Lissu: Nitarejea Tanzania endapo yafuatayo yatafanyika

mkuu nashukuru kwa maelezo mazuri pia

Ila nimesema maada hii ni outdated now

CDM wanajua kila kitu na waweke wazi sasa kila kitu ...kuna demokrasia sasa sio? issue ya mwaka juzi tu

Ninaposema wanajua, sitanii waanike
 
Vilaza wa CCM ni kama marehemu na Katibu Mkuu wao Bashiru hawajui tofauti ya r&l
Kwa hiyo mtu akijua kutofautisha r&l ni kilaza? Vipi Baba yako asie jua hata kuandika vizuri ila akakupeleka shule ukapata hicho kidiploma au kidigree chako nae ni kilaza?
 
Kwa hiyo mtu akijua kutofautisha r&l ni kilaza? Vipi Baba yako asie jua hata kuandika vizuri ila akakupeleka shule ukapata hicho kidiploma au kidigree chako nae ni kilaza?
Anajua tofauti ya r&l hiyo tabia ipo CCM pekee
 
Halafu Watakuja Wahuni wachache tu wakuite Kamanda.

Pumbavu kabisa Kamanda gani Muoga namna hii.
 
Sawa sasa kwann alizuiwa ubunge wake na ukizingatia kipindi yuko mzima hajawahi kukosa ata siku moja na aile oda ni rais?
 
Sawa sasa kwann alizuiwa ubunge wake na ukizingatia kipindi yuko mzima hajawahi kukosa ata siku moja na aile oda ni rais?

maswali ya kitoto haya, alete ubishi wake na aje nchini
 
mkuu nashukuru kwa maelezo mazuri pia

Ila nimesema maada hii ni outdated now

CDM wanajua kila kitu na waweke wazi sasa kila kitu ...kuna demokrasia sasa sio? issue ya mwaka juzi tu

Ninaposema wanajua, sitanii waanike

..Thank you.

..Suala hili tulichukulie kiubinadamu.

..Tusitoe nafasi tena likachukuliwa kwa mitizamo ya vyama vya siasa.

..Nadhani njia sahihi ni kuunda Tume Huru kuchunguza kilichotokea na kutuletea majibu.
 
Nasikitika kukutaarifu kuwa mawasiliano baina yako na nafsi yako yamekatika hivyo ionee huruma nafsi yako kwa kuacha kusema uongo hapa! Unaamini kabisa kuwa 2020 kulikuwa na uchaguzi na ccm ilishinda? Ona aibu mtu mzima!
 
Mimi nawewe tunaangalia namba hii 9 tukiwa pande tofauti, yaani wewe unaiona ni sita na mimi naiona ni tisa!, Mbowe alimuachia mgombea akapambane kivyake, hata kumtangaza mgombea kwa kuchapisha vipeperushi, kulipa wasanii, matangazo kwenye tv mlishindwa mkitegemea "muujiza' utokee watu waone huruma ya matundu ya risasi wamzawadie kura sio? Mkagoma kuwapa mawakala waliojitolea semina elekezi mkawanyima posho mkitegemea kura wazilinde malaika kutoka mbinguni?....USHINDI NI MKAKATI NA MAANDALIZI, andaeni visingizio vingine kwa ajili ya 2025!
 
Wazungu ndio waliokupeleka huko walikua wanamuogopa magufuli sasaivi watakurejesha kwa nguvu Tanzania.
 
we kibaraka masharti hayo unampa nani? Kwa faida ya nani? Unaumuhimu gani kwa taifa wewe msaliti? Si ulitaka nchi iwekewe vikwazo ulidhani Ulaya ndo kwa baba zako?
Rudi tu uje unyee debe.
 
Kabisa kabisa. TL ni shujaa.
Front page lisu ni nihabari yamjini...ukiona hadi MTU anasema mnashindwa kuweka picha yangu Mimi mnaweka ya mawakala yamabeberu ujue misumari ilikua inaingia..you are not free at that extent ,unamshangaa,imekua kinyume currently we are free at that extent ,haleluya
 
Sasa Lissu hat asiporudi kwani tunakosa Nini
HiviI anajionaje hasa
Mbona anajiona yeye NI Bora Sana kuliko watanzania wengine
Humjui Lisu vizuri....pekeake bila mabango ccm na magufuli natume ya uchaguzi ilibidi waongeze billion 28 nje yabajeti hela ya uchaguzi(soma lipoti ya kichere/CAG)...MTU hana mabango zaidi yakufika mkutanoni wewe unasema hata asipokuja wann....mkuu ongea vizuri tukuelewe.
 
Lisu ni debe tupu
 
Ni Sawa ni haki yake

Lakini Hana haja ya kuweka masharti ya kurudi

It is his country and its his choice

His presence au absence adds nothing Kwa sasa

A very smart guy ambaye kajisahau sasa anajitwika thamani isiyo yake

He is losing it
 
Nami nauliza tena Lisu asiporudi sisi kama taifa tunapata hasara gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…