Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Ndiyo Lisu hataingilia faragha zenu huko nyumbani kwenu nyie mabavicha... wewe unapenda kuingilia faragha za watu vyumbani mwao? Una matatizo makubwa sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo Lisu hataingilia faragha zenu huko nyumbani kwenu nyie mabavicha... wewe unapenda kuingilia faragha za watu vyumbani mwao? Una matatizo makubwa sana.
Vipi Serikali ya CCM inasimamia sera ujamaa au ubepari?! Tunataka kujua Serikali inasimama wapi.Mbona kigeugeu, kiongozi gani hajui anasimama wapi!?
Lissu ameyasema hayo baada ya kuulizwa swali kwenye kipindi cha Clouds 360 ambapo mtangazaji alimuuliza Lissu yupo upande gani sababu mahasimu wake wa kisiasa wamekuwa wakimtuhumu kuwa supporter wa mapenzi ya jinsia moja kwakuwa anakaa ulaya.
Lissu amesema hizo ni siasa za maji taka na kwamba hajawahi kusema popote kuwa anaunga mkono mapenzi ya jinsia moja.
Anasema jambo hili liliibuliwa alipojibu swali kwenye kipindi cha Hard Talk BBC ambapo alisema mambo ya faragha serikali haitakiwi kuingilia na kwamba nchi ina katiba inayosema serikali hairuhusiwi chumbani.
Akielezea msimamo wake juu ya jambo hili Lissu amesema, "Watu wenye utamaduni huo waendelee na utamaduni wao, sisi wenye utamaduni tofauti tuendelee na utamaduni wetu, sheria na tamaduni zetu haziruhusu ushoga hivyo tuendelee na utamaduni wetu, siungi mkono ushoga."
View attachment 2504788[/QUOTE
Lissu.."We will never allow the Gorvenment to start peppering into people's Bedrooms"
Courtesy..BBC-hardtalk 2019,January.
Pia kuna mahali Sucker anamuuliza idadi ya Risasi alizopigwa!
Lissu!
Nilipigwa jumla ya Risasi kumi na Sita!
Sucker!
Lakini,kuna zilizopigwa xig zag na zilipiga gari!
Lissu!
Zilizopiga gari jumla ni thelathini na nane!
Clip bado zipo,asidhani anaonewa,ila ifike mahali viongozi wetu.
Wanze kuwa wanatunza kumbukumbu!
Wengi wa wanasiasa nchi hii,ni aidha kubana matumizi au kutojua umuhimu wake.
Hawana ofisi zao binafsi,ambapo wangeweka walau personal secretary wa kuwatunzia kumbukumbu pamoja na kujisomea pia.
Jambo ambalo lingewaongezea tija ki uweledi,pamoja na kuepuka mambo kama haya ambayo yanamkura Tundu Lissu.
Propaganda ya CCM imeumbuka hapa lohLissu ameyasema hayo baada ya kuulizwa swali kwenye kipindi cha Clouds 360 ambapo mtangazaji alimuuliza Lissu yupo upande gani sababu mahasimu wake wa kisiasa wamekuwa wakimtuhumu kuwa supporter wa mapenzi ya jinsia moja kwakuwa anakaa ulaya.
Lissu amesema hizo ni siasa za maji taka na kwamba hajawahi kusema popote kuwa anaunga mkono mapenzi ya jinsia moja.
Anasema jambo hili liliibuliwa alipojibu swali kwenye kipindi cha Hard Talk BBC ambapo alisema mambo ya faragha serikali haitakiwi kuingilia na kwamba nchi ina katiba inayosema serikali hairuhusiwi chumbani.
Akielezea msimamo wake juu ya jambo hili Lissu amesema, "Watu wenye utamaduni huo waendelee na utamaduni wao, sisi wenye utamaduni tofauti tuendelee na utamaduni wetu, sheria na tamaduni zetu haziruhusu ushoga hivyo tuendelee na utamaduni wetu, siungi mkono ushoga."
View attachment 2504788
Lia wewe unayemtetea mtu asiye msimamoUshauri wa bure "lieni tu" leo mna msiba mzito
Kipindi alivyofanya kikao na hao wazungu (EU) juzi alikuwa na ujasiri wa kusema kama alivyosema leo, manake EU wenyewe hilo nalo wanajumuisha kwenye haki za binadamu.Lissu ameyasema hayo baada ya kuulizwa swali kwenye kipindi cha Clouds 360 ambapo mtangazaji alimuuliza Lissu yupo upande gani sababu mahasimu wake wa kisiasa wamekuwa wakimtuhumu kuwa supporter wa mapenzi ya jinsia moja kwakuwa anakaa ulaya.
Lissu amesema hizo ni siasa za maji taka na kwamba hajawahi kusema popote kuwa anaunga mkono mapenzi ya jinsia moja.
Anasema jambo hili liliibuliwa alipojibu swali kwenye kipindi cha Hard Talk BBC ambapo alisema mambo ya faragha serikali haitakiwi kuingilia na kwamba nchi ina katiba inayosema serikali hairuhusiwi chumbani.
Akielezea msimamo wake juu ya jambo hili Lissu amesema, "Watu wenye utamaduni huo waendelee na utamaduni wao, sisi wenye utamaduni tofauti tuendelee na utamaduni wetu, sheria na tamaduni zetu haziruhusu ushoga hivyo tuendelee na utamaduni wetu, siungi mkono ushoga."
View attachment 2504788
Huyo shoga wako eti sasa anajificha. Subiri aulizwe na wazungu wake uone atakavyojibu.Yamepigwa na kitu kizito utosini, yanashangaa 🤣🤣
Niache kucheka mnapopewa za chembe cha moyo?Lia wewe unayemtetea mtu asiye msimamo
Usitake ncheke. Imekuwa habari mbaya mno kwenu. Mmebakiza kipi sasa, madua ya kuku siyo? Basi acha tusubiri ahojiwe na wazungu. Hadi hapo ustaarabu ni kuufyata!Huyo shoga wako eti sasa anajificha. Subiri aulizwe na wazungu wake uone atakavyojibu.
Ukiwa Mwana Siasa na unatka kur za Wananchi laima useme uongo ili upate kura na kuchaguliwa utakapo kuwa Madarakani ndipo utaonekana ukweli wakeMbona kigeugeu, kiongozi gani hajui anasimama wapi!?
Cheka tu, kwani umekatazwa?Usitake ncheke…!
Huo ndiyo ustaarabu mlioitishwa kuwa nao siyo siasa uchwara (aka maji taka)!Cheka tu, kwani umekatazwa?
Yeye ndiye aliyesema anunga mkono ushoga,Leo anasema haungi mkono.. aliyepewa za chembe nani!?Niache kucheka mnapopewa za chembe cha moyo?
Yeye ndiye aliyesema anunga mkono ushoga,Leo anasema haungi mkono.. aliyepewa za chembe nani!?
Utata upi?Amejibu kiutata sana
Lini alikuambia hivyo weye?Yeye ndiye aliyesema anunga mkono ushoga,Leo anasema haungi mkono.. aliyepewa za chembe nani!?
Nikutajie CCM ambao ni mashoga wanaofahamika nchini na kimataifa?Na ninaamini ninyi CCM mnawajua.Sitaki mnune.Wazee wa upinde mpo imara kutetea[emoji16]
Mbona kigeugeu, kiongozi gani hajui anasimama wapi!?
Umejiunga hapa jukwaani mwezi uliopita ili kuandika huu utoto?!Yeye mwenyewe alisema yupo nao