CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,474
Umesahau ubabe Wa Lisu,wakati Wa kampeni hapa nyamongo walimzuia noma aliyoleta ni balaaa,ubabe Wa huyu jamaa magufuli hasogelei.🤣🤣Ubabe tu wa JF huo ...
Kamanda MULIRO yupo....
Yupo ANAWASUBIRI.....
Nakumbuka RPC MUROTO aliwaambia DADA NA MAMA ZENU WADOGO WA BAWACHA waende na Kalamu na karatasi DODOMA.....
Maaaweeeee.......
HAKUNA ALIYETOKEA....
Sasa we uvute mbange wako ukutane na FFU....maaaweeeee....
#KaziIendelee
Kwani aliyekwenda zake nayeye nani alishindaKwa nini afe? Yote hiyo ya nini? Yeye atapata uzoefu kwa Mashekh wa uamsho tuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jiulize uchizi wacc ,polisi mmoja analinda watu 2000 ,juuluze hapa chadema ijipange vizuri tuMikutano hiyo mwisho wa siku huishia kua maandamano afu inaleta vurugu na kuhatarisha usalama wa nchi.
Yaani polisi waache ku deal na wahalifu waanze kulinda mikutano ya akina Mbowe na Lisu? Hatuna huo mda
Simba mwenda pole siye mla nyama"Tuwaendee wananchi kwenye mikutano ya hadhara. Mimi nawaahidi tukitengeneza utaratibu wa mikutano ya hadhara, mimi ninakuja Tanzania Samia aruhusu, asiruhusu nakuja kufanya mikutano ya hadhara, tujiandae tutapata Katiba iwe kwa shari au kwa heri."
Ni tahadhali tu na matamko haya na lugha zake."Tuwaendee wananchi kwenye mikutano ya hadhara. Mimi nawaahidi tukitengeneza utaratibu wa mikutano ya hadhara, mimi ninakuja Tanzania Samia aruhusu, asiruhusu nakuja kufanya mikutano ya hadhara, tujiandae tutapata Katiba iwe kwa shari au kwa heri."
Wabongo kila mtu anapenda bata.Dooh huyu si aliondoka chini ya uangalizi wa balozi wa ujerumani huyu baada ya watu kugoma kuingia barabarani Leo anataka tena kuingiza watu barabarani !?
Acha unaa... Fungua akili, acha kushikiwa akili.Duuuh.....
Yaani anasema kabisa "IWE KWA SHARI...."
Maaaweeeee
Huyu jamaa huyu....
Huyu jamaa huyu....
Huyu jamaa huyu....
#KaziIendelee
Kwani ni uchawi wa Lisu au dhihaka za Mwendazake kwa God?Kwani aliyekwenda zake nayeye nani alishinda
Lissu ni Jemedari na tunawashukuru Wanasingida kwa kutupa Shujaa Nguli wa Demokrasia hapa Nchini Tanzania.Hana jipya huyu lofa wa singinda,atakipata anachotafuta,wait and see
Lofa ni wewe usiyetaka katiba mpya
Hizi lugha ndiyo type yake mkuu,kwani ndiyo lugha hutumiwa na waganga na wachawi.Na ndugu MSHANA ndio sangoma mkuu humuChief lugha hiyo sio type yako, relax wasikutoe kwenye reli.
Na akija huku atakupa shida ya kumlinda shemeji yetu MAHONDAW, nahisi naye atapenda kwenda mikutanoni kumsikiliza haka KAJISHUJAA ka chademaIwe kwa Shari au iwe kwe kheri...
Alafu kikishanuka yeye anakimbilia kwa mabeberu kuhifadhiwa kama kinda...
Sawa aje kujaribu ujinga wake aone...
Na ndio kinachoonekana hapa mkuu!Mnaweza fikiri man support mtu wa maana kumbe jamaa nati zimetoka.