Zillion
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 1,378
- 1,866
Weka ushahidi hapa.Aliweka wazi kwamba anawaunga mkono
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka ushahidi hapa.Aliweka wazi kwamba anawaunga mkono
Kwa nini hakukataa Hawa waliompokea na bendera za lgbt? Lissu ni kigeugeu, hana msimamoUle upuuzi wa siasa chafu mnaolishana huko CCM kuhusu Lisu dhidi ya ushoga naona umepoteza marks, sasa unalazimisha upuuzi wenu ndio uwe msimamo wa Lisu.
Nadhani tofauti ni lugha ya SheriaAmejibu kiutata sana
Inaonyesha mnaupendaAnasema nini kuhusu faragha ya ushogha? Inamaana anasema wafanye ushoga kwa siri.
Tuliosoma cuba tumeelewa.
Upuuzi mtupu.Huo ndiyo ustaarabu mlioitishwa kuwa nao siyo siasa uchwara (aka maji taka)!
Unateseka ukiwa wapi?Mbona kigeugeu, kiongozi gani hajui anasimama wapi!?
Siasa za maji taka = upuuzi mtupuUpuuzi mtupu.
Ulisikia wapi?Siasa za maji taka = upuuzi mtupu
Ulisikia wapi?
Angalia dada usije ukawa umebeba mimba yake ndio sababu una makasiriko yasiyokuwa na msingiMbona kigeugeu, kiongozi gani hajui anasimama wapi!?
Wewe huwa unaingilia faragha za watu?Amesemaje huyo mzee wa kutokuingilia faragha za watu?
Lete ushahidi alipotamka anaunga mkonoMbona kigeugeu, kiongozi gani hajui anasimama wapi!?
Hana lolote huyu.
Wewe una lipi?Hana lolote huyu.
Unaelewa maana ya neno faragha? Au kiingereza privacy au unashundwa kutifautisha Siri Ni faragha eeh au secrecy and privacy! Jaribu kuwa GT hata kidogo? Wanouza bangi wanauza kwa Siri hawauzi kwa faragha!Kwa hivyo Lissu anauga mkono Ushoga wa faragha. Jee sheria inasemaje kuhusu wale wanao tumia au kuuza Gongo, Mihadarati kwa faragha, wanaruhusiwa kuvamiwa na polisi na kupelekwa mbele ya sheria? Au katiba hai ruhusu kuwaingilia watu vyumbani?
Hayo masharti hayajawahi kuwepo katika misaada yetu tunayopewa!!???Kipindi alivyofanya kikao na hao wazungu (EU) juzi alikuwa na ujasiri wa kusema kama alivyosema leo, manake EU wenyewe hilo nalo wanajumuisha kwenye haki za binadamu.
Manake kutwa tunawaona wana zurula yeye na mwenyekiti wake kwenye mabaraza ya EU kulialia ,hawajui hamna msaada wa bure lazima utaambatana na masharti.
... kigeugeu kwa sababu hukumwelewa awali aliposema sio jukumu la serikali kuhangaika na ya vyumbani mwa watu?
Na wewe una lipi?Wewe una lipi?