Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Hatukatai Samia ni Mzanzibari, ila kutumia asili yake ya Uzanzibari kumsema kuwa anafanya makosa haya na haya ndio kinachokosolewaI seems that you are full of anger about Lissu. Samia ni mzanzibar au siyo mzanzibar? Samia kawafukuza wamasai na kwenye ardhi na kuwapa waarabu au hakuwapa? Kama ''unyumbu'' ni kusema ukweli, basi acha iwe hivyo. Kwanza huu muungano ni hasara kwetu Tanganyika na hautusaidii lolote. Inakuwaje kila rais anayetoka Zanzibar anauza mali zetu kwa waarabu?
Huu Muungano upo kabla ya Samia hajawa Rais, hakuanzisha yeye, so laumu walioanzisha Muungano,