samia kule Brussels alimwambia wazi kuwa kwanza afungulie haki zao za kikatiba kisha baada ya hapo ndo wazungumze maridhiano. Mheshimiwa Lissu akasema kuwa kwake maridhiano siyo kupewa kilicho chao kwa mujibu wa katiba, bali maridhiano ni kukubaliana namna ya kufanya REFORMS ZA MSINGI za KATIBA MPYA na SHERIA FAIR ZA UCHAGUZI. Hiyo ndo definition ya maridhiano kwa mujibu wa Lissu.

Lissu akasema, Mwenyekiti alipokuwa kwenye kikao cha baraza la wazee huko Zanzibar alikiri wazi kuwa Mardhiano yalikuwa ni FAILURE na akasema wenzie walioyapinga toka mwanzo walikuwa sahihi, sasa anashangaa leo Mwenyekiti anayapongeza maridhiano kuwa eti yalikuwa mazuri.

Mheshimiwa Lissu akaeleza kuwa Serikali/CCM walikataa mambo ya msingi yote ambayo CHADEMA walitaka kuwa ndio yawe maridhiano halisi, tena waliyakataa kwa barua siyo kwa maneno matupu. Sasa inakuwaje leo Mwenyekiti anasema eti maridhiano yalikuwa ni mafanikio?

Wakati huohuo Ndugu Lissu akampongeza na kumshukuru mheshimiwa Mbowe kwa huduma yake kwa chama, kwa kujitolea kwa namna nyingi sana kukisaidia chama. Hata hivyo Mheshimiwa Lissu akasema, kila mwanachama wa CHADEMA kwa nafasi yake wamakichangia chama. Wapo waliolipia gharama ya juu kabisa ya kujitolea ikiwemo uhai wao, mfano watu kama Ben Saanane, Mzee Kibao, Alphonce Mawazo n.k

UNAWEZA KUSIKIA SAUTI YA LISSU AKIELEZEA MAMBO HAYO HAPA"

View attachment 3183725
Unapokubali kuzungumza na adui yako maana yake lazima compromise iwepo vinginevyo hakuna haja ya kuzungumza.

Lissu anawadanganya wajinga wasiojua maana ya neno maridhiano. Mbowe amenukuu watu mashuhuri kabisa duniani wakieleza maridhiano ni nini.

Hizo haki za kikatiba mbona kabla ya maridhiano hazikutolewa na yeye alikimbia nchi? Kama maridhiano hayakuwa na faida angerudi nchini na kulipwa haki zake za ubunge? Mbona huko nyuma hakulipwa na hakufanya kitu si haki za kikatiba?

Maamuzi ya chama sio mtu mmoja bali ni vikao, mtu mmoja nguvu yake ni ushawishi tu; hata wewe ukishinda hutaweza kuimpose mawazo yako katika chama bila maamuzi hayo kuungwa mkono na kupitishwa na vikao.

Lissu mradi wako wa kumchafua Mbowe hautafanikiwa na elewa kabisa baada ya uchaguzi ndio mwisho wako CHADEMA.
 
Compromise kwenye haki zako za kikatiba au compromise gani?

Ulitaka CHADEMA wacompromise nini kwa mfano?
 
Back
Top Bottom