Lissu: Sheria na Tamaduni za kitanzania haziungi mkono mapenzi ya jinsia moja, mimi pia siungi mkono jambo hilo

Kwa hivyo Lissu anauga mkono Ushoga wa faragha. Jee sheria inasemaje kuhusu wale wanao tumia au kuuza Gongo, Mihadarati kwa faragha, wanaruhusiwa kuvamiwa na polisi na kupelekwa mbele ya sheria? Au katiba hai ruhusu kuwaingilia watu vyumbani?
Kichwa chako unafugia nywele tu!
 
Kwa hivyo Lissu anauga mkono Ushoga wa faragha. Jee sheria inasemaje kuhusu wale wanao tumia au kuuza Gongo, Mihadarati kwa faragha, wanaruhusiwa kuvamiwa na polisi na kupelekwa mbele ya sheria? Au katiba hai ruhusu kuwaingilia watu vyumbani?

Unajua maana ya faragha kweli?gongo ni jambo la faragha? Aisee
 
Mbona kigeugeu, kiongozi gani hajui anasimama wapi!?
Ukigeugeu uko wappi?

Serikali na ccm haiungi mkono ushoga??
IMG_20211130_182246.jpg
 
Alipokua huko kwao alisema vile, na amerudi hapa kwetu amesema hivi.
Nikama anacheza na wakati na hii ndio maana halisi ya siasa...[emoji23]
Alisemaje huko na huku amesemaj?
 
Kwa hivyo Lissu anauga mkono Ushoga wa faragha. Jee sheria inasemaje kuhusu wale wanao tumia au kuuza Gongo, Mihadarati kwa faragha, wanaruhusiwa kuvamiwa na polisi na kupelekwa mbele ya sheria? Au katiba hai ruhusu kuwaingilia watu vyumbani?
Jamani eleweni alichoeleza yeye ni kutokana na katiba yenu inavyosema yeye amefafanua yaliyomo kwenye katiba. Sasa kwanini serikali ilipinga siku makonda alipoibua suala hilo.
IMG_20211130_182246.jpg
 
Leo imekuwa siku nyingine nyuzi baada ya nyuzi tokea kwa chawa pro.

Kulikoni? Kumbe upepo umewaelemea vilivyo. Watakuja na hoja ipi sasa?

Screenshot_20230203-140057.jpg

Hii si ndiyo waliyokuwa wakitembelea kama nyota yao?

Itakuwa je sasa?
 
Back
Top Bottom