Lissu: Sheria na Tamaduni za kitanzania haziungi mkono mapenzi ya jinsia moja, mimi pia siungi mkono jambo hilo

Ule upuuzi wa siasa chafu mnaolishana huko CCM kuhusu Lisu dhidi ya ushoga naona umepoteza marks, sasa unalazimisha upuuzi wenu ndio uwe msimamo wa Lisu.
Kwa nini hakukataa Hawa waliompokea na bendera za lgbt? Lissu ni kigeugeu, hana msimamo
 
Mashoga waliopo Tz wanawapeleka wapi?
 
Kwa hivyo Lissu anauga mkono Ushoga wa faragha. Jee sheria inasemaje kuhusu wale wanao tumia au kuuza Gongo, Mihadarati kwa faragha, wanaruhusiwa kuvamiwa na polisi na kupelekwa mbele ya sheria? Au katiba hai ruhusu kuwaingilia watu vyumbani?
Unaelewa maana ya neno faragha? Au kiingereza privacy au unashundwa kutifautisha Siri Ni faragha eeh au secrecy and privacy! Jaribu kuwa GT hata kidogo? Wanouza bangi wanauza kwa Siri hawauzi kwa faragha!
 
Hayo masharti hayajawahi kuwepo katika misaada yetu tunayopewa!!???

Kuna siku serikali ilikana hadharani masharti yoyote na tukaendelea kudubda kwa kupokea misaada yenye masharti hayo!!??

Ref: Wanafunzi wanaopata mimba wakiwa shuleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…