Gwappo Mwakatobe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,730
- 2,230
Hongera kwa uchambuzi mzuri na wenye mantiki.Tamko hilo linaweza kuwa na pande mbili. Upande mmoja unaweza kuwa unamwonyesha kama mtu asiyeweza kushawishi kwa kujenga hoja bali anataka kupambana tu. mtu akiwa ndani ya system an uwezo mkubwa sana wa kufanya mambo fulani yatekelzwe kuliko aliye nje.
Upande wa pili unaweza kumwonyesha kama mtu anyetaka naye afikiriwe na mama kwenye nafasi za kuteuliwa ila anaanza kwa kusema sizitaki mbichi hizi.
Msingi mmoja wa busara ni kutokujibu maswali hypothetical.
Mtu anayekuteua ni udhihirisho wa kukupenda. Asingempenda asingemtembelea Nairobi na kukutana naye Ubelgiji. TL angesema hawezi kufanya kazi chini ya mifumo mibovu ya serikali pasipo mabadiliko au katiba mpya!
Hata hivyo, aliyeko serikalini hazuiwi kukosoa mabaya na kupongeza mazuri. Akubali kuteuliwa pasipo kuacha misimamo yake ya kutetea haki na kuinyoosha serikali.
Ndivyo alivyo Othman Masoud na ndivyo alivyokuwa Maalim Seif.
Umesema vema, endelea kujifunza!Naamini wewe ni mstaarabu haufanani kabisa na wenye kutukana hata kama umesoma kuwazidi. Naheshimu maoni yako na utu wako hata kama tunatofautiana.
Aidha, najua kuwa hakuna anayesomea ujinga na kusoma sana si kuelewa kila kiu! Hongera uliyesoma, ila mimi bado najifunza na kamwe sitahitimu elimu ya maisha - naendelea kujifunza.
Dhaifu ni wewe unayeishi kwa kujikomba?Mtazamo dhaifu mno kutoka Kwa naibu waziri mstaafu! Haiyumkini ulizaliwa ili uwe mtumwa na mtwana! Endelea kujipendekeza na sahau teuzi!
Slaa anafahamika tangu zamani akiwa hajajiunga na Chadema ni mtu wa kujikomba!Kafika bei Rais wa Mioyo yenu Dr Slaa ije kuwa Lissu?
Slaa anafahamika tangu zamani akiwa hajajiunga na Chadema ni mtu wa kujikomba!
Na CCM wakamchukua Bashiru kutoka CUF kuwa katibu mkuu wake!Kwa hiyo mlikosa watu hadi mkampa ukatibu mkuu wa Chadema na ugonbea Urais?
Bure Kabisa.Mmmh yuko sure atakataa🤣🤣🤣
teuzi ni level nyingine my friend.
Mama Samia natamani sana awape vyeo tuone utendaji wenu.
Mkuu, ningumu kupambana ukiwa umefungwa pingu na hauna siraha.Shujaa ni anaepambana ndani ya jeshi
Ukiwa nje kuitwa muasi ni rahisi
Thank you.Bure Kabisa.
Kwa nini usiseme huyo Samia na serikali yake iwapishe waunde ya kwao waonyeshe uwezo wao!
Wewe unafikiria 'uteuzi' tu ndio kila kitu kwako?
Bure Kabisa.
Kwa nini usiseme huyo Samia na serikali yake iwapishe waunde ya kwao waonyeshe uwezo wao!
Wewe unafikiria 'uteuzi' tu ndio kila kitu kwako?
Dogo, natamani kukufunda but hufundiki! Sijawahi kuwaza kuteuliwa na mwanadamu yeyote yule awaye kwani siyo tegemezi Kama wewe!Dhaifu ni wewe unayeishi kwa kujikomba?
🤣🤣🤣 lini umeacha uchawa! Endelea kuwatawaza upate mradi wako!Dogo, natamani kukufunda but hufundiki! Sijawahi kuwaza kuteuliwa na mwanadamu yeyote yule awaye kwani siyo tegemezi Kama wewe!
Mtakufa kibudu msimu huu Kama hamtabadili mbinu za uchawa! Madame hahitaji chawa!
Ila waandikaji wengi kama wewe Ni wajinga sana. Hawafikiri kabla ya kuandika
Kwa taarifa Yako hao walambwa miguu na watawazwa matacore hawafui dafu kwangu! Waulize wenzako hapo Lumumba wanaitambua hii avatar na wakiiona huwa wanakimbia!🤣🤣🤣 lini umeacha uchawa! Endelea kuwatawaza upate mradi wako!
Umechanganyikiwa!Kwa taarifa Yako hao walambwa miguu na watawazwa matacore hawafui dafu kwangu! Waulize wenzako hapo Lumumba wanaitambua hii avatar na wakiiona huwa wanakimbia!
Dada wakudadavuliwa umebadili avatar ili kuzuga? Sahau unaibu waziri na vyeo vingine kwani bi mkubwa hahitaji chawa na viroboto! Na amino nakuambia, tafuta kibarua Kwa shishi food angalau uambulie ukoko wa pilau!