Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baki Tu huko alipoDar es Salaam. Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameomba kuhakikishiwa mambo sita ili aweze kuanza safari ya kurejea nchini akitokea Ubelgiji anakoishi tangu Januari mwaka 2018.
Lissu, aliyepelekwa kwa matibabu nchini Ubelgiji Januari 2018 baada ya kushambuliwa kwa risasi akitokea bungeni Dodoma Septemba 7, 2017, amelieleza Mwananchi kuwa mambo hayo yakifanyika, akirejea nchini ataishi kwa amani na hatakuwa na wasiwasi.
Ameyataja mambo hayo kuwa ni kuhakikishiwa ulinzi na usalama wake, kusamehewa kwa wafungwa wote wa kisiasa, kupewa gari lake alilokuwa amepanda siku anashambuliwa kwa risasi, kulipwa gharama za matibabu, kupewa mafao yake ya ubunge na kesi zinazomkabili kuangaliwa kwa jicho la pili, akisema amebambikiwa.
Wakati Lissu akieleza hayo, Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime amesema, “mara ya mwisho ilitolewa taarifa anasubiriwa Lissu aje achukuliwe maelezo yake ila alikataa, kwa maana hiyo uchunguzi haujakamilika. Mtu aliyetendewa kosa akikataa kuja polisi kuandika maelezo hawezi kukamatwa..., anatakiwa aje atoe maelezo yake.”
Mwananchi lilimtafuta Spika wa Bunge, Job Ndugai kuzungumzia suala hilo jana bila mafanikio, lakini mara kadhaa gazeti hili limewahi kumnukuu akisema Lissu alilipwa stahiki zake zote.
Lissu, aliyegombea urais kupitia Chadema katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, mwaka jana alisema aliporejea nchini na kushiriki uchaguzi huo alikuwa na walinzi, lakini baada ya uchaguzi waliondolewa, hali aliyodai ilitishia usalama wake.
“Nadhani mnakumbuka nilikamatwa nikapelekwa polisi baadaye nikaachiwa na jinsi nilivyoondoka huko, hili jambo na mengine nikihakikishiwa basi nitarejea,” alisema.
Lissu alimtaja Rais Samia Suluhu Hassan kuwa anaweza kumsaidia katika mambo hayo sita kwa sababu kiongozi huyo alipokuwa makamu wa Rais alikwenda kumjulia hali wakati amelazwa hospitali jijini Nairobi.
Baada ya kushambuliwa Dodoma, Lissu alipelekwa Nairobi, Kenya kwa matibabu kuanzia Septemba 8 mwaka 2017 hadi Januari 2018 na kati ya waliomtembelea ni Rais Samia wakati huo akiwa makamu wa rais, na kwenye mahojiano na gazeti hili makamu mwenyekiti huyo wa Chadema alisema kwa kitendo hicho ni wazi kuwa Samia anaweza kumsaidia.
“Nataka nielezwe waliotaka kuniua ni kina nani na nikirudi Tanzania nitakuwa salama kiasi gani.
“Je, nikirudi nitaendelea na kesi na nitakuwa huru kufanya siasa? Vipi kuhusu haki zangu walizokalia, hivi unajua sijalipwa na Bunge, hawakunilipa gratuity (kiinua mgongo),” alisema Lissu.
Akifafanua zaidi kuhusu haki zake bungeni, Lissu alisema alikuwa mbunge kwa miaka minne kuanzia mwaka 2015 kabla ya kuelezwa kuwa amepoteza sifa za kuwa mwakilishi wa wananchi Juni mwaka 2019, akisisitiza kuwa katika kipindi cha miaka hiyo minne hakupata kiinua mgongo.
“Pia wakati naugua sikulipwa gharama za matibabu na katika hili Rais Samia anajua nilikuwa wapi na alikuja kunijulia hali. Kimsingi hili nalo napaswa kupewa majibu ni kwa nini sikulipwa,” alisisitiza.
Mbunge huyo wa zamani wa Singida Mashariki mkoani Singida alihoji kuhusu lilipo gari lake alilokuwa amepanda siku anashambuliwa kwa risasi.
“Kwa nini wameshikilia gari langu wakati hakuna kesi wala uchunguzi wowote uliofanyika tangu niliposhambuliwa.
“Pia kama watawafungulia wafungwa wa kisiasa na kufuta kesi za kisiasa zinazowakabili wengi, nikiwemo mimi, kwa kweli nikipewa majibu ya haya ninarudi nyumbani,” alisema.
Kauli ya polisi
Akieleza zaidi kuhusu suala hilo, Misime alisema: “Kazi ya Jeshi la Polisi Tanzania kwa mujibu wa sheria za nchi ni kulinda maisha ya watu na mali zao. Kubaini, kuzuia kusimamia sheria na kudumisha amani na utengamano. Kulingana na mikakati iliyowekwa hali ya ulinzi na usalama ni amani na utulivu kwa wananchi, wakiwepo na wageni kutoka nchi mbalimbali.
“Hivyo kama kuna mtu anataka kuja
Tanzania, awe raia halali au mgeni anakaribishwa kwa sababu hali ya ulinzi na usalama ni shwari na ya amani kubwa,” alisema.
Misime alifafanua kuwa kwa mujibu wa sheria za nchi, Jeshi la Polisi hutoa ulinzi kwa wananchi wote bila ubaguzi na kama kuna mwenye changamoto za kiusalama ni jukumu lake kutoa taarifa kwa njia stahiki kwa mujibu wa sheria.
Msimamo wa Ndugai
Aprili mwaka jana, Spika Ndugai alisema Lissu amelipwa mishahara yake yote, ukiwamo wa Juni 2019 ambao anadai hajalipwa.
Alisisitiza kuwa amelipwa zaidi ya Sh200 milioni, posho mbalimbali zaidi ya Sh360 milioni na kwamba amelipwa zaidi ya Sh500 milioni kwa kipindi alichokuwa Ubelgiji. Alieleza hayo mara baada ya Bunge kupitisha bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu ya mwaka 2020/2021.
Mbali na madai hayo, Spika alilitangazia Bunge kuwa Lissu alikuwa na madeni ya Sh70 milioni aliyokopa maeneo mbalimbali kupitia Bunge na kumtaka arejeshe fedha hizo.
Hata hivyo, alisema kama angeendelea, wangekwenda mbali zaidi na kuhoji jinsi alivyotumia fedha za wananchi, mishahara ya dereva wake na mafuta ya kumpeleka jimboni wakati akijua anazitumia isivyo halali kwa sababu yupo nje ya nchi, jambo ambalo lingemletea shida kwa kutakiwa kuzirudisha.
CHANZO: MWANANCHI
Kajikweza sanaSioni ni kivipi hayo yote aliyoyataja kama yanatekelezeka!
Hakuna mtego hapoMtego mdogo sana kwa Samia, mwezi mtukufu huu.
Nawe jifunze tofauti kati ya 'tofauti' na 'tafauti'...lakini ujumbe wake umekufikia...Hebu rudi shule ujifunze tafauti ya r na l!
Hakika kabsa kama huna lakucomment kaa kimyaUmri huu nilionao niludi shule nikafanye nini changamoto nilionayo ya kuwasomesha wadogo zako kwangu ni shule tosha kama umenielewa na ujumbe wangu umefika hizo tofauti za r na l si kitu kwangu
Na asirudi kabisa.Dar es Salaam. Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameomba kuhakikishiwa mambo sita ili aweze kuanza safari ya kurejea nchini akitokea Ubelgiji anakoishi tangu Januari mwaka 2018.
Lissu, aliyepelekwa kwa matibabu nchini Ubelgiji Januari 2018 baada ya kushambuliwa kwa risasi akitokea bungeni Dodoma Septemba 7, 2017, amelieleza Mwananchi kuwa mambo hayo yakifanyika, akirejea nchini ataishi kwa amani na hatakuwa na wasiwasi.
Ameyataja mambo hayo kuwa ni kuhakikishiwa ulinzi na usalama wake, kusamehewa kwa wafungwa wote wa kisiasa, kupewa gari lake alilokuwa amepanda siku anashambuliwa kwa risasi, kulipwa gharama za matibabu, kupewa mafao yake ya ubunge na kesi zinazomkabili kuangaliwa kwa jicho la pili, akisema amebambikiwa.
Wakati Lissu akieleza hayo, Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime amesema, “mara ya mwisho ilitolewa taarifa anasubiriwa Lissu aje achukuliwe maelezo yake ila alikataa, kwa maana hiyo uchunguzi haujakamilika. Mtu aliyetendewa kosa akikataa kuja polisi kuandika maelezo hawezi kukamatwa..., anatakiwa aje atoe maelezo yake.”
Mwananchi lilimtafuta Spika wa Bunge, Job Ndugai kuzungumzia suala hilo jana bila mafanikio, lakini mara kadhaa gazeti hili limewahi kumnukuu akisema Lissu alilipwa stahiki zake zote.
Lissu, aliyegombea urais kupitia Chadema katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, mwaka jana alisema aliporejea nchini na kushiriki uchaguzi huo alikuwa na walinzi, lakini baada ya uchaguzi waliondolewa, hali aliyodai ilitishia usalama wake.
“Nadhani mnakumbuka nilikamatwa nikapelekwa polisi baadaye nikaachiwa na jinsi nilivyoondoka huko, hili jambo na mengine nikihakikishiwa basi nitarejea,” alisema.
Lissu alimtaja Rais Samia Suluhu Hassan kuwa anaweza kumsaidia katika mambo hayo sita kwa sababu kiongozi huyo alipokuwa makamu wa Rais alikwenda kumjulia hali wakati amelazwa hospitali jijini Nairobi.
Baada ya kushambuliwa Dodoma, Lissu alipelekwa Nairobi, Kenya kwa matibabu kuanzia Septemba 8 mwaka 2017 hadi Januari 2018 na kati ya waliomtembelea ni Rais Samia wakati huo akiwa makamu wa rais, na kwenye mahojiano na gazeti hili makamu mwenyekiti huyo wa Chadema alisema kwa kitendo hicho ni wazi kuwa Samia anaweza kumsaidia.
“Nataka nielezwe waliotaka kuniua ni kina nani na nikirudi Tanzania nitakuwa salama kiasi gani.
“Je, nikirudi nitaendelea na kesi na nitakuwa huru kufanya siasa? Vipi kuhusu haki zangu walizokalia, hivi unajua sijalipwa na Bunge, hawakunilipa gratuity (kiinua mgongo),” alisema Lissu.
Akifafanua zaidi kuhusu haki zake bungeni, Lissu alisema alikuwa mbunge kwa miaka minne kuanzia mwaka 2015 kabla ya kuelezwa kuwa amepoteza sifa za kuwa mwakilishi wa wananchi Juni mwaka 2019, akisisitiza kuwa katika kipindi cha miaka hiyo minne hakupata kiinua mgongo.
“Pia wakati naugua sikulipwa gharama za matibabu na katika hili Rais Samia anajua nilikuwa wapi na alikuja kunijulia hali. Kimsingi hili nalo napaswa kupewa majibu ni kwa nini sikulipwa,” alisisitiza.
Mbunge huyo wa zamani wa Singida Mashariki mkoani Singida alihoji kuhusu lilipo gari lake alilokuwa amepanda siku anashambuliwa kwa risasi.
“Kwa nini wameshikilia gari langu wakati hakuna kesi wala uchunguzi wowote uliofanyika tangu niliposhambuliwa.
“Pia kama watawafungulia wafungwa wa kisiasa na kufuta kesi za kisiasa zinazowakabili wengi, nikiwemo mimi, kwa kweli nikipewa majibu ya haya ninarudi nyumbani,” alisema.
Kauli ya polisi
Akieleza zaidi kuhusu suala hilo, Misime alisema: “Kazi ya Jeshi la Polisi Tanzania kwa mujibu wa sheria za nchi ni kulinda maisha ya watu na mali zao. Kubaini, kuzuia kusimamia sheria na kudumisha amani na utengamano. Kulingana na mikakati iliyowekwa hali ya ulinzi na usalama ni amani na utulivu kwa wananchi, wakiwepo na wageni kutoka nchi mbalimbali.
“Hivyo kama kuna mtu anataka kuja
Tanzania, awe raia halali au mgeni anakaribishwa kwa sababu hali ya ulinzi na usalama ni shwari na ya amani kubwa,” alisema.
Misime alifafanua kuwa kwa mujibu wa sheria za nchi, Jeshi la Polisi hutoa ulinzi kwa wananchi wote bila ubaguzi na kama kuna mwenye changamoto za kiusalama ni jukumu lake kutoa taarifa kwa njia stahiki kwa mujibu wa sheria.
Msimamo wa Ndugai
Aprili mwaka jana, Spika Ndugai alisema Lissu amelipwa mishahara yake yote, ukiwamo wa Juni 2019 ambao anadai hajalipwa.
Alisisitiza kuwa amelipwa zaidi ya Sh200 milioni, posho mbalimbali zaidi ya Sh360 milioni na kwamba amelipwa zaidi ya Sh500 milioni kwa kipindi alichokuwa Ubelgiji. Alieleza hayo mara baada ya Bunge kupitisha bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu ya mwaka 2020/2021.
Mbali na madai hayo, Spika alilitangazia Bunge kuwa Lissu alikuwa na madeni ya Sh70 milioni aliyokopa maeneo mbalimbali kupitia Bunge na kumtaka arejeshe fedha hizo.
Hata hivyo, alisema kama angeendelea, wangekwenda mbali zaidi na kuhoji jinsi alivyotumia fedha za wananchi, mishahara ya dereva wake na mafuta ya kumpeleka jimboni wakati akijua anazitumia isivyo halali kwa sababu yupo nje ya nchi, jambo ambalo lingemletea shida kwa kutakiwa kuzirudisha.
CHANZO: MWANANCHI
Hiyo ni haki yake anastahili kupewa, alikuwa mbunge mpaka alivyoshambuliwa akalazwa, then Ndugai anamuondoa bungeni kwa utoro wakati anajua fika alikuwa hospital akitibiwa na Rais wa sasa ni shahidi wa hilo, Lissu kulipwa stahiki zake ni haki yake, kama sio shambulio dhidi yake angeendelea kuwa mbunge mpaka muda wake uishe.Hakuna mtego hapo
Lissu thinks he is one of the most important people in the country
And he is not
Awepo , asiwepo hakuna impact
Ukomavu n kusimamia haki za wengine akiwemo na yeye,kwa nilivyoelewa,kesi za wafungwa kwa makosa ya kisiasa(kipindi cha kampeni & uchaguzi mkuu),watu wamebambikiwa.Amri hizo za Lissu hazitekelezeki kama anataka kurudi arudi na kama hataki abaki huko huko huwezi kumuamrisha Rais achie wafungwa ndio wewe uludi kwani wewe ni nani katika Nchi hii.
Mimi nilikuwa shabiki mkubwa wa Tundu Lissu lakini lazima niseme ukweli ulio moyoni mwangu huyu jamaa amefeli kisiasa kabisa hakuwa na mipango mizuri wala mshauri mzuri., Kwa sababu kama haya anayodai sasa kuhakikishiwa usalama wake ndio aje swali ni mbona uchaguzi alikuja hivyo hivyo kugombea hakujali kuhakikishiwa usalama wala chochote alikuja tu,Dar es Salaam. Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameomba kuhakikishiwa mambo sita ili aweze kuanza safari ya kurejea nchini akitokea Ubelgiji anakoishi tangu Januari mwaka 2018.
Lissu, aliyepelekwa kwa matibabu nchini Ubelgiji Januari 2018 baada ya kushambuliwa kwa risasi akitokea bungeni Dodoma Septemba 7, 2017, amelieleza Mwananchi kuwa mambo hayo yakifanyika, akirejea nchini ataishi kwa amani na hatakuwa na wasiwasi.
Ameyataja mambo hayo kuwa ni kuhakikishiwa ulinzi na usalama wake, kusamehewa kwa wafungwa wote wa kisiasa, kupewa gari lake alilokuwa amepanda siku anashambuliwa kwa risasi, kulipwa gharama za matibabu, kupewa mafao yake ya ubunge na kesi zinazomkabili kuangaliwa kwa jicho la pili, akisema amebambikiwa.
Wakati Lissu akieleza hayo, Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime amesema, “mara ya mwisho ilitolewa taarifa anasubiriwa Lissu aje achukuliwe maelezo yake ila alikataa, kwa maana hiyo uchunguzi haujakamilika. Mtu aliyetendewa kosa akikataa kuja polisi kuandika maelezo hawezi kukamatwa..., anatakiwa aje atoe maelezo yake.”
Mwananchi lilimtafuta Spika wa Bunge, Job Ndugai kuzungumzia suala hilo jana bila mafanikio, lakini mara kadhaa gazeti hili limewahi kumnukuu akisema Lissu alilipwa stahiki zake zote.
Lissu, aliyegombea urais kupitia Chadema katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, mwaka jana alisema aliporejea nchini na kushiriki uchaguzi huo alikuwa na walinzi, lakini baada ya uchaguzi waliondolewa, hali aliyodai ilitishia usalama wake.
“Nadhani mnakumbuka nilikamatwa nikapelekwa polisi baadaye nikaachiwa na jinsi nilivyoondoka huko, hili jambo na mengine nikihakikishiwa basi nitarejea,” alisema.
Lissu alimtaja Rais Samia Suluhu Hassan kuwa anaweza kumsaidia katika mambo hayo sita kwa sababu kiongozi huyo alipokuwa makamu wa Rais alikwenda kumjulia hali wakati amelazwa hospitali jijini Nairobi.
Baada ya kushambuliwa Dodoma, Lissu alipelekwa Nairobi, Kenya kwa matibabu kuanzia Septemba 8 mwaka 2017 hadi Januari 2018 na kati ya waliomtembelea ni Rais Samia wakati huo akiwa makamu wa rais, na kwenye mahojiano na gazeti hili makamu mwenyekiti huyo wa Chadema alisema kwa kitendo hicho ni wazi kuwa Samia anaweza kumsaidia.
“Nataka nielezwe waliotaka kuniua ni kina nani na nikirudi Tanzania nitakuwa salama kiasi gani.
“Je, nikirudi nitaendelea na kesi na nitakuwa huru kufanya siasa? Vipi kuhusu haki zangu walizokalia, hivi unajua sijalipwa na Bunge, hawakunilipa gratuity (kiinua mgongo),” alisema Lissu.
Akifafanua zaidi kuhusu haki zake bungeni, Lissu alisema alikuwa mbunge kwa miaka minne kuanzia mwaka 2015 kabla ya kuelezwa kuwa amepoteza sifa za kuwa mwakilishi wa wananchi Juni mwaka 2019, akisisitiza kuwa katika kipindi cha miaka hiyo minne hakupata kiinua mgongo.
“Pia wakati naugua sikulipwa gharama za matibabu na katika hili Rais Samia anajua nilikuwa wapi na alikuja kunijulia hali. Kimsingi hili nalo napaswa kupewa majibu ni kwa nini sikulipwa,” alisisitiza.
Mbunge huyo wa zamani wa Singida Mashariki mkoani Singida alihoji kuhusu lilipo gari lake alilokuwa amepanda siku anashambuliwa kwa risasi.
“Kwa nini wameshikilia gari langu wakati hakuna kesi wala uchunguzi wowote uliofanyika tangu niliposhambuliwa.
“Pia kama watawafungulia wafungwa wa kisiasa na kufuta kesi za kisiasa zinazowakabili wengi, nikiwemo mimi, kwa kweli nikipewa majibu ya haya ninarudi nyumbani,” alisema.
Kauli ya polisi
Akieleza zaidi kuhusu suala hilo, Misime alisema: “Kazi ya Jeshi la Polisi Tanzania kwa mujibu wa sheria za nchi ni kulinda maisha ya watu na mali zao. Kubaini, kuzuia kusimamia sheria na kudumisha amani na utengamano. Kulingana na mikakati iliyowekwa hali ya ulinzi na usalama ni amani na utulivu kwa wananchi, wakiwepo na wageni kutoka nchi mbalimbali.
“Hivyo kama kuna mtu anataka kuja
Tanzania, awe raia halali au mgeni anakaribishwa kwa sababu hali ya ulinzi na usalama ni shwari na ya amani kubwa,” alisema.
Misime alifafanua kuwa kwa mujibu wa sheria za nchi, Jeshi la Polisi hutoa ulinzi kwa wananchi wote bila ubaguzi na kama kuna mwenye changamoto za kiusalama ni jukumu lake kutoa taarifa kwa njia stahiki kwa mujibu wa sheria.
Msimamo wa Ndugai
Aprili mwaka jana, Spika Ndugai alisema Lissu amelipwa mishahara yake yote, ukiwamo wa Juni 2019 ambao anadai hajalipwa.
Alisisitiza kuwa amelipwa zaidi ya Sh200 milioni, posho mbalimbali zaidi ya Sh360 milioni na kwamba amelipwa zaidi ya Sh500 milioni kwa kipindi alichokuwa Ubelgiji. Alieleza hayo mara baada ya Bunge kupitisha bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu ya mwaka 2020/2021.
Mbali na madai hayo, Spika alilitangazia Bunge kuwa Lissu alikuwa na madeni ya Sh70 milioni aliyokopa maeneo mbalimbali kupitia Bunge na kumtaka arejeshe fedha hizo.
Hata hivyo, alisema kama angeendelea, wangekwenda mbali zaidi na kuhoji jinsi alivyotumia fedha za wananchi, mishahara ya dereva wake na mafuta ya kumpeleka jimboni wakati akijua anazitumia isivyo halali kwa sababu yupo nje ya nchi, jambo ambalo lingemletea shida kwa kutakiwa kuzirudisha.
CHANZO: MWANANCHI
Dar es Salaam. Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameomba kuhakikishiwa mambo sita ili aweze kuanza safari ya kurejea nchini akitokea Ubelgiji anakoishi tangu Januari mwaka 2018.

Kwani wewe nani hadi uhoji mtazamo wake?Kwani huyo lisu anajiona nani hasa hadi ampangie vya kufanyiwa ndo arudi? kwani kuna mtu kamuita au alivokaa huko miaka yote jua halikuwaka TZ au mvua haikunyesha? Ikiwezekana kae huko na afie huko hakuna amtakae. Waswahili wanakwambia ukitaka kudeka hakikisha yupo wa kukudekeza, sasa asilazimishe kudekezwa. Akitaka arudi apambane na hali yake kama hatak abaki huko, mxiuuuu
Kabisa kabisa. TL ni shujaa.Leo mwananchi itakua imeuza nakala nyingi sana