Lissu: Sheria na Tamaduni za kitanzania haziungi mkono mapenzi ya jinsia moja, mimi pia siungi mkono jambo hilo

Lissu ameyasema hayo baada ya kuulizwa swali kwenye kipindi cha Clouds 360 ambapo mtangazaji alimuuliza Lissu yupo upande gani sababu mahasimu wake wa kisiasa wamekuwa wakimtuhumu kuwa supporter wa mapenzi ya jinsia moja kwakuwa anakaa ulaya.

Lissu amesema hizo ni siasa za maji taka na kwamba hajawahi kusema popote kuwa anaunga mkono mapenzi ya jinsia moja.

Anasema jambo hili liliibuliwa alipojibu swali kwenye kipindi cha Hard Talk BBC ambapo alisema mambo ya faragha serikali haitakiwi kuingilia na kwamba nchi ina katiba inayosema serikali hairuhusiwi chumbani.

Akielezea msimamo wake juu ya jambo hili Lissu amesema, "Watu wenye utamaduni huo waendelee na utamaduni wao, sisi wenye utamaduni tofauti tuendelee na utamaduni wetu, sheria na tamaduni zetu haziruhusu ushoga hivyo tuendelee na utamaduni wetu, siungi mkono ushoga."

View attachment 2504788[/QUOTE

Lissu.."We will never allow the Gorvenment to start peppering into people's Bedrooms"
Courtesy..BBC-hardtalk 2019,January.
Pia kuna mahali Sucker anamuuliza idadi ya Risasi alizopigwa!

Lissu!
Nilipigwa jumla ya Risasi kumi na Sita!

Sucker!
Lakini,kuna zilizopigwa xig zag na zilipiga gari!

Lissu!
Zilizopiga gari jumla ni thelathini na nane!

Clip bado zipo,asidhani anaonewa,ila ifike mahali viongozi wetu.
Wanze kuwa wanatunza kumbukumbu!

Wengi wa wanasiasa nchi hii,ni aidha kubana matumizi au kutojua umuhimu wake.

Hawana ofisi zao binafsi,ambapo wangeweka walau personal secretary wa kuwatunzia kumbukumbu pamoja na kujisomea pia.

Jambo ambalo lingewaongezea tija ki uweledi,pamoja na kuepuka mambo kama haya ambayo yanamkura Tundu Lissu.
 
Lissu ameyasema hayo baada ya kuulizwa swali kwenye kipindi cha Clouds 360 ambapo mtangazaji alimuuliza Lissu yupo upande gani sababu mahasimu wake wa kisiasa wamekuwa wakimtuhumu kuwa supporter wa mapenzi ya jinsia moja kwakuwa anakaa ulaya.

Lissu amesema hizo ni siasa za maji taka na kwamba hajawahi kusema popote kuwa anaunga mkono mapenzi ya jinsia moja.

Anasema jambo hili liliibuliwa alipojibu swali kwenye kipindi cha Hard Talk BBC ambapo alisema mambo ya faragha serikali haitakiwi kuingilia na kwamba nchi ina katiba inayosema serikali hairuhusiwi chumbani.

Akielezea msimamo wake juu ya jambo hili Lissu amesema, "Watu wenye utamaduni huo waendelee na utamaduni wao, sisi wenye utamaduni tofauti tuendelee na utamaduni wetu, sheria na tamaduni zetu haziruhusu ushoga hivyo tuendelee na utamaduni wetu, siungi mkono ushoga."

View attachment 2504788
Propaganda ya CCM imeumbuka hapa loh
 
Kipindi alivyofanya kikao na hao wazungu (EU) juzi alikuwa na ujasiri wa kusema kama alivyosema leo, manake EU wenyewe hilo nalo wanajumuisha kwenye haki za binadamu.

Manake kutwa tunawaona wana zurula yeye na mwenyekiti wake kwenye mabaraza ya EU kulialia ,hawajui hamna msaada wa bure lazima utaambatana na masharti.
 
Huyo shoga wako eti sasa anajificha. Subiri aulizwe na wazungu wake uone atakavyojibu.
Usitake ncheke. Imekuwa habari mbaya mno kwenu. Mmebakiza kipi sasa, madua ya kuku siyo? Basi acha tusubiri ahojiwe na wazungu. Hadi hapo ustaarabu ni kuufyata!
 
Mbona kigeugeu, kiongozi gani hajui anasimama wapi!?

Ule upuuzi wa siasa chafu mnaolishana huko CCM kuhusu Lisu dhidi ya ushoga naona umepoteza marks, sasa unalazimisha upuuzi wenu ndio uwe msimamo wa Lisu.
 
Back
Top Bottom